Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

Ila uongozi ni mgumu sana aisee mimi kwa hulka yangu nina huruma sana ila kamwe sina hurumaa kabisa na mtu anayenidharau kwa kweli hii nchi ni kubwa sana na viongozi wenye uwezo na heshima wapo wengi sana nisinge jiuliza mara mbili.
 
Bimaza anasagana? Nawauliza
 
Hizo ni proxy (kuchanganya watu wenye akili ndogo)

Utakumbuka kuwa ile akaunt ya kigogo anayeimiliki boss wenu huwa anajitukana pia [emoji16]

Ila mnaakili ndogo sana pamoja na kubebwa kote
Basi bila shaka umeanza kufuatilia hizi mambo juzi juzi tu au kama Watanzania wengi walivyo una kumbukumbu fupi.... Si ndiye huyu mange aliyesema January anamtumia dadake yeye anaiba pesa serikalini anawekeza wka dadake. Akavujisha picha za familia ya Makamba wanaenda kuzindua nyumba aliyonunua mwamvita dubai. Ndipo ugomvi ukaanzia hapo akaanza washambulia? Huyu huyu mange ameisahmbulia familia ya JK na Rizwan enzi hizo. Una kumbukumbu fupi au haya mambo umeanz ayafuatilia juzi
 
Atakuwa charged kwa kosa/makosa gani na mahakama ipi.

Ni muhimu ufahamu Mange anaishi US kwa status ipi ndio utajua ugumu au wepesi uko wapi.
Raia wa Marekani kwa kigezo cha kuzaa watoto na raia wa Marekani kuna kingine?
 
Hizo ni proxy (kuchanganya watu wenye akili ndogo)

Utakumbuka kuwa ile akaunt ya kigogo anayeimiliki boss wenu huwa anajitukana pia [emoji16]

Ila mnaakili ndogo sana pamoja na kubebwa kote
Unazungumza conspiracies yani vitu visivyokuwa na ushahidi. Kwa hiyo Mange alianza kumtukana January enzi za Kikwete akiwa hata hajajua kama JPM atakuwa rais wala Samia atakuwa rais ili aje amtumie baada ya Samia kuwa rais kumtukana samia na watu wasijue?
Enzi mange anamtukana January, ilikuwa ni enzi za JK ambapo january alikuwa ni mtu ambaye hajapitia matatizo na ikiaminika kuwa anaweza kuja kuwa rais.
Mnatafuta mtu wa kumuuzia kesi lakini hakuna connection. Bidada amekuwa akitukana toka enzi hizo na hulka na tabia yake. JK na serikali yake hawakuhangaika naye ndio maana haikuwa big deal. Serikali ya JK haikuwa na tabia ya kutolea matamko issue kama hizi za Mange. Wao walikuwa wadeal na akina Slaa ndio maana yalikuwa yanaishia tu huko huko.
 
Atakuwa charged kwa kosa/makosa gani na mahakama ipi.

Ni muhimu ufahamu Mange anaishi US kwa status ipi ndio utajua ugumu au wepesi uko wapi.
Ulemavu wa kufikiria mkuu ni mwingi miongoni mwetu.
Watu wanadhani anaishi Iringa ambapo vijana wa Lumumba pale wata vaa miwani myeusi na kumchukua km MDUDE
Mimi sijamnyooshea kidole ila naona upepo wa thread hii unamsema January. Lema huyu huyu aliyesema Ni furaha kwa Mungu Lowassa kupigwa mawe halafu baadaye akasema mwenye ushahidi aende mahakamani au lema yupi mkuu? Sijamsikiliza kumbe kataja majina?
 
Wewe akili yako ndogo

Mange ni ukurasa unaotumiwa na wanasiasa wenye nia mbaya na hii nchi toka kipindi cha magufuli

Nenda kajadili mapenzi uwezo wako mdogo
Niondolee ushamba wako,mjini mnaingia na maroli ya mkaa halafu mnaleta ujuaji,Mange wewe umemjulia Instagram,Mange kaanza kutukana watu tangu early 2000 kwenye blog yake ya U-turn,ndio maana nakwambia yule anajitukaniga yeyote saa yeyote........akili ndogo ya nyoko
 
Unazungumza conspiracies yani vitu visivyokuwa na ushahidi. Kwa hiyo Mange alianza kumtukana January enzi za Kikwete akiwa hata hajajua kama JPM atakuwa rais wala Samia atakuwa rais ili aje amtumie baada ya Samia kuwa rais kumtukana samia na watu wasijue?
Enzi mange anamtukana January, ilikuwa ni enzi za JK ambapo january alikuwa ni mtu ambaye hajapitia matatizo na ikiaminika kuwa anaweza kuja kuwa rais.
Mnatafuta mtu wa kumuuzia kesi lakini hakuna connection. Bidada amekuwa akitukana toka enzi hizo na hulka na tabia yake. JK na serikali yake hawakuhangaika naye ndio maana haikuwa big deal. Serikali ya JK haikuwa na tabia ya kutolea matamko issue kama hizi za Mange. Wao walikuwa wadeal na akina Slaa ndio maana yalikuwa yanaishia tu huko huko.
Hebu mwambie analeta ujuaji wa kijingajinga hapa
 
Back
Top Bottom