Hili linaweza kuwa suluhisho la kulea watoto wa kubambikiziwa?

Kwanini mkuu?
Mtu anatakiwa apate councelling,awe na utayari chanya wakupokea majibu mazuri au mabaya.Kama kuachana waachane kwa amani.Sasa mtu hajaandaliwa kisaikolojia kaenda pharmacy kakinunua,kapitia Bar kashtua kidogo kaenda home kapima kakuta toto nne zote sio zake undhani nini itatokea mkuu?

Kingine wachina wanaweza kutuletea feki familia zikasambaratika kwa majibu ya uongo.
 
HAKIKA
 
Bora zilete mauaji ili watu wajue athari za udanganyifu na ndivyo nidhamu inavyojengwa.
Tatizo vikiruhusiwa kupatikana kiholela mnaweza kuua hata wasio na hatia aidha kwa kutojua kuvitumia vizuri au kwa wachina kuleta feki vinavyosema uongo.

Imagine umeua mke na mtoto/watoto na wewe uko jela then unasikia vipimo vilikua feki
 
Wazee wetu walikuwa wanazalisha sana nje, hata wao walikuwa wanalea watoto wa nje! Mfano katika watoto 7 mmoja au wawili siyo wake, kwakuwa hata yeye ana watoto nje ilikuwa inaisha hivyo
Ukifanya hivi nyakati hizi ukimwi haukuachi..
 
Hizo kitu zisiruhusiwe kabisa kuna tatizo litajengwa soon kama zitaruhusiwa kutumika hapa nchini
 
Kipimo kizuri tokea zamani ni kuchek vidole tu vya mikononi au miguuni
 
Kipimo hiki kitakuwa cha awali! Confirmation ni kwa Mkemia Mkuu
 

Hiyo kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…