Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
Mtu anatakiwa apate councelling,awe na utayari chanya wakupokea majibu mazuri au mabaya.Kama kuachana waachane kwa amani.Sasa mtu hajaandaliwa kisaikolojia kaenda pharmacy kakinunua,kapitia Bar kashtua kidogo kaenda home kapima kakuta toto nne zote sio zake undhani nini itatokea mkuu?Kwanini mkuu?
Kingine wachina wanaweza kutuletea feki familia zikasambaratika kwa majibu ya uongo.