Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
😁😁Acha woga wew au ushambambikia mwanetu hapo unaogopa atakuua😀😀
Hapana mkuu mi ntauliwa kwa mengine sio hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁Acha woga wew au ushambambikia mwanetu hapo unaogopa atakuua😀😀
Kifaa home ? Utakua unakitumia kufanyia nini? Kama kupima huruhusiwi… usitafute kesi lea Watoto wako…Sheria haizuii uwepo wa vifaa home
Hakita ruhusiwa kuingia hizo ni mali za mkemia mkuu labda uingize kama madawa ya kulevyaKama hapa ndani hakuna, acha niangize kupitia alibaba.
Huyu mwenye hiyo Patent atapiga pesa sana. Ataweza kuwa tajiri kuliko Boss wa microsoft kwa mwaka mmoja tu. La msingi ajitahidi kuhakikisha umakini/usahihi wa majibu ya test yenyewe.Habari za uzima wakuu?
Nikiwa naelekea katika harakati jumatatu njema kabisa, nikakutana na hii kitu hapa.
Hii ni HOME DNA TESTS KIT, kama ambavyo wanawake wanaweza kujipima mimba na wanaume wameletewa hii.
Kwani Nchini Tanzania zimefika hizi au Ndio kupima kwa kila mtu mmoja mmoja na gharama yake ili kuendelea kuficha na kupunguza migogoro ya ndoa kuvunjika?
Tupe maoni yako.
View attachment 2865155View attachment 2865156
Sio rahisi mkuu kama unavyofikiriHuyu mwenye hiyo Patent atapiga pesa sana. Ataweza kuwa tajiri kuliko Boss wa microsoft kwa mwaka mmoja tu. La msingi ajitahidi kuhakikisha umakini/usahihi wa majibu ya test yenyewe.