Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hata Yule NW Ofisi ya WM, anaeshughulika na Watu Wenye Ulemavu, Ummy Hamis Ndeliananga Ni Msukuma Wa Butundwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waziri wa Kilimo atakuwa msukuma wa Malampaka sijui
Haitakuja kutokea mbowe au chadema wakashinda urais haitakuja kutokea ila kwa ajili ya kudanganyia dunia ya demokrasia watakuwepo hapoKwa pointi kama hiyo mbowe anatuaminisha chadema ni kwa ajiri ya wachaga sio watanzania kama ameshaanza ukaskazini na Bado urais hajapewa akiwa rais si ndo atakuwa hatari zaid kuliko Magufuli
Diwani Athuman ni mpare siyo mchagaDiwan athuman ni msukuma?
Kwani ni mchagga?Diwan athuman ni msukuma?
Umeongea vizuri sanaSi kweli.
Magufuli hakuwahi kuwapendelea wasukuma, Magu alikuwa na genge lake alilotoka nalo wizara ya ujenzi hasa TANROADS.
Watu wengi wa Magu wa karibu hawakuwa wasukuma. Mfano:
- Mfugale
- Kijazi
- Kabudi
- Pole pole
- Bashiru
Sana sana ukiona msukuma ni either anatokea genge la TANROADS/Wizara ya ujenzi au ndugu zake.
Je, Kwenye genge lake kulikuwa na nani kutoka Mara, Simiyu au shinyanga?
Au mnaposema kanda ya ziwa, mnamaanisha ipi ?
Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, na Mara imekuwa ikitoa zana ushirikiano kwa CHADEMA, Mbowe aache huu upuuzi sa kina Kigogo.
Wasukuma tunaishi nao hawana upendeleo wowote na ni watu peace sana na easy going. Wengi ni waathirika wa propaganda za Magu lakini wasukuma hawana ukabila hata kidogo.
Aliajiriwa wakati wa Magufuli au Magufuli alimkuta kwenye ajira?Diwan athuman ni msukuma?
Unakubali magufuli alikuwa mkabila eeh,Kwa pointi kama hiyo mbowe anatuaminisha chadema ni kwa ajiri ya wachaga sio watanzania kama ameshaanza ukaskazini na Bado urais hajapewa akiwa rais si ndo atakuwa hatari zaid kuliko Magufuli
Diwan athuman ni msukuma?
huyo ni mtu mdogo sana hata huko moshi hajulikani, wacha kuwa na upeo mfupi kama steve nyerere wewe.Na yule jina lake lililoitwa shamba la miti Silayo ni Msukuma wa wapi vile?
Pumbavu kabisa,mwanasiasa mtafuta pesa wewe,Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
Engineer Kankonko hakutokea wizara ya ujenzi ?acha hixo wewe?
SUKUMA GANG ni kida Doto pale Hazina.
Kina BISWALO. MGANGA DPP.
AG-MWANSHERIA MKUU- Prof Kilangi.
Mkuu wa PENTAGON.
mkurugenzi Bandari.
si hao chawa uliowataja hapo juu, tunazungumzia vyombo vya maamuzi na fedha zinapofichwa.
Kwani aliajiriwa?Diwan athuman ni msukuma?
una maswali ya chekechea.Engineer Kankonko hakutokea wizara ya ujenzi ?
Dotto alikuwa ndugu yake. Kilagi alikuwa wapi kabla ya uteuzi?
DPP kabla ya uteuzi alikuwa wapi ?
Wewe jamaa nimegundua ni mpumbavu sana.una maswali ya chekechea.
Endelea na USUKUMA wako kwenye nchi yenye makabila 136.
alisema waziwazi zamu ya wengine si wachagga.
Kila aliyeteuliwa alitoka SUKUMA GANG, tena kwa taarifa yako wengi ni ndugu zake, kama hujui.
Wewe takataka kubwa jinga acha kuleta nyuzi za kikabila.Hili ndio tatizo kubwa.