Hili ni jambo la mafanikio kwa nchi pia au kwa kampuni binafsi tu?

Hili ni jambo la mafanikio kwa nchi pia au kwa kampuni binafsi tu?

Haya sasa ndiyo mawazo mgando ya Samia na wewe. Nchi yetu ina ardhi yenye rutuba kila sehemu halafu leo wanatangaza meli iliyoleta unga kutoka nje? Mimi nilidhani ingekuwa hiyo meli imekuja kupakia ngano kupeleka nje ndiyo tungejitapa! Idiots!
Kama aliyenunua ni mtu binafsi maana yake pia waliouza inawezekkana ni watu binafsi.Sasa unaonaje hao watu binafsi watakaolima tanzania ukawa wewe.Kukaa kulaumu serikali wakati huo hufanyi chochote hiyo inaonyesha jinsi ulivyowekeza kwenye kuisubiri serikali ifanye kila kitu uku weweumekaa kusubiri kulaumu.
 
Mafanikio gani sasa, kwamba tumeshindwa kulima ngano ya kumuuzia SSB hayo sio mafanikio.
Mashamba ya ngano yalikuwa chini ya NAFCO Basotu farm...Gawal ...Murjanda...Kidagamoud...Sechet....CMSC...na mengine matatu nimeyasahau (labda wahenga wanaweza nokumbusha)..haya mashamba yalikuwa yanazalisha maelfu ya tani...chini ya wa Canada......watu wakaingiza fitna na siasa....wa Canada wakatolewa....Bakhresa alitaka kuyanunua naye akapigwa fitna.....SASA HII KAMA SI LAANA NI NINI?
 
Mkuu badala ya kulala ingekua vyema kama iyo ngano ungelima wewe said akajakununua kwako, hakuna aliekuzuia.
Endelea kuchezea mchanga kama kichaa maana mjadala huu ni nje ya uwezo wako wa kufikiri kwa kina.
 
Endelea kuchezea mchanga kama kichaa maana mjadala huu ni nje ya uwezo wako wa kufikiri kwa kina.
Kuongea ni rahisi sana,ndicho mnachokiweza.Tena hasa kuongelea pesa za watu wengine.Hizo ni fursa ambazo yoyote anaweza kuzipambania ila tumekalia kulaumu.
 
Kuongea ni rahisi sana,ndicho mnachokiweza.Tena hasa kuongelea pesa za watu wengine.Hizo ni fursa ambazo yoyote anaweza kuzipambania ila tumekalia kulaumu.
Tafadhali, usilete dhihaka hapa. Una uhakika gani kwamba wanaolaumu hawajawahi kupambania fursa hizo? Tumeshuhudia mara nyingi wakulima wakilalamikia sera mbovu na utekelezaji mbovu wa sera hizo za serikali ambazo zimekuwa kikwazo kwa kilimo, Nenda mashambani Nenda vijijini kaone Hali halisi.Kazi Yako kukaa jukwaani kuimba mapambio na kusifia Serikali.
 
Kama aliyenunua ni mtu binafsi maana yake pia waliouza inawezekkana ni watu binafsi.Sasa unaonaje hao watu binafsi watakaolima tanzania ukawa wewe.Kukaa kulaumu serikali wakati huo hufanyi chochote hiyo inaonyesha jinsi ulivyowekeza kwenye kuisubiri serikali ifanye kila kitu uku weweumekaa kusubiri kulaumu.
Umejuaje nimekaa sifanyi lolote? Mmi natimiza wajibu wangu ndiyo maana nailamu serikali kwa kutotimiza wajibu wake.
 
upuuzi mtupu yaani mnajisifu kwa kutoa ngano australia wakati kule babati mashamba makubwa ya ngano mmeua, nchi ya ajabu sana hii hizo tani wangelima watanzania ni ajira ngapi zingekua zimetengenezwa? viwanda navyo mmeuaa mngeuza maknisa ya mchongo ya matapeli kwakweli aliyeturoga alishakufa zamani sana, hii ni aibu hata kuonyesha walitakiwa wapakue usiku tena kimya kimya SHAME.
 
Sasa kama sio mkulima unaongeaje vitu usivyovijua, kesho na keshokutwa mtaanza kulalamika kwanini Serikali yetu haijaleta snow,

Ngano ina hali ya hewa maalum ili ilimike vizuri, unahitaji hali ya hewa ya baridi hadi nyuzi 14 ambazo ni maeneo machache nchi hii inaweza kulimwa, Africa nzima Sehemu chache sana wanalima Ngano, labda uikute Moshi huko na hawawezi waste maeneo yao Kulima ngano wakati kuna mazao ambayo ni profitable zaidi.
20250712_140348.jpg
 
Ndo nini sasa? Yaani mtu mzima great thinker unajibu hoja nzito kwa picha ya Ruto? Ambayo asilimia 99.99% ni AI generated.

Tanzania Sasa hivi kahawa tushawapiga gepu hadi Kenya tupo Nafasi ya tatu Africa nzima nyuma ya Uganda na Ethiopia.

Sio tu Kahawa tupo nafasi ya Tatu bali tunazalisha Arabica zaidi kuliko Robusta, asilimia 70 ya kahawa ya Tanzania ni Arabica ambayo hulimwa kwenye slope za milima huko kwenye baridi mfano maeneo ya karibu na Mlima Kilimanjaro,

Wangeweza kulima Hio ngano kama wewe kilaza unavyo taka ila thank god wana akili kushinda wewe badala ya kulima zao ambalo kilo ni 1500 wakaamua walime zao ambalo kilo ni 10,000.

Screenshot_20250712_144728_X.jpg
 
Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya

Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya ngano kuwahi kupokewa nchini. Ngano hiyo bora inatarajiwa kutumika katika uzalishaji wa unga wa ngano pamoja na malighafi nyingine kwenye viwanda vya ngano vinavyomilikiwa na kampuni ya SSB.

Kupitia uwekezaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya DP World, shughuli ya kushusha mzigo huo mkubwa inatarajiwa kuchukua siku saba, ambapo leo ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa zoezi hilo.
View attachment 3396551
Kama wanalipa Kodi na tozo nyingine hakuna shida
Btn vijana changamkieni kilimo Cha ngano.
 
Back
Top Bottom