Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

Hivi watu kwanini mnakumbu kumbu fupi?

Mumesahau aliyeanzisha kazi ya matusi ni JPM kupitia Musiba. Mbona hatukuwasikia mkimkemea Musiba leo mnamkemea yule Dada! kwa lipi.

Unapanda Bangi ukitegemea utavuna Alizeti!

JokaKuu Pascal Mayalla

Mkuu unafikiri tunaopinga hili wote ni wana CCM? unafikiri na Musiba hatukumpinga? Utu wa mtu ni kitu chenye thmani sana, kama musiba tulimpinga kwanini huyu tufurahie? au kwa kua ni mwana CCM?
 

Unauhakika kama wote tulikua tunacheka?
 
Huyo wa 2005 sidhani hata kama anakuelewa
 
1.Rais ni political figure.
2.Rais kutukanwa kimsingi ni political speech.
3.Wananchi wanatakiwa kuwa na haki ya kikatiba kufanya political speech
4. Wananchi wanatakiwa kuwa na haki ya kikatiba kumtukana rais.
We jamaaa 😂😂😂
 
Naunga mkono hoja,
niliwahi kuuliza Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani? kisha nikatoa wito huu

View: https://youtu.be/-sr2_3bIHSo?si=yQeDzJ1GEvB3Hb-4Bado naendelea kusisitiza, Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
Hili la rais wetu kudhalilishwa, halivumiliki!.
P
 
Lilikuwa kosa kubwa sana kwa Rais Samia hata kumsogelea huyo chizi Mange ! Uwezi kujenga ukaribu na chizi ukafikiri uko salama!
Ni kweli.

Ila ukiangalia tena hilo tukio mpaka Rais Samia anafika hapo nje na kupeana mikono na Mange, vyote ni pre planned.

Ni Kama Rais Samia nae aligeuzwa/amekua Kete Kama kete nyingine na ule ni mtego ambao ulipangwa mahususi kutumika kwa ajili ya yanayoendelea sasa.

Ni Kama sio bahati mbaya kabisa.
 
Hahaha ule umoja wa kumuondoa kikwazo wao walifanikiwa sasa nchi wanayo ila ndiyo hivyo kila kitu wameshindwa hahah ana Mifupa ya Dkt Magufuli bado inawasumbua ile balaa. Nenda kijijini hebu taja jina la eti …sam utapigwa mawe mpaka kufa. Halafu sasa wanamtengenezea zengwe kama la mhisbu, na eti wanang’aka uchaguzi 2025 hakuna kubebana eti kura ni haki bin haki kumbe wanamuandaa kisaikolojia, watameguka na chama chao, kura zitapigwa na atarudi kizimkazi na jela itamhusu hahaha ila siasa za bongo unahitaji akili za ziada. Pona yake ni katiba na kuachia madaraka akalee wajukuu.
 
huyu kaka mkubwa nilianza kumuangalia kwa jicho pevu alivyowadindia kina gsm kule mikocheni na kumpa shit nyingi sana injinia while hayupo madarakani....kifupi ni jeshi la mtu mmoja alafu seems wazee wanamzingatia sana huyu braza tofauti na sisi mayanki tunavyomuona.

let saga continue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…