passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
[emoji2962][emoji2962][emoji2962]Wazee wetu walikuwa wanazalisha sana nje, hata wao walikuwa wanalea watoto wa nje! Mfano katika watoto 7 mmoja au wawili siyo wake, kwakuwa hata yeye ana watoto nje ilikuwa inaisha hivyo
Nimeiona mitandaoni, ila wanasema haina majibu sahihi zaidi, hata Amazon zipo.Habari ya uzima ni njema kabisa.
Mkuu hiyo bidhaa umekutana nayo maeneo gani? Kuna kiumbe nahitaji kum DNA test
Unataka kusema wanaume wengi wanalea watoto wasio wao?Hapo ndoa zitabaki zenye wenye nguvu tu
Itakuwa ni vita vitani
Kwanini mkuu?Serikali wasiziruhusu zitaleta mauaji mengi
Watoto wa mtaani au Ma single mother mkuu?😂Bongo zinapatika hz mkuu,sidhani serikali yetu kama watakubali,watasema watoto wengi wa mtaan wataongezeka[emoji23]
Tuko pamojaSerikali wasiziruhusu zitaleta mauaji mengi
Bora zilete mauaji ili watu wajue athari za udanganyifu na ndivyo nidhamu inavyojengwa.Serikali wasiziruhusu zitaleta mauaji mengi