Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

Um
Umesema wewe nani akupinge. But check me pm tafadhali.
Mh. My akaunti imepata shida and I lost pia the contact! Tafadhali Mama.....
 
Sasa hapo ndipo unaharibu kabisa, Hata tukimuacha Januari pembeni, Kikwete na Ridhiwani wameshatukanwa sana kwenye blog, wewe unazungumzia huo udugu wa makopa wa Kikwete na Kimambi, wakati Mange hata ndugu zake wa kuzaliwa akina Anili ameshawatukana sana?

Hayo ya kigogo mimi siyajui, the topic here is Mange kimambi na uhusika wa wanaomtuma kumtukana Mama Samia, which most of us tunakubali kuwa yawezekana ni January na genge lake, ikaja hoja yakuwa mbona hata January ameshawahi kutukanwa na Mange sana? (Hiki ndicho unachokikataa wewe) Wengine tukaconclude hata kama Mange ameshamtukana January sana hapo kale (akatoa na ushahidi wa January kuhusika na Scam moja hivi) bado haiondoi ukweli kuwa baada ya kupatana anaweza mtumia pia. Kigumu kwako kuelewa ninini hapa?

I see umetoka kwenye “hajawahi kumtukana” hadi “hawajawahi kugombana”.

Unajaribu kucontrol hii narration kwa maslahi ya nani? Your ego is too big to accept that you fuc*** up in your first comment.

Ciao.
 
Samahani kwa kusema haya ila inabidi niseme tu ukweli kuwa jamii ya Kitanzania ni jamii ya kijinga, watu wengi wanapenda majungu, wana chuki, wapenzi wa udaku, na hawana akili za maendeleo
 
Kiongozi kutukanwa, wananchi kumtukana kiongozi, ni sehemu ya haki ya binadamu na uhuru wa kujieleza.

Kama mtu hataki kutukanwa asigombee uongozi.
 
Ila hata kama siyo President ni mke wa mtu na ni mama .

Hii siyo sawa.

Hivi huo usalama wa taifa huwa wao hawana Instagram ?
Hata mimi nineshangaa mtu anataja jina kabisa fulani acha kufanya hivi na fulani mmmh nimeogopa hii si kweli
 
Walianza wenyewe kuwadhalilisha wapinzani Sasa yamewarudia hapo Nani wakulaumiwa? Au wapinzani walipokua wanakandwa ulikia hauumii? Waswahili wanasema muosha huoshwa ndio Mana unapoona vitendo viovu jitahidi kukemea iwe imetokea kwako au kwa mwengine Ila ukijifanya haikuhusu siku ikirudi kwako unatakiwa kupokea kwa mikono miwili,kinachotokea leo nimatokeo ya ujinga wakufumbia macho maovu kwakudhani upo salama bila kujua kesho itakua zamu ya Nani tujifunze kuheshimu utu kwa yoyote kwakua binadamu wote ni ndugu
 
Hasira mlizo nazi mgezihamishishia kudai katiba mpya na tume huru huenda bandari na ngorongoro visingruzws
 
Watu wakiongea vizuri na Mange atamtaja anayemtuma !
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai !! 🙏
 
Kiongozi kutukanwa, wananchi kumtukana kiongozi, ni sehemu ya haki ya binadamu na uhuru wa kujieleza.

Kama mtu hataki kutukanwa asigombee uongozi.
Kweli mkuu, Sasa mtu km mama samia akitukanwa yeye anapata hasara gani mbona anakula mema ya nchi... Hv mtu km mama Samia tukisema tubadilishane maisha mm niende ikulu nikatukanwe yeye achukue maisha yangu atakubali!!!!

Watu mbona wanakuza sana mambo, mbona mama samia amefanya maisha yetu yamekua magumu mpaka watu wanatudharau na wake zetu kututukana, hii haijakaa sawa maana mama samia huwa anawatukana wananchi kila siku indirectly.... Ameuza bandari zetu, kodi kila mahali, maisha magumu... Hayo yote ni zaidi ya matusi...
 
1.Rais ni political figure.
2.Rais kutukanwa kimsingi ni political speech.
3.Wananchi wanatakiwa kuwa na haki ya kikatiba kufanya political speech
4. Wananchi wanatakiwa kuwa na haki ya kikatiba kumtukana rais.
 
Mange ni ishara ya maelezi ya mtoto yaliyofeli nchini mwetu. Nyumbani, shuleni, nk. Ni ajabu kuona nchi inaingiza mtaala WA dini, na kuona mitalaa ya maelezi, na makuzi ya mtoto sio muhimu. Nchi zinazojielewa zinaanzania kumlea mtoto toka akiwa mtoto.

Dini peke yake.hataweza kumlea mtoto. Dunia imebadirika Sana
 
Ni aibu yake mwenyewe wala sio aibu yetu Watanzania wote, tafadhali sana. Hivi Rais wa Marekani alipokuwa na kasha ya kufanya ngono na mfanyakazi wake wa Ikulu, ile ilikua ni aibu ya Wamarekani wote? Acheni bhange
 
Viongozi wetu wajitafakari wawajibike kurudisha heshima zao, ukiona watu wanafurahia means wanamtazamo sawa na aliyetukana ni vile wao hawawez kuongea km yeye... Siungi mkono kbs watu kuwatukana viongozi wao kwan nao n binadamu wanaweza wakafny vbaya zaid na kuharibu badal ya kujenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…