Hili linaweza kuwa suluhisho la kulea watoto wa kubambikiziwa?

Hili linaweza kuwa suluhisho la kulea watoto wa kubambikiziwa?

passion_amo1

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2023
Posts
1,828
Reaction score
3,922
Habari za uzima wakuu?

Nikiwa naelekea katika harakati jumatatu njema kabisa, nikakutana na hii kitu hapa.

Hii ni HOME DNA TESTS KIT, kama ambavyo wanawake wanaweza kujipima mimba na wanaume wameletewa hii.

Kwani Nchini Tanzania zimefika hizi au Ndio kupima kwa kila mtu mmoja mmoja na gharama yake ili kuendelea kuficha na kupunguza migogoro ya ndoa kuvunjika?

Tupe maoni yako.

01D0C617-B7C0-4585-B18B-B47074011BE8.jpeg
E4AC2F5C-A5BB-424C-97BC-D6F6F0672BBC.jpeg
 
Wazee wetu walikuwa wanazalisha sana nje, hata wao walikuwa wanalea watoto wa nje! Mfano katika watoto 7 mmoja au wawili siyo wake, kwakuwa hata yeye ana watoto nje ilikuwa inaisha hivyo
[emoji2962][emoji2962][emoji2962]
 
Habari ya uzima ni njema kabisa.
Mkuu hiyo bidhaa umekutana nayo maeneo gani? Kuna kiumbe nahitaji kum DNA test
Nimeiona mitandaoni, ila wanasema haina majibu sahihi zaidi, hata Amazon zipo.

Unafikiri zikiwa accurate zitataua changamoto?
 
Back
Top Bottom