Hili ni kosa la kiufundi alilofanya Adolf Hitler

Nilikuwa nacho hichi kitabu, wahuni wakaiba mwaka 2017.​
 
Dunia ilianza kuona kivuli cha anguko la utawala wa Hitler baada ya comeback ya kihistoria ya Umoja wa Kisovyeti katika Vita ya Stalingrad kati ya mwaka 1942 hadi 1943. Katika mapambano hayo makali, zaidi ya wanajeshi 300,000 wa Muungano wa Nazi walikamatwa na kuuawa ndani ya kipindi kifupi, baadhi yao kwa usiku mmoja pekee. Vita ya Stalingrad ndiyo iliyowazuia Wanazi kuiteka Moscow, wakati huo wakiwa tayari wamefika getini, wakigonga hodi kwa mabomu na vifaru, huku Wasoviet wakiwa wanasikia sauti za ving’ora vya majeshi ya Kinazi zikiwa umbali wa mita chache kutoka jiji la Moscow.
Kushindwa kwa Wanazi katika vita hii inatafsiriwa kama mwanzo rasmi wa kuanguka kwa Hitler. Kuanzia hapo, Jeshi la Kisovyeti liliendelea kuwacharaza wanazi mfululizo likiwatoa katika kila eneo walilokuwa wameliteka, kama Kyiv nk. hadi walipofika moja kwa moja Berlin, walikohitimisha vita kwa kusambaratisha kabisa utawala wa Nazi.
 
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .
Kimsingi kwa 80% WW2 Mjeruman alipigana na Mrusi ao wengine wala hawakuwa katika vita kuu yenyewe ila wanatajwa kwasababu za kisiasa.

Wajuzi wa mambo wanasema sikuzote mtu anaeshinda vita ndiye anaeandika historia ya vita, Nchi za Magharibi zilitumia mwanya wa vita baridi na anguko la USSR kwa kutuletea historia ikiyotuambia kuwa WW2 ilipiganwa kati Ujeruman na washirika wake vs Uingereza na Washirika wake! Na Uingereza na Washirika wake walishinda vita! Why atajwe Uingereza wakati USSR aliigia vitani zaidi mara maada ya German kuanzia kuingia maeneo ya Ukraine na kuanza kuikalibia Moscow? USSR ilifikaje Berlin?
 
Hilo ndiyo kosa pekee kubwa ambalo Hitler alilifanya
 
Kati ya kila askari 20 walio kufq wa ujerumani 17 waliuliwa na jeshi la mrusi Red army na askari 3 ndiyo waliuliwa na USA na washirika wake British Ufaransa nk
 
Huo ndio ukweli wenyewe..
Hata Berlin walioingia wa kwanza ni USSR.....
USSR walikuwa na eneo kubwa ambapo wangeweza kuliacha kwa kurudi nyuma na wakajipanga wakarudi kulichukua, jamaa walipambana kufa na kupona...

Nchi za EU na US ni kama huwa wapo mbele kujisifu lakini ukweli ni kwamba pasipo USSR hio vita ilikuwa habari nyingine...
 
Sasa Uingereza alikalishwaje na ni Kisiwa kipo mbali kule?

Uingereza alikuwa na advantage ya location maana ni Kisiwa, ingekuwa ni nchi ya mwisho kuwa mateka wa Hitler, also given nasaba ya Uingereza na Marekani
 
Nchi za EU na US ni kama huwa wapo mbele kujisifu lakini ukweli ni kwamba pasipo USSR hio vita ilikuwa habari nyingine...
 
Kati ya kila askari 20 walio kufq wa ujerumani 17 waliuliwa na jeshi la mrusi Red army na askari 3 ndiyo waliuliwa na USA na washirika wake British Ufaransa nk
Mkuu eneo la vita ya Germany lilikuwa Mashariki mwa Ulaya cos Germany alikuwa anaitaka ardhi USSR hasa ardhi ya Urusi ya leo!
 

Attachments

  • Screenshot_2025-07-25-23-25-20-08_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    427.6 KB · Views: 32
  • Screenshot_2025-07-25-23-30-22-17_96b26121e545231a3c569311a54cda96.jpg
    301.6 KB · Views: 25
Sasa Uingereza alikalishwaje na ni Kisiwa kipo mbali kule? Uingereza alikuwa na advantage ya location maana ni Kisiwa, ingekuwa ni nchi ya mwisho kuwa mateka wa Hitler, also given nasaba ya Uingereza na Marekani
BLITZ CAMPAIGN. isome vizuri na ile battle of Dunkirk.. Ujerumani angekaza kidogo uingereza ilikuwa inaenda kuwa chini ya Hitler.. amshukuru mu USA ku join battle dakika za 88
 
Kosa kubwa ni operation barbarossa, kuivamia soviet wakati walikua na mkataba wa kutoshambuliana,mafanikio dhidi ya poland, belgium,france yalimpa kibiti
Alipoteka france,angetulia akaitawala kama miaka mitano
 
Kwenye history za wababe wa kivita wa zamani walikua wanajijenga kiuchumi na kijeshi.

Alafu wanaanza kusambaza kipigo,hakukua na vikwazo ni kutembeza mkono tu mpaka utubu.
Hitler alitaka kubinua mipango ya Ames rothschild, ukizingatia alikua na usongo nao
Una documentary
Europa:the last battle (war),imefutwa na wazayuni youtube,anaejua inapopatikana anistue, nasikia ukiitazama basi mtazamo wako dhidi ya hitler na WWII utabadilika
Kumbuka hakuna wayahudi 6m waliouawa bali ni laki mbili na sabini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…