Hili ni jambo la mafanikio kwa nchi pia au kwa kampuni binafsi tu?

Ni hasara kubwa sana. Watu wamelima kahawa, korosho na kuchimba dhahabu ndiyo tumepata Dola. Zingeweza kutumika kuagiza vitu ambavyo hatuwezi kuvipata hap nchini, badala yake tumempa Bakhresa akaagize ngano Australia. Nchi ya vichwa maji kabisa.
 
Misri Kuna majoto ila wanalima ngano balaa. Huko Australia Kuna joto la kufa mtu ila wanaleta meli ya ngano.
 
Misri Kuna majoto ila wanalima ngano balaa. Huko Australia Kuna joto la kura mtu ila wanaleta meli ya ngano.
Si Kweli, Nchi za North Africa zina hadi snow, Australia wana hadi Tundra (Jangwa la barafu).

Kuna watu wengi wasio na Exposure wakisikia jangwa moja kwa moja wana relate na hali kali ya joto wakati jangwa ni msimu kuna joto sana na msimu kuna baridi sana.

Mfano tuongelee hapo Egpty, Ngano inalimwa Giza, ambapo joto kubwa kabisa ni nyuzi 46 na joto dogo kabisa ni nyuzi 2, Tanzania wapi Joto linafika Nyuzi 2? Kama kupo ni eneo dogo sana.

So wanachofanya Egpty ni kuvizia hio hali ya hewa wanapolima,

Kama unapenda kusoma studies hii hapa inaelezea wanavyokimbizana na hali ya hewa

Na habari hii hapa kama hupendi kusoma maneno mengi


Ngano inataka hali ya hewa ya baridi, mvua za kati, ardhi kavu na jua la kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…