Hili ni jambo la mafanikio kwa nchi pia au kwa kampuni binafsi tu?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya

Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya ngano kuwahi kupokewa nchini. Ngano hiyo bora inatarajiwa kutumika katika uzalishaji wa unga wa ngano pamoja na malighafi nyingine kwenye viwanda vya ngano vinavyomilikiwa na kampuni ya SSB.

Kupitia uwekezaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya DP World, shughuli ya kushusha mzigo huo mkubwa inatarajiwa kuchukua siku saba, ambapo leo ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa zoezi hilo.
20250706_185316.jpg
 
Ngano imenunuliwa na kampuni binafsi kwa biashara yake binafsi, si msaada wala ununuzi wa serikali kwa ajili ya wananchi wote.

Mafaniko ya serikali yatoke wapi hapo ?
 
Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya

Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya ngano kuwahi kupokewa nchini. Ngano hiyo bora inatarajiwa kutumika katika uzalishaji wa unga wa ngano pamoja na malighafi nyingine kwenye viwanda vya ngano vinavyomilikiwa na kampuni ya SSB.

Kupitia uwekezaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya DP World, shughuli ya kushusha mzigo huo mkubwa inatarajiwa kuchukua siku saba, ambapo leo ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa zoezi hilo.
View attachment 3396551
Jinsi makontena mengi yanavyoshuka ndio jinsi serikali inapata mapato mengi bandarini direct na Tra Indirect.

Within 4 years Tra mapato yameongezeka kwa zaidi ya 70% na Asilimia kubwa Makusanyo yametoka Bandarini.
 
Siyo mafanikio inatakiwa wewe ulime hizo ngano ili mzee Said aje anunue kwako
 
Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya

Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya ngano kuwahi kupokewa nchini. Ngano hiyo bora inatarajiwa kutumika katika uzalishaji wa unga wa ngano pamoja na malighafi nyingine kwenye viwanda vya ngano vinavyomilikiwa na kampuni ya SSB.

Kupitia uwekezaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya DP World, shughuli ya kushusha mzigo huo mkubwa inatarajiwa kuchukua siku saba, ambapo leo ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa zoezi hilo.
View attachment 3396551
Tanzania eeh Nchi Yangu Eeh.

Ngano ya Austalia ni Bei nafuu kuliko inyolimwa Babati.

Naenda Zimbabwe
 
Jinsi makontena mengi yanavyoshuka ndio jinsi serikali inapata mapato mengi bandarini direct na Tra Indirect.

Within 4 years Tra mapato yameongezeka kwa zaidi ya 70% na Asilimia kubwa Makusanyo yametoka Bandarini.
Yameongezeka kwenye makaratasi tu ila kiuhalisia 🚮
 
Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya

Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya ngano kuwahi kupokewa nchini. Ngano hiyo bora inatarajiwa kutumika katika uzalishaji wa unga wa ngano pamoja na malighafi nyingine kwenye viwanda vya ngano vinavyomilikiwa na kampuni ya SSB.

Kupitia uwekezaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya DP World, shughuli ya kushusha mzigo huo mkubwa inatarajiwa kuchukua siku saba, ambapo leo ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa zoezi hilo.
View attachment 3396551
Hii ngano inauzwa kuanzia Kigoma, ukerewe, Moshi, Tanga, Mtwara, Tandahimba, Songwe, Namanyele, Karia, Nzega, Urambo, Geita, simiyu.

Hivi Tanzania hatuna ardhi inayostawi Zao la Ngano?
 
Inaonyesha fursa kubwa tunazo ila akili zimelala na umaskini wetu, nimeangalia data nimeona tunaagiza ngano tani milioni moja na zaidi kila mwaka, kilimo cha ngano kingetoa ajira kwa mamilioni na billions of income and taxes, tuko busy na utekaji na mafuta ya upako 👎
 
Unajua maana ya Cartels?
 
Jinsi makontena mengi yanavyoshuka ndio jinsi serikali inapata mapato mengi bandarini direct na Tra Indirect.

Within 4 years Tra mapato yameongezeka kwa zaidi ya 70% na Asilimia kubwa Makusanyo yametoka Bandarini.
Haya sasa ndiyo mawazo mgando ya Samia na wewe. Nchi yetu ina ardhi yenye rutuba kila sehemu halafu leo wanatangaza meli iliyoleta unga kutoka nje? Mimi nilidhani ingekuwa hiyo meli imekuja kupakia ngano kupeleka nje ndiyo tungejitapa! Idiots!
 
Awali ya yote pongezi ziende kwa Mama , chini ya utawala wake hili nalo limefanika
 
Haya sasa ndiyo mawazo mgando ya Samia na wewe. Nchi yetu ina ardhi yenye rutuba kila sehemu halafu leo wanatangaza meli iliyoleta unga kutoka nje? Mimi nilidhani ingekuwa hiyo meli imekuja kupakia ngano kupeleka nje ndiyo tungejitapa! Idiots!
Hio ni fursa hata wewe unaweza fanya kama unahisi inalipa, Akili ya watanzania ni hio kujifanya wajuaji na kuelekeza watu ila action zao ni sifuri.
 
Mimi siyo mkulima. Huko ngano inakotoka wana seriakli zenye viongozi wenye akili na siyo hawa wanakwenda kufanya utapeli kwa Mwamposa, tapeli mwenzao. Chuo kikuu cha Sokoine kinaweza kufanya makubwa kwa vitendo. Wajinga nini.
 
Back
Top Bottom