Uko sahihi mkuu, kwenye hili suala JPM alijitahidi mno. Ofisi za uhamiaji zilikuwa zimejaa Rushwa hatari, wahindi, Wachina na wa Pakistan dah walikuwa wanapishana hewani kuwahi ajira nono bongo. Kuna kampuni moja, Jamaa ana Cheo cha CEO kwenye permit ila anafanya kama accountant, mwingine expart wa instruments kumbe fundi umeme kama wa veta tu. Umakini unahitajika hasa.Niliwahi kufanya kazi kampuni moja wa kichina, hili swala la vibali changamoto sana, wale jamaa wanakuja kazi tunawafundisha sisi hawajui kitu
Mmoja kazi yake ilikuwa kukaa na mihuri ya kampuni, secretary.....yaani nilikuwa nafuatilia vile vibali mnatumia professional za technician,Business Manager etc.......na kutengeneza CV fake na vyeti walikuwa wanatengeneza wenyewe, kama HR ilikuwa inanisikitisha ila ndiyo ivyo tena ilikuwa ndiyo mwendo huo.....kila kitu fake, then naarrange training kwa hao.....yaani wanakuwa hawajui kitu
Wewe una hasira ya kukosa uteuzi. Tumuache mama afanye kazi.Tumpe muda, lakini yapo mambo yanatia mashaka. Hilo la vibali vya kazi na jingine alilosema hazina wakiona misamaha ya kodi ipo juu ya uwezo wao wampelekee si mambo ya kushangiliwa.
Nilikuwepo awamu ya Mwinyi, nimeanza kuwa na mashaka huyu anaweza kuwa rais ovyo kabisa kuliko hata alivyokuwa Mwinyi.
Point mkuuMwekezeji binafsu hata ndani ya nchi hujaza watu wake anaowaamini
Ukienda IPP wamejaa akina Mengi na nduguzekienda Azam wamejaa akina Bakhresa na nduguze ukienda kwa wawrkezaji wahindi hivyo hivyo na wawekezaji wa nje ni hivyo hivyo
Wacha azalishe akupe kodi yako .Mtaji wa kwake testrictions kali za nini tamka tu kuwa mau be 20 percent ya work force wawe wa mwekezaji 80 percent local content
kusema watano kwa mfano kwa kiwanda kikubwa kama Dangote si sahihi
Hiki ndicho Mh. Rais Samia Suluhu Hassan alichokimaanisha.Mkuu The Boss, nilichomwelewa mama ni kwamba, mwekezaji anakuja na wafanyakaz kutoka nje wale wanaukubalika kisheria, baada ya miaka mitatu wakitaka kurenew vibali, wananyimwa, wanalazimishwa waajiri watanzania. SASA kama ndo mtu anaemwamini vipi umnyime kibali ulazimishe aajiri watanzania na hajavunja Sheria yoyote ile?? Bora mwanzo angeambiwa baada ya miaka mitatu hatutakuruhusu kurenew kibali
Local content law inataka wazawa wanufaike na uwekezaji wako. Ikiwa wawekezaji watakuja na watu wao basi tusahau ajira kwa wazawa. Hiyo sheria inamlinda mzawa ili aanufaike na ajira baada ya mwekezaji kuja kuwekeza.Mtu aliyewahi kuishi nje kauli ya mama ni nzuri sana ila kwa mtanzania ambaye hajawahi kuishi nje anaweza kupingana na mama. Muingiliano wa watu kutoka mataifa tofauti huchochea uchumi.
Sukuma gang huyo Achana nae. Mama yupo vizuri na ametoa hoja sahihi. Kwa nini TFF aiziamulii timu za mpira kumsajiri mchezaji fulani kwa sababu Kuna mchezaji hapa Tanania ana kipaji sawa na huyo mchezaji mgeni??? Kwa nini kwenye vibali vya kazi ndo wawekezaji wanaoleta mitaji na kulipa kodi ndo wanafanyiwa hivi??? Mama Samia yupo sahihi.Wewe una hasira ya kukosa uteuzi. Tumuache mama afanye kazi.
Hapana, kuna nafasi Watanzania walikuwa hawashiki! Now tulikuwa tunajenga kizazi kitachoweza kushindana. Angalia hata kauli zake za kama hakuna wataalam tulete wa nje! Hili inataka control kubwa mno!Mbona wageni hawakuwepo na ajira kwa watanzania hazikuwepo? Sheria ya vibali vya kazi ilibana lakini ajira zenyewe hata kwa watanzania hazikuwepo (hazipo).
Sheria zilikuwa zinanyooshwa tu! Hivi muwekezaji gani ataajiri Finance Manager Mtanzania kama si JPM kukataa hizi mambo? Hawa wanataka all key areas waweke watu wao!Kazi za kitaalamu ambazo hazina local ndio wageni wanaruhusiwa sio zile ambazo tunao wataalamu hapa ndani,zamani hadi wageni walikuja na HR wao...kuwe na win win situation hata kama wakileta consultants.