Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Njia pekee ni kuufanya uchumi wetu usizalishe wamchinga, bodaboda na mama ntilie wanaouza vyakula kwenye ndoo kwa mwendokasi.
Ukweli ni kwamba machinga hufuata wateja,njia pekee ya kukabiliana na machinga ni kujenga miundombinu ambayo ita accommodate biashara zao na hapa lazima watu wa mipango miji na wajenzi wa Barabara lazima waanze kufanya hili..
Swala la kuwapeleka sijui wapi wakati wao wanafuata wateja ni uongo.