Hili linaweza kuwa suluhisho la kulea watoto wa kubambikiziwa?

Mtu anatakiwa apate councelling,awe na utayari chanya wakupokea majibu mazuri au mabaya.Kama kuachana waachane kwa amani.Sasa mtu hajaandaliwa kisaikolojia kaenda pharmacy kakinunua,kapitia Bar kashtua kidogo kaenda home kapima kakuta toto nne zote sio zake undhani nini itatokea mkuu?

Kingine wachina wanaweza kutuletea feki familia zikasambaratika kwa majibu ya uongo.
Acha woga wew au ushambambikia mwanetu hapo unaogopa atakuua😀😀
 
Mtu anatakiwa apate councelling,awe na utayari chanya wakupokea majibu mazuri au mabaya.Kama kuachana waachane kwa amani.Sasa mtu hajaandaliwa kisaikolojia kaenda pharmacy kakinunua,kapitia Bar kashtua kidogo kaenda home kapima kakuta toto nne zote sio zake undhani nini itatokea mkuu?

Kingine wachina wanaweza kutuletea feki familia zikasambaratika kwa majibu ya uongo.

Mstari wa mwisho kabisa uko sahihi sana.

Huko mwanzo ni suala la kuheshimu viapo vya ndoa, adhabu ni muhimu.
 
Hicho ni kipimo cha awali, unatakiwa ufanye kipimo kikubwa zaidi kuthibitisha. Kwangu hakina maana yoyote maana kinakupa majibu ambayo hayana uhakika wa asilimia mia.
 
Kama hapa ndani hakuna, acha niangize kupitia alibaba.
 
Back
Top Bottom