Aliajiriwa mwaka gani?Diwan Athuman ni msukuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliajiriwa mwaka gani?Diwan Athuman ni msukuma?
Unataka wakupe vya bure mkuu,sogea hapo mombasa chapWachaga wengi wao wezi pia wachoyo na wanaukabila sana hawafai katika utumishi wa umma....waendelee na biashara zinawatosha.
Ni mpare siyo mchagaDiwan Athuman ni msukuma?
Sadist,loser hawakosi maneno, fanya Kaz weweNinyi endeleeni na WIZI naona umewatoa sana.
Uwaziri siyo kazi ya kuajiriwa ni uteuziWaziri wa Kilimo atakuwa msukuma wa Malampaka sijui
Kazi nafanya sana ndio maana silalamiki, kabila langu limenyimwa teuzi.Sadist,loser hawakosi maneno, fanya Kaz wewe
Diwan Athuman ni msukuma?
Waziri wa Kilimo atakuwa msukuma wa Malampaka sijui
This is real nonesense.Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
Pia aelewe kazungumzia kuajiruwacsiyo teuziUwe unajiongeza..Huyo ni wa awamu ya sita..anachosema mtoa mada ni awamu ya tano.
Chasaka ni nini ?Nenda TRA Arusha wachaga watupu,wanaubaguzi sana hawa jamaa,zamani nijua Wahaya lakini nilipokaa Arusha ndo nakaona hawa ni kiboko.
hapo ndo nilielewa na maana ya chasaka.
Awamu ya tano si alikuwa mtendaji mkuu wa wizara ya Utalii na maliasili? Ama hujui alikotokea? Unadhani nani alimtoa huko chuoni alikokuwa anafundisha kama sio Magufuli. Na hata uwaziri huu alionao sasa kapewa na Magufuli..Samia alipoingia akaendelea kumuacha na uwaziri wake...hujui lakini unajifanya wajuaUwe unajiongeza..Huyo ni wa awamu ya sita..anachosema mtoa mada ni awamu ya tano.
Kwaiyo Magufuli alibomoa nyumba zilizo katika hifadhi ya Morogoro Road sababu wakiishi wachaga?Siyo vema sana kuongelea mambo ya ukabila hapa Tanzania, lakini kwa hakika vitendo vya Rais Magufuli vinatulazimisha tuingie huko.
Magufuli alikuwa very clear katika chuki yake dhidi ya Wachagga. Unaweza kuelewa chuki yake kwa kiasi fulani. Nyerere alikutana na "The Chagga Problem" katika elimu. Kutokana na uchagani kuwepo shule nyingi za msingi, Wachagga wengi zaidi walikuwa wakiingia sekondari kuliko makabila mengine. Hili lilikuwa bomu. Nyerere akaja na solution. Quota system. Idadi maalum ikagawanywa kila mkoa, ili kutoa fursa sawa kwa mikoa yote, hata kama inamaanisha kuna vijana wa kichaga waliofaulu vizuri wataachwa ili kuchukua wa mikoa mingine wenye ufaulu wa chini.
Nyerere alifanya haya bila chuki yoyote dhidi ya Wachagga.
Magu ni tofauti. Alibomoa Kimara kwa ukatili usio na kipimo, akijua wamejaa Wachagga, wakati kule Mwanza alisitisha bomoabomoa, akitangaza bila aibu, mchana kweupe, MSIWABOMOLEE HAWA WALINIPA KURA!!
Magufuli alichukia sana Wachagga. Maeneo mengi kawaondoa, lakini badala yake kajaza wasukuma wengi mno, na kwa hiyo hatatui chochote, bali anatia chumvi nyingi mno kwenye kidonda.
Wakati Nyerere alikuwa anapambana na ukabila, Magu kaurejesha kwa kasi
Hii hoja ya kwamba haifai kuongelea ishu za Magufuli kwa sababu tu amefariki, ni sumu tunalishwa. Magufuli aligombea urais kwa hiari yake. Alibeba majukumu ya kitaifa. Anawajibika kwa wananchi. Historia inatuwezesha kujifunza kutokana na yaliyotendwa zamani.Mkuu kuliongelea swala la chuki za magufuli dhidi ya wachaga na hata wahaya nimewasikia wakilalamika kuchukiwa na magufuli haliwezi kuwa relevant kwa sasa kwani ameshafariki, labda kama una hoja kwamba wachaga wanachukiwa na kila rais atakayekuja na serikali nzima..
Huu ni ukweli mtupu Hayati alikuwa na mabaya yake mengi. Kaulize wachagga sio wakina Sabaya . Tatizo zuluma zina mwisho hata ukijiona wewe ni Mungu yule Mungu wa kweli anarekebisha huo ndiyo ukweli.Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''