baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Toa na mifano wa hayo Mashamba na sasa hivi kunafanyiwa niniNani kakuambia Tanzania ina maeneo machache ya hali ya hewa ya baridi hadi ya nyuzi 14?
Unajua wakoloni wamelima ngano sana Tanganyika na waliacha mashamba makubwa tu ya ngano wakati wanaondoka??
Zamaninngano ilizalishwa kwa wingi Arusha na Njombe hapakuwa na sababu ya kuagiza ngano toka mbali na kushangaa meli, tulitakiwa kushangaa meli zinazosubiri kupakia ngano kupeleka njeMeli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya ngano kuwahi kupokewa nchini. Ngano hiyo bora inatarajiwa kutumika katika uzalishaji wa unga wa ngano pamoja na malighafi nyingine kwenye viwanda vya ngano vinavyomilikiwa na kampuni ya SSB.
Tunafanana mawazo mkuu, nimejibu the same hata kabla sijaona comment yakoHaya sasa ndiyo mawazo mgando ya Samia na wewe. Nchi yetu ina ardhi yenye rutuba kila sehemu halafu leo wanatangaza meli iliyoleta unga kutoka nje? Mimi nilidhani ingekuwa hiyo meli imekuja kupakia ngano kupeleka nje ndiyo tungejitapa! Idiots!
Mkuu nenda Kalime ngano, hakuna aliekuzuia.Tanzania na serikali yake Haina mafanikio yoyote
Mkuu nenda Kalime ngano, hakuna aliekuzuia.Ngano imenunuliwa na kampuni binafsi kwa biashara yake binafsi, si msaada wala ununuzi wa serikali kwa ajili ya wananchi wote.
Mafaniko ya serikali yatoke wapi hapo ?
Mkuu nenda Kalime ngano, hakuna aliekuzuia.Tanzania eeh Nchi Yangu Eeh.
Ngano ya Austalia ni Bei nafuu kuliko inyolimwa Babati.
Naenda Zimbabwe
Tanzania kununua ngano kutoka nje si kitu cha kufurahia, maana yake hapo ni kwamba tumeshindwa kulima ngano wenyewe.Ngano imenunuliwa na kampuni binafsi kwa biashara yake binafsi, si msaada wala ununuzi wa serikali kwa ajili ya wananchi wote.
Mafaniko ya serikali yatoke wapi hapo ?
Mkuu badala ya kulala ingekua vyema kama iyo ngano ungelima wewe said akajakununua kwako, hakuna aliekuzuia.Inaonyesha fursa kubwa tunazo ila akili zimelala na umaskini wetu, nimeangalia data nimeona tunaagiza ngano tani milioni moja na zaidi kila mwaka, kilimo cha ngano kingetoa ajira kwa mamilioni na billions of income and taxes, tuko busy na utekaji na mafuta ya upako 👎
Wewe ndio umeshindwa kulima ngano, ondoa neno tumeshindwa.kwamba tumeshindwa kulima ngano wenyewe.
Mkuu badala ya kulala ingekua vyema kama iyo ngano ungelima wewe said akajakununua kwako, hakuna aliekuzuia.haha halafu kwenye paket ataandika made in tanzagiza hata juice zake hivyo hivyo anaimport concentrate na kuandika made in tanzagiza, fikiria meli imetoka australia wakati manyara tunalima ngano nafikiri hata tbl ya makaburu walijaribu kuwekeza huko sababu ya kubrew bia, utapeli mtupu huyo fake investor …
Said hajaanza kuagiza leo ni miaka yote anaagiza.Bakhresa wanataka reliability of supplies na wakulima wetu sio reliable wameona isiwe kesi wameagiza nje
Mkuu badala ya kulala ingekua vyema kama iyo ngano ungelima wewe said akajakununua kwako, hakuna aliekuzuia.Shida ya kilimo cha ngano ni nini mpaka tunashindwa?
Mkuu badala ya kulala ingekua vyema kama iyo ngano ungelima wewe said akajakununua kwako, hakuna aliekuzuia.Mkuu wala hamna shida ni Kama unavyoona Asas anaagiza maziwa Rwanda na Kenya.
Sisi ni wazee wa substance tunapambania tumbo na sio kukuza uchumi
Mkuu badala ya kulala ingekua vyema kama iyo ngano ungelima wewe said akajakununua kwako, hakuna aliekuzuia.Eti ngano ya Tz ni ghali sana kuliko ile inayonunuliwa Ukraine kwenye Vita.
Hahahaha
Mkuu badala ya kulala ingekua vyema kama iyo ngano ungelima wewe said akajakununua kwako, hakuna aliekuzuia.Nani kakuambia Tanzania ina maeneo machache ya hali ya hewa ya baridi hadi ya nyuzi 14?
Unajua wakoloni wamelima ngano sana Tanganyika na waliacha mashamba makubwa tu ya ngano wakati wanaondoka??
Mkuu badala ya kulala ingekua vyema kama iyo ngano ungelima wewe said akajakununua kwako, hakuna aliekuzuia.Hakuna mafanikio yeyote hapa. Ngano hii tulipaswa kuilima sisi wenyewe, halafu SSB aje kuinunua kwa wakulima wetu wa ndani, hiyo ndiyo dhana ya kujitegemea kiuchumi. Lakini juzi nimesikia Wasafi Media, wale wazee wakipiga kelele wakimsifia DP na kuimba sifa za DP World. Nikajiuliza, Hawa wazee wana matatizo ya kiakili, au njaa na uchawa vimewageuza kuwa mawakala wa kuuza nchi kwa maneno matamu?
Mkuu badala ya kulala ingekua vyema kama iyo ngano ungelima wewe said akajakununua kwako, hakuna aliekuzuia.Huu ndiyo upumbavu wa baba Mwajuma. Mpaka uwe mkulima ndiyo unajua mambo ya kilimo. Jina lako linasadifu asili yako (uvivu + kubweteka). Arusha na Kilimanjaro inastawi. Sehemu zote za baridi inastawi. BTW ni kitu gani tumeweza kulima na tukajitosheleza? Mchele wenyewe tumeshindwa. Narudia tena. Asili yako ni uvivu na kubweteka bila kusahau maneno mengi.