Hivi watu kwanini mnakumbu kumbu fupi?
Mumesahau aliyeanzisha kazi ya matusi ni JPM kupitia Musiba. Mbona hatukuwasikia mkimkemea Musiba leo mnamkemea yule Dada! kwa lipi.
Unapanda Bangi ukitegemea utavuna Alizeti!
JokaKuu Pascal Mayalla
Mkuu unafikiri tunaopinga hili wote ni wana CCM? unafikiri na Musiba hatukumpinga? Utu wa mtu ni kitu chenye thmani sana, kama musiba tulimpinga kwanini huyu tufurahie? au kwa kua ni mwana CCM?