Tanzania na serikali yake Haina mafanikio yoyote
Jinsi makontena mengi yanavyoshuka ndio jinsi serikali inapata mapato mengi bandarini direct na Tra Indirect.Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya
Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya ngano kuwahi kupokewa nchini. Ngano hiyo bora inatarajiwa kutumika katika uzalishaji wa unga wa ngano pamoja na malighafi nyingine kwenye viwanda vya ngano vinavyomilikiwa na kampuni ya SSB.
Kupitia uwekezaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya DP World, shughuli ya kushusha mzigo huo mkubwa inatarajiwa kuchukua siku saba, ambapo leo ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa zoezi hilo.
View attachment 3396551
Tanzania eeh Nchi Yangu Eeh.Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya
Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya ngano kuwahi kupokewa nchini. Ngano hiyo bora inatarajiwa kutumika katika uzalishaji wa unga wa ngano pamoja na malighafi nyingine kwenye viwanda vya ngano vinavyomilikiwa na kampuni ya SSB.
Kupitia uwekezaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya DP World, shughuli ya kushusha mzigo huo mkubwa inatarajiwa kuchukua siku saba, ambapo leo ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa zoezi hilo.
View attachment 3396551
Yameongezeka kwenye makaratasi tu ila kiuhalisia 🚮Jinsi makontena mengi yanavyoshuka ndio jinsi serikali inapata mapato mengi bandarini direct na Tra Indirect.
Within 4 years Tra mapato yameongezeka kwa zaidi ya 70% na Asilimia kubwa Makusanyo yametoka Bandarini.
Hii ngano inauzwa kuanzia Kigoma, ukerewe, Moshi, Tanga, Mtwara, Tandahimba, Songwe, Namanyele, Karia, Nzega, Urambo, Geita, simiyu.Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya
Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya ngano kuwahi kupokewa nchini. Ngano hiyo bora inatarajiwa kutumika katika uzalishaji wa unga wa ngano pamoja na malighafi nyingine kwenye viwanda vya ngano vinavyomilikiwa na kampuni ya SSB.
Kupitia uwekezaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya DP World, shughuli ya kushusha mzigo huo mkubwa inatarajiwa kuchukua siku saba, ambapo leo ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa zoezi hilo.
View attachment 3396551
Serikali imetoa wapi hela ya kuongeza minimum wage kwa 60% at same time frame kama imeongezeka kwenye makaratasi?Yameongezeka kwenye makaratasi tu ila kiuhalisia 🚮
Unajua maana ya Cartels?Inaonyesha fursa kubwa tunazo ila akili zimelala na umaskini wetu, nimeangalia data nimeona tunaagiza ngano tani milioni moja na zaidi kila mwaka, kilimo cha ngano kingetoa ajira kwa mamilioni na billions of income and taxes, tuko busy na utekaji na mafuta ya upako 👎
Haya sasa ndiyo mawazo mgando ya Samia na wewe. Nchi yetu ina ardhi yenye rutuba kila sehemu halafu leo wanatangaza meli iliyoleta unga kutoka nje? Mimi nilidhani ingekuwa hiyo meli imekuja kupakia ngano kupeleka nje ndiyo tungejitapa! Idiots!Jinsi makontena mengi yanavyoshuka ndio jinsi serikali inapata mapato mengi bandarini direct na Tra Indirect.
Within 4 years Tra mapato yameongezeka kwa zaidi ya 70% na Asilimia kubwa Makusanyo yametoka Bandarini.
Ni aibu kubwa. Ilitakiwa iwe kinyume chake i.e. imekuja kupakia ngano kupeleka nje kwa sababu tuna ardhi na hali ya hewa nzuri! Hii serikali ian waty wenye akili ndogo kweli kweli.Aibu naona Mimi
Hio ni fursa hata wewe unaweza fanya kama unahisi inalipa, Akili ya watanzania ni hio kujifanya wajuaji na kuelekeza watu ila action zao ni sifuri.Haya sasa ndiyo mawazo mgando ya Samia na wewe. Nchi yetu ina ardhi yenye rutuba kila sehemu halafu leo wanatangaza meli iliyoleta unga kutoka nje? Mimi nilidhani ingekuwa hiyo meli imekuja kupakia ngano kupeleka nje ndiyo tungejitapa! Idiots!
Mimi siyo mkulima. Huko ngano inakotoka wana seriakli zenye viongozi wenye akili na siyo hawa wanakwenda kufanya utapeli kwa Mwamposa, tapeli mwenzao. Chuo kikuu cha Sokoine kinaweza kufanya makubwa kwa vitendo. Wajinga nini.Hio ni fursa hata wewe unaweza fanya kama unahisi inalipa, Akili ya watanzania ni hio kujifanya wajuaji na kuelekeza watu ila action zao ni sifuri.