Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

So, wakati anamtukana Lowassa alikuwa anatumwa na CCM. Inawezekana maana aliwahi kusema alipoanza kuigeuka serikali ya JPM Nape alimtafuta na kumuuliza shida ni nini au anataka nini aendelee kuwaunga mkono, wakati huo bado nape alikuwa hajatumbuliwa na JPM, bado hawajapishana.
Ndo wanasiasa walivyo.
 
Ila hata kama siyo President ni mke wa mtu na ni mama .

Hii siyo sawa.

Hivi huo usalama wa taifa huwa wao hawana Instagram ?
Nami dadangu naliangalia hili kwa upande wa pili, yaani mama, mke, bibi, mkwe.

Serikali ichukue hatua dhidi ya utukanaji kwa mwananchi yeyote,siyo mpaka awe kiongozi.

Lugha ya kuudhi na uzalilishaji ni makosa, ni nani anayetakiwa kushitaki!!??
 
Kipindi kile anatukanwa Magufuli na watu mbalimbali tulikuwa tunashangilia sana hasa sisi upande huu wa mkono wa kushoto katika mwili huu mmoja. Nilisema hatupo salama. What goes around comes around.

Waliwezeshwa sana watu wadumu kila siku kumtukana Magufuli. Mimi nyuzi zangu zipo humu. Kuna maamuzi kadhaa ya Magufuli nliyapinga. Kwa hoja. Sikuwa namtukana.

Hawa hawa watu ndiyo ambao sasa wamegeuka wanamtukana Rais aliyepo madarakani. Na anakaa nao mezani anacheka nao. Kama tu ilivyokuwa mwanzo na hata sasa ndivyo ambavyo itakuwa.

Huwa nawaza hicho kisichana kimangi kimekuzwa na nani? Kinachofanya ni ushenzi wa hali ya juu. Mliokuwa mkishangilia wakati anatukanwa Magufuli sasa mnaanza kuona unapomfuga chatu.

Yeye kumtukana Rais haiiniumizi kichwa. Inaniumiza kichwa kuwa ana wafuasi. Ana mashabiki. Hapo ndo naona tatizo la watanzania. Wengi hawna akili. Wengi hawajielewi. Mimi jana mtu wa karibu nami alinitaka nisome yale matusi akichekelea. Nilimwambia hana akili. Huwezi furahia mwanamke, rais anatukanwa vile. Hata kama unapishana naye kiitikadi. Si sawa.

Uhuru una mipaka. Hakuna uhuru usio na mipaka. Labda ukiwa kaburini tu. Duniani kila kitu kina mipaka. Mangi athibitishe maneno yake.
Ccm inakwenda na maji ,Mungu alisha ifuta kimamlaka katika utawala , tumesema mara nyingi hamsikii ,sasa hizi ni rasharasha tu, na kama uchaguzi ukifanyika 2025 ccm mkaiba shauri yenu
 
Wewe ndiye mjinga wa mwisho. Ni mjinga anayeweza kudhani hii mieizi iliyobaki kuna atakaye mpindua samia apeperushe bendera ya CCM. Ndiyo maana nakwambia unaongea conspiracy. January sio mjinga awaze anaweza kuwa rais kabla ya huyu mama kumaliza awamu zake, hata mwigulu hawezi waza hilo. Hizo ni fikra zako wewe mwenyewe na hao watu wako mnajaribu connect dots ambazo hata ushahidi hamna.
Mtu akikufatilia kwa muda mrefu post zako thread hii, inawezekana ukawa proxy ya January kweli, kuna kitu unalazimisha sana na kukitetea sana. Kwanini unalazimisha kwa nguvu zote kwamba 2025 lolote haliwezi kutokea!?,tumekuuliza hapa unaijua siasa vizuri!?,hujajibu.. ila watu wakikwambia ugomvi huu ni wa Uraisi 2025 unakuja juu sana kusema hawana ushahidi, waweza kuhisi upo mbele ya wengine kumbe katikati ya mistari yako unasomeka kirahisi sana.
 
Kipindi kile anatukanwa Magufuli na watu mbalimbali tulikuwa tunashangilia sana hasa sisi upande huu wa mkono wa kushoto katika mwili huu mmoja. Nilisema hatupo salama. What goes around comes around.

Waliwezeshwa sana watu wadumu kila siku kumtukana Magufuli. Mimi nyuzi zangu zipo humu. Kuna maamuzi kadhaa ya Magufuli nliyapinga. Kwa hoja. Sikuwa namtukana.

Hawa hawa watu ndiyo ambao sasa wamegeuka wanamtukana Rais aliyepo madarakani. Na anakaa nao mezani anacheka nao. Kama tu ilivyokuwa mwanzo na hata sasa ndivyo ambavyo itakuwa.

Huwa nawaza hicho kisichana kimangi kimekuzwa na nani? Kinachofanya ni ushenzi wa hali ya juu. Mliokuwa mkishangilia wakati anatukanwa Magufuli sasa mnaanza kuona unapomfuga chatu.

Yeye kumtukana Rais haiiniumizi kichwa. Inaniumiza kichwa kuwa ana wafuasi. Ana mashabiki. Hapo ndo naona tatizo la watanzania. Wengi hawna akili. Wengi hawajielewi. Mimi jana mtu wa karibu nami alinitaka nisome yale matusi akichekelea. Nilimwambia hana akili. Huwezi furahia mwanamke, rais anatukanwa vile. Hata kama unapishana naye kiitikadi. Si sawa.

Uhuru una mipaka. Hakuna uhuru usio na mipaka. Labda ukiwa kaburini tu. Duniani kila kitu kina mipaka. Mangi athibitishe maneno yake.
Kama wenye Serikali wanaona matusi ndio uhuru Wacha watukanwe.

Hata Mimi napenda uhuru wenye mipaka
 
Mjinga ni wewe ambaye unadhani kuna mjinga yeyote ambaye ni mteule wa Samia anaweza kudhubutu kuchukua fomu kumchallenge wakati akijua fika lazima Samia amalize vipindi viwili. Hizo ni fikra zako mwenyewe na fomu washasema inatoka moja.
Mkuu hiyo ya lazima Samia amalize vipindi viwili umeisoma wapi!?,kwanini unakomaa watu wakariri hivyo!?,unaficha nini nyuma ya pazia?,wewe ni Mungu?,una guarantee gani ya maisha kwa kiongozi yeyote!?,michango yako sio ya wachangiaji wa kawaida JF, una ajenda za siri nyuma yako, mwanzoni sikugundua hilo, kuna vitu unakomalia sana hadi umeshtukiwa.
 
Tena Simba Chawene akaambiwa amtafutie hadi pass ya kusafiri kabisa …hivi kweli kwa ule udhalilishaji na matusi aliyokuwa anapewa JPM na Mange kabla na baada ya kufa sikutegemea kabisa hata Rais na taasisi ya Urais kujihusisha nae huyu mtu lakini watu waliona sifa na wakafurahia sana….! Sasa kinyago hicho hicho kimeanza kuwasumbua wenyewe!
Yani kinyago walichokichonga wenyewe kimeanza kuwatisha
 
Mkuu hiyo ya lazima Samia amalize vipindi viwili umeisoma wapi!?,kwanini unakomaa watu wakariri hivyo!?,unaficha nini nyuma ya pazia?,wewe ni Mungu?,una guarantee gani ya maisha kwa kiongozi yeyote!?,michango yako sio ya wachangiaji wa kawaida JF, una ajenda za siri nyuma yako, mwanzoni sikugundua hilo, kuna vitu unakomalia sana hadi umeshtukiwa.
Hakuna atakaye compete naye mpaka awamu yake ya pili iishe fullstop. Na washasema inatoka fomu moja tu. Hizo zilizobaki ni hisia zako wewe na ni haki yako kuwaza unachowaza.
 
Mtu akikufatilia kwa muda mrefu post zako thread hii, inawezekana ukawa proxy ya January kweli, kuna kitu unalazimisha sana na kukitetea sana. Kwanini unalazimisha kwa nguvu zote kwamba 2025 lolote haliwezi kutokea!?,tumekuuliza hapa unaijua siasa vizuri!?,hujajibu.. ila watu wakikwambia ugomvi huu ni wa Uraisi 2025 unakuja juu sana kusema hawana ushahidi, waweza kuhisi upo mbele ya wengine kumbe katikati ya mistari yako unasomeka kirahisi sana.
Sasa wewe unayemponda tuseme basi na wewe umelipwa kwa mtu hafanyi lolote pasipo kulipwa basi na wewe utakuwa umelipwa. Eh ushahidi ni jambo la msingi unapokuwa unampa mtu tuhuma. Mfano wewe mtu atoke huko kwa hisia zake tu kisa alikuona una pesa hajui unazitoa wapi aanze kukutangaza kuwa ni jambazi, utapenda? Bila ushaidi huo akutangaze utapenda?
 
Baba yake ndo aliliwa tigo na kundi la wanaume na kurekodiwa juu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu huko kigoma ile aibu akaamua ajinyonge ndo maana huyo kimavi akili zimefyatuka
Kumbe ndio yalikua hayo? Baba yake Mzee Jumanne Ramadhan Kimambi aliliwa kiboga na Mob alafu wakamrekod na Clip wakaiweka ukumbusho inamaana hadi Mange aliona video hio Baba yake akiwa anauugulia kwa hio mtoto imemu-affect kisaikolojia masikini Mange
 
Back
Top Bottom