Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
Huyu Mzee anamawazo ya Kipumbavu kiasi hiki kumbe, Mchumia tumbo lake mjanja mjanja, Wachaga ndo tumejaa kwenye taasisi kama TRA , Bandarini n.k , lkn kazeeka si wakulaumu sana
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
 
Kama ni kweli, Magu atakua amewasaidia saana wachaga kujikita kwenye self-employment. Nyerere aliwafanyia hivyohivyo kwenye elimu, wachaga wakajenga private school (wakaziita shule za wazazi). Leo, zaidi ya %50 ya private school zote TZ, ziko kanda ya kaskazini hususani, Kilimanjaro.
 
Mnyika kabila gani?

Amandla...
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
 
Mbowe ni hopeless sana, kwa hiyo yeye amechunguza walioajiliwa wote hakuna mchaga, Mbowe ndio mkabila namba moja.
Sio mzima yule asee Ile chanjo ya astrazeneca imepanda kichwani imevuruga mafile yote
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Sasa ukicholeta hapa kinahusiana vipi na mada inayozungumzia ukabila wa Mbowe?

Alafu unaiita una akili?
Kina uhusiano na ushamba uliowajaa MATAGA!

Kwani hamna mpango tena wa kumuongeza Jiwe muhula atawale hadi atakapochoka!??
 
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Ni kweli?

Credibity zako zinashuka sana (Mbowe). Magufuli alikuwa na mapungufu yake ya kibinadamu. Siyo unavyotaka kutuamisha.

Wasukuma wanasimamia haki, ukweli. Wamesimama kwa Maslahi ya Watanzania wote.

Kanda yote hadi ile Mara, Bukoba ndio engine,
Msuli wa hili taifa.

Labda tuwape Wachagga hii nchi.
 
Wako wanaowadhalilisha manabii wa Mungu sembuse wewe?!!

Endelea kujifurahisha nafsi yako....

#KaziIendelee
Kwa hiyo Magufuli ni nabii wa mungu au mungu wenu mwenyewe? Au kiongozi wa malaika wa jehanum?
 
JPM mtoto Mzalendo wa AFRIKA..

#KaziIendelee
Afrika ipi hiyo wakati hapo Kenya tu wanamuona takataka. RSA wanamuona mshamba tu wa enzi za cold war. Magufuli hakuwa na vision wala mikakati ya kuiendeleza nchi zaidi wa wizi na uonevu. Ndiyo maana amekufa hamna hata mradi mmoja alianza yeye uliokamilika

Kama upo nitajie
 
Kwa pointi kama hiyo mbowe anatuaminisha chadema ni kwa ajiri ya wachaga sio watanzania kama ameshaanza ukaskazini na Bado urais hajapewa akiwa rais si ndo atakuwa hatari zaid kuliko Magufuli
Acheni habari ya ukanda na ukabila,kama mnataka tuanze kufukua makaburi hatuta sita kumtaja mwasisi wa hayo yote,kwani hatukuyajua yote hayo.
 
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Kwani uongo? Alianzia hapa hadharani kule Iringa.👇👇
images (1).jpeg
 
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Ningekuwa amri yangu kaburi la Magufuli ningechimba km 1 kwenda chini halafu naita magari ya zege yamwage zege tani 10 then namwagia maji siku 7 zege likomae ndipo nimfukie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom