Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Nani kakuambia kila msukuma anamuunga mkono JPM?!!!Leo nipo Mkuranga - shambani huku nanunua ufuta. Wasukuma wamejaa huku balaa. Wanashukuru kwa mwendazake kuenda zake maana wanasema alikuwa ni "shetani".
Ukiuliza hivyo ina maana umeamini ayasemayo Mbowe. Mbowe ni bwege tu! Labda angezungumzia kwamba hapakuwa na ajira serikalini. Nijuavyo ajira kubwa ktk miaka mitano ilikuwa ni ualimu. Vijana waliosomea ualimu waliajiliwa na vijana wa kichaga waliajiliwa. Ukitaka ushahidi nenda shule za uchagani, kama kawaida ya wachaga hupenda shule za kwao, wapo wengi.Mtoa mada, ni vizuri ukaweka ushahidi wa wachaga walioajiriwa ili tuamini ni kweli Mbowe anadanganya umma.
Uwa najiuliza wachaga walimkosea nini Magufuli uwa sipati jibu.Mimi sio muumini wa siasa za kikabila ila kiukwel Magufuli aliwachukia sana Wachaga, ila Mungu akampenda zaidi..
Hakuna uganga wala Uchawi juu ya nyumba ya Israeli..
Wachaga hawakipigana vita na Mwendazake, maana Mungu aliaahidi, for the battle is not yours ...
Ajaribu mwingine nae apendwe zaid....
Ile sera yao ya majimbo ndio imejikita hapo kwenye ukabila.Mpaka hapa inaonekana kabisa Chadema ina Sera za kikabila.
Sasa kwani alikuwa anashundwa kumtoa?Aliajiriwa wakati wa Magufuli au Magufuli alimkuta kwenye ajira?
Mkuu umeonge vizuri sana ila nikuongezee taarifa moja.Mwaka 2001 Wanafunzi wa kozi ya Unesi katika chuo Kikuu kishiriki pale Muhimbili wachagga walikua 24 Kati ya wanafunzi 28.
Unategemea nn katika soko la ajira?
Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa uliokua ukiongoza kwa shule za msingi na sekondari kuanzia miaka ya 1970-2010.
Fanya hesabu.
Ilikuwa ni fahari kwa kila familia ya Mchagga kuwa na Mtoto mwenye Digree au Padri katika miaka ya 1970-2010.
Takriban vitivo vyote pale UDSM 1970-2010 vilikua na aidha mkuu wa kitengo mchagga au msaidizi wake.
*********
Tuhuma za Mwenyekiti Mbowe...
Inawezekana kutokana na facts hizo hapo juu wimbi kubwa la wachagga walifanikiwa kuingia kwenye ajira rasmi na zisizo rasmi.
Mwendazake kuzuia ajira kwa wachagga serikalini, inawezekana ukawa ni ukweli ambao hauwezi kuthibitishwa popote... Zaidi ya hisia tu kama ambavyo wenyeji wa Mkoa wa Mara waliingia kwenye majeshi ya ulinzi na usalama.
VYOVYOTE IWAVYO
Yumkini ilikua ni wakati sasa wa kulitizama Taifa katika sura tofauti na ndipo mwendazake akaoneokana kuajiri ma Homeboy zaidi. Kitendo ambacho ni sahihi kwani kwa aina ya utendaji aliokuwa akiuhitaji alikua hana budi kuchukua watu ambao watakua loyal kwake.
APPROACH YA MBOWE
Bwashee angeweza kutafuta namna nzuri ya kuliongelea hili na sio kwa namna ambavyo ameamua kuli present kwa jamii ambayo madhara yake ni kwamba;
Makabila 130+ hayawezi ku sympathize na kabila moja ambalo kimsingi sio wanyonge wala masikini.
Tamko lake linaweza kuanza kuibua hisia za makundi mengine ambayo yamesahaulika na mfumo.
Mfano;
Waislamu, Wakristo lakini KKKT, Wanawake na kundi lenye watu wenye mahitaji muhimu (walemavu, Albino na Wasioona)
MY TAKE
CHADEMA kwa sasa kinahitaji Mwenyekiti mwenye vision kubwa zaidi. Uwezo wa Mbowe kwa sasa unafikirisha sana.
Wasalaam
Ona huu upumbavu!Kwani iliwezekanaje
Waziri wa Afya...
Mganga Mkuu wa Serikali...
Katibu mkuu wizara ya Afya kuwa wa sehemu moja?
Funga kazi ni katibu mkuu wa Sekta nyeti kuwa mpwa wa Mfalme...why?? Why??
Magufuli ni shetani kabisa tena beezebul iblisMlisema NYERERE kwa kuweka mizani ya maslahi ya watanzania wote....hatuwashangai mkamshambulia kipenzi chetu MAGUFULI....
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana KaskaziniKama hii kauli imetolewa na Mbowe ni wazi amefilisika
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana KaskaziniIli chama kishinde lazima pia kiungwe mkono na vyombo vyote vya usalama.
Kwa akili hizi za Mbowe chadema itaungwa mkono na chombo kipi cha usalama?
Mbowe ni mbumbumbu wa siasa
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana KaskaziniKumbe baba yako akifa huwa mapenzi yanamalizika zwazwa?!!
Na ili uyaendeleze basi ni kufukiwa naye ?!! Si ndio bwana HOBOBO?!!!
Basi Mbowe hana akili ni wa kupuuzwaWachagga na Wasukuma wenye akili zao hawawezi nunua hili wazo la ukabila
"Siasa za kijinga "
Si na wapenzi wetu wa kanda ile dada wasio na tamaa ya hela tunajilia vyetu . Anakutoa na hela ukimaliza
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana KaskaziniAisee mwenyekiti mbona kama unafeli hapo...