Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #141
Ndo wanasiasa walivyo.So, wakati anamtukana Lowassa alikuwa anatumwa na CCM. Inawezekana maana aliwahi kusema alipoanza kuigeuka serikali ya JPM Nape alimtafuta na kumuuliza shida ni nini au anataka nini aendelee kuwaunga mkono, wakati huo bado nape alikuwa hajatumbuliwa na JPM, bado hawajapishana.