Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Mnyika kabila gani?Kufupisha stori CHADEMA waweke wazi bifu lao na wasukuma ili tuone mwisho wake. Wachaga jichanganyeni kwenye 18 za mambo ya kipumbavu ambayo yanahubiriwa na wasakatonge.
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana KaskaziniHuyu Mzee anamawazo ya Kipumbavu kiasi hiki kumbe, Mchumia tumbo lake mjanja mjanja, Wachaga ndo tumejaa kwenye taasisi kama TRA , Bandarini n.k , lkn kazeeka si wakulaumu sana
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana KaskaziniMnyika kabila gani?
Amandla...
Sio MchagaDiwan Athuman ni msukuma?
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana KaskaziniMbowe ni hopeless sana, kwa hiyo yeye amechunguza walioajiliwa wote hakuna mchaga, Mbowe ndio mkabila namba moja.
Sio mzima yule asee Ile chanjo ya astrazeneca imepanda kichwani imevuruga mafile yote
Kina uhusiano na ushamba uliowajaa MATAGA!Sasa ukicholeta hapa kinahusiana vipi na mada inayozungumzia ukabila wa Mbowe?
Alafu unaiita una akili?
Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
Kwahiyo ulitaka awe mchaga ndio uridhike?Diwani Athuman ni mpare ndugu yangu.
Mbowe kasema kweli
Kwa hiyo Magufuli ni nabii wa mungu au mungu wenu mwenyewe? Au kiongozi wa malaika wa jehanum?Wako wanaowadhalilisha manabii wa Mungu sembuse wewe?!!
Endelea kujifurahisha nafsi yako....
#KaziIendelee
Hahahaha ulitaka iwe nani?? Wewe? Au Mbowe?Source yako ni Jery eeh, Wilder beast😡!
Wachaga ni kama wahindi wanapenda biashara
JPM mtoto Mzalendo wa AFRIKA..Kwa hiyo Magufuli ni nabii wa mungu au mungu wenu mwenyewe? Au kiongozi wa malaika wa jehanum?
Ajira zilikuwepo lakini?Yaani unataka kuamini utumishi walikuwa hawashortlist wachaga? Mbona kuna wachaga kibao waliajiriwa na utumishi na sio vyema kuweka list humu.
mzalendo wa sukuma gang na si vinginevyo.JPM mtoto Mzalendo wa AFRIKA..
#KaziIendelee
What? Kigogo kamfanyaje, jamani!Mbowe ameathirika sana na taarifa za Kigogo.
Afrika ipi hiyo wakati hapo Kenya tu wanamuona takataka. RSA wanamuona mshamba tu wa enzi za cold war. Magufuli hakuwa na vision wala mikakati ya kuiendeleza nchi zaidi wa wizi na uonevu. Ndiyo maana amekufa hamna hata mradi mmoja alianza yeye uliokamilikaJPM mtoto Mzalendo wa AFRIKA..
#KaziIendelee
Acheni habari ya ukanda na ukabila,kama mnataka tuanze kufukua makaburi hatuta sita kumtaja mwasisi wa hayo yote,kwani hatukuyajua yote hayo.Kwa pointi kama hiyo mbowe anatuaminisha chadema ni kwa ajiri ya wachaga sio watanzania kama ameshaanza ukaskazini na Bado urais hajapewa akiwa rais si ndo atakuwa hatari zaid kuliko Magufuli
Kwani uongo? Alianzia hapa hadharani kule Iringa.👇👇Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
Ningekuwa amri yangu kaburi la Magufuli ningechimba km 1 kwenda chini halafu naita magari ya zege yamwage zege tani 10 then namwagia maji siku 7 zege likomae ndipo nimfukieNamnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''