Habari za uzima wakuu?
Nikiwa naelekea katika harakati jumatatu njema kabisa, nikakutana na hii kitu hapa.
Hii ni HOME DNA TESTS KIT, kama ambavyo wanawake wanaweza kujipima mimba na wanaume wameletewa hii.
Kwani Nchini Tanzania zimefika hizi au Ndio kupima kwa kila mtu mmoja mmoja na gharama yake ili kuendelea kuficha na kupunguza migogoro ya ndoa kuvunjika?
Tupe maoni yako.
View attachment 2865155View attachment 2865156