Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

Israel ni taifa limeasisiwa mwaka 1948 wala sio la kale kihivyo, mleta mada anazungumzia taifa la palestine na hapa ndipo msingi wa mzozo upo, hiyo israeli hata babu yangu ameitangulia zaidi ya miaka 40.
Israel si taifa la Mungu bali ni taifa la mzungu ili kuiba mali za Mashariki ya kati sababu ndiyo sehem mwenyezi Mungu amejaalia mali nyingi. Na ndio maana Israel inasimamiwa na Ulaya yote na Marekani wapo radhi wauwe watu ila Israel isisemwe hata kidogo
 
Mkuu mimi sijasema alienda akakuta wapalestina bali nimesema alienda ardhi ya palestine, wewe ndio ukaleta habari ya birth and rebirth ambayo haikuwa msingi wa mjadala wetu.
Chief.. Al-Aqsa imejengwa 705 baada ya waislam kuiteka Jerusalem and by that time Al-Aqasa inajengwa wakazi wa hapo wapo walikuwa ni wayaudi(waisrael) na majority wakiwa ni wakristo.
Waisrael walikua wakiishi Nchi mbalimbali za kiarabu na Middle east, Morocco, Tunisia, Iran, Iraq kote huko kulikua na waisrael. Wengine walikua Ulaya na maeneo mengine Wapo makundi mengi kuna
-Ashkenaz hawa ni weupe Blonde Hair na macho ya Blue wengi walikua Ulaya, Ashkenaz inamaanisha Ujerumani
-Sepharidic jews, Hawa waliishi Iberian Penisula sehemu kama Spain
-Mirzahi ama Arab jews hawa waliishi Nchi za kiarabu.

Kihistoria Wakati wakiuliwa huko Ulaya na maeneo mengine jews waliishi kwa amani Nchi za kiisilamu, unaposema jews golden Age ndio hio hio Islamic Golden Age, tuliwahifadhi na kuwatetea maelfu kwa maelfu ya miaka.

Ugomvi baina ya waisilamu na Jews unahusiana zaidi na Zionism, baada ya Mazionist kuja na kupora Palestina ndio wakaanza kutimuliwa wayahudi nchi za kiarabu ila hii ni chini ya miaka 100 iliopita.

Eneo la palestina linamilikiwa na Wote waisilamu, wakristo na wayahudi. Sababu mtu ni muisilamu ama Mkristo haimaanishi hakua muisraeli wa zamani, kuna waisrael kibao walisilimu ama kubatizwa.

Kama Comment za juu links nilizoeka kuna ushahidi wa kisayansi kwamba wapalestina wa sasa ndio wakaazi wa zamani eneo hilo,

Pia unatAkiwa ufahamu definition ya Uarabu ya sasa haimaanishi ethnicity ya mtu, Sudan ni weusi ila wanaitwa waarabu, Morocco na Algeria ni Amazingh/berbers wanaitwa waarabu, Iraq, syria, Lebanon etc kuna Ethnicity group nyingi wote wanaitwa waarabu, Egpty kopts wanaitwa waarabu etc. Ki asili waarabu ni wale wanaoishi Ghuba tu, Saudi, Yemen, Oman, part ya Iraq etc.

Ukiangalia by Appearence wapalestina hawafanani na waarabu, hivyo kusema walihamia toka nchi za kiarabu ni uongo mkubwa tu. Hawa wa sasa wanaoitwa levant arabs ndio wakazi halisi wa hilo eneo wapo Syria, lebanon, Palestina etc ni weupe wengine blonds, wana blue eyes etc. Hawapo kama waarabu wa kawaida. Ukichukua ushahidi wa kisayansi + appearence zao + culture zao kama upo open minded utaelewa vizuri hilo ni eneo la Palestine.
Morocco Tunisia, misri hazajawai kuwa nchi za kiarabu kwa asili.
Upepo uliowaleta wakazi hizo nchi unazoziita nchi za kiarabu ndiyo upepo uliowapeleka wanajiita wapalestina hapo Israel.
Wengi wanajiita wapalestina asili yao ni Jordan, Syria na Misri.
Turudi kwenye swali langu:- Kwa mujibu wenu waisrael asili yao ni wapi hasa ikiwa hapo wamevamia kwa mujibu wa madai yenu?
 
Chief.. Al-Aqsa imejengwa 705 baada ya waislam kuiteka Jerusalem and by that time Al-Aqasa inajengwa wakazi wa hapo wapo walikuwa ni wayaudi(waisrael) na majority wakiwa ni wakristo.
It doesn't matter hao wakazi wa hapo wakasilimu kua waisilamu, hakuindoi legitimacy yao kuwa ni wakazi wa hapo. Mpalestina mkristo, muisilamu ama myahudi wote Wana DNA moja, kisayansi ipo proven mabaki ya waliokufa hapo maelfu ya miaka hata kabla Yesu hajazaliwa Wana DNA sawa na Wapalestina wa Leo.

Kabla ya Zionism kuzaliwa hilo eneo Dini zote 3 zili exist kwa pamoja, ila baada ya Zionism ndio Hio Apartheid inayoendelea.

Ni sawa Wamoroco sio waarabu kwa maana ya Ethnicity ila ni Waarabu kwa Definition ya sasa ya kiarabu hakuna haja kubishana kuhusu hili

Nipe Ushahidi Wapalestina Asili yao ni hayo maeneo, sababu Ushahidi ulipo wa sasa wa Kisayansi unaongea otherwise.

Wapalestina na Waarabu wengine wa Levant Wana Distinctive features wapo kama wazungu na mataifa Mengine ya Ulaya mashariki
800px-The_Levant_3.png

Hio eneo Jekundu Part ya Syria, Lebanon, Palestine, Jordan etc hapo ndio wapo Levant Arabs
images (9).jpeg

images (8).jpeg

images (6).jpeg

Hebu convince me with Evidence hao wametoka Egpty gani ama sehemu gani Arabuni tofauti na Levant.
Turudi kwenye swali langu:- Kwa mujibu wenu waisrael asili yao ni wapi hasa ikiwa hapo wamevamia kwa mujibu wa madai yenu?
Waisrael na Waarabu Wana Asili moja, na kama nilivyokwambia kihistoria toka wakati wa mtume mpaka zama za Ottoman kama miaka Mia iliopita wayahudi walikaa nchi zote za kiarabu kwa Amani.

Sio tu kukaa walipewa na position kubwa kubwa, Msaidizi wa Salahuddin na personal daktari wakati yanapigana Vita na mataifa ya Ulaya alikua ni Myahudi ambaye anakuwa regarded kama scholar Mkubwa wa kiyahudi modern times, na hata Salahudin aliposhinda vita aliwaaalika wayahudi warudi Palestine.

Kuna wayahudi mbalimbali wameshawahi hadi kuwa mawaziri wakuu kwenye Dola za kiisilamu

Mara zote ambazo wayahudi wamekua wakiteswa Ulaya walikua wakirudi nchi za kiarabu until ilipokuja Zionism.

Zionism ni Apartheid movement kutotambua watu wengine waisilamu na Wakristo ambao wapo Palestina maelfu ya miaka, na kusema hilo ni taifa la wayahudi tu,

Mpaka Leo wapo wayahudi ambao sio zionist na wanapinga Taifa la Israel na Sera zake.
 
Pamoja mkuu.

Ninachokiona mimi hivi vitabu viwili (Quran & Bible) tofauti yake ni ndogo sana.
1 . Vyote vinalenga kukuza uchumi wa waliokaa na kuviandaa.
2. Kwakuwa ni plans za kiuchumi,hivyo viko kwenye ushindani vikishindania wateja kwa kujinadi kwa kila namna ya uzuri wa kipekee.
3. Kimoja kinapondea upande wa pili.
4. Kimoja kinajitetea ili kuirejesha thamani yake iliyokuwa ikididimia sokoni.

5 . Vyote vina mfumo wa kiunyonyaji either material or human resources.
Soma vizuri mkuu, Uisilamu ni mfumo kamili wa maisha na sio spiritual religion, na sijajua uhusiano baina ya kuchukua Resource na Uisilamu,

Uisilamu umejengwa juu ya nguzo 5
1. Kuamini Mungu na Mtume wake
2. Kuswali
3. Kufunga Ramadhani
4. Kutoa Zaka
5. Kuhiji Mecca.

Toa no 1 sababu ni Tawheed itakua ngumu kuelewa ila zilizobakia zote zinaleta usawa Wa status, Rangi, mali, ukabila etc.

Unapofunga Ramadhan na kukaa na njaa moja ya Lengo ni kufahamu masikini Wana feel vipi, kama huwezi Kufunga utalisha masikini na hata ukifunga mwisho wa mwezi Kuna Zakatul fitri kutoa kwa wengine wasio nacho

Zaka tunaijua kwa waisilamu wote matajiri wanatoa Kuwapa wale wanaofaa kupewa.

Kuswali na Kuhiji zote Zinakutanisha watu mbalimbali ili kuondoa tofauti na kupendana baina ya watu na watu.

Hivyo kusema uisilamu upo kukusanya resource si kweli upo kudistribute resource toka walio nacho kuja ambao hawana.

Angalia nchi zenye waisilamu wengi Na utajiri, nyingi pia hazina masikini sababu huduma zote basic kama Elimu, Afya, Maji ni Bure hata kihistoria Dola nyingi za kiisilamu watu wengi Walitoka na Umasikini.

Hata Nchi ambazo Leo hii zina fanya vizuri kwenye welfare kama Nordic countries zinatumia mfumo kama wa kiisilamu Baitul Mal Aka state treasury amapo Hela ya Nchi Hukusanywa kwa walio nacho na kuwa distributed Kwa masikini na wasio jiweza.

Hivyo mkuu kama muisilamu nipo proud na Dini yangu kama Chanzo cha kuwatetea wanyonge wengi Duniani against mifumo ya kidunia inayowakandamiza.
 
Ujue mkuu,mimi kabla majibu ya swali la wale akina dada wa Kiislamu la ya kwamba wao wataoana na akina nani ikiwa buana zao watapewa bikira 72 kila mmoja hayajapatikana.

Mimi nina swali jingine pia,nalo ni;
Kati ya Suez canal na safari ya wana wa Israel kutoka Misri ni kipi kilianza?

Labda km nakosea lkn ninahisi Palestine na Israel zote zinapakana na Misri,hata km hazipakani lkn kabla ya Suez canal hapa hapakuwa na haja ya kutumia fimbo kutawanya bahari ya sham maana njia ilikuwepo.

Majibu ya swali tafadhari kwanza naomba.
Mkuu maswali yako nimazuri lakin nipende kusema Mkuu mie sio muislamu, pia hilo suala la kupewa bikra 72 nalisikia sana huku nikijua kuwa ni kituko ambacho kimepikwa tu na watu kwa lengo maalumu.

Kuhusu hiyo safari ya Wana waisraeli
na suez canal, kipi kilianza ukweli mie sina ninachofahamu hapo, maana mie maandiko ya kwenye biblia huwa siyasomi Kama riwaya sababu najua ni supernatural hivyo knowledge ya ubinadamu haina nafasi kabisa.

Sababu najua hivi vitabu vitakatifu Kama biblia pia vimechakachuliwa, na kuwekwa fake version pia Kuna baadhi ya vitabu vitakatifu vya MUNGU viliondolewa Kama kitabu cha nabii enock ambapo kwa waislamu nadhani wanamwita idrisi Kama cjakosea.

Hata haya mambo ya kihistoria ndio yanapikwa vibaya mno, hivyo mtu akiyafuata kwa hisia ndio imekula kwake, nipende kusema ni kweli misri, Israel na palestina zinapakana.

Hivyo unayosema kuhusu nabii Moses kutokua na haja ya kutawanya bahari wakati njia ilikuepo huenda utakua sawa kwa sababu zako maalumu.
 
Wamemezeshwa na malengo ya wazungu waache tu wafate Iman bira akili , mwenyezi Mungu anapotaka kuwaangamiza waja wake anatumia malaika na wala si watu awaambie mukiingia huko uweni watu wote halafu mukai ninyi haya si maneno ya Mungu labda aseme ya mzungu . Kwahiyo ndio maana Israel inakuwa wasio na hatia sababu ndio Mungu wao kawaambia eeeh!
Hawa sio wayahudi halisia, ni wayahudi feki wa kizungu waliowekwa kwa lengo maalumu.
 
Israel si taifa la Mungu bali ni taifa la mzungu ili kuiba mali za Mashariki ya kati sababu ndiyo sehem mwenyezi Mungu amejaalia mali nyingi. Na ndio maana Israel inasimamiwa na Ulaya yote na Marekani wapo radhi wauwe watu ila Israel isisemwe hata kidogo
Sahihi mkuu.
 
Chief.. Al-Aqsa imejengwa 705 baada ya waislam kuiteka Jerusalem and by that time Al-Aqasa inajengwa wakazi wa hapo wapo walikuwa ni wayaudi(waisrael) na majority wakiwa ni wakristo.

Morocco Tunisia, misri hazajawai kuwa nchi za kiarabu kwa asili.
Upepo uliowaleta wakazi hizo nchi unazoziita nchi za kiarabu ndiyo upepo uliowapeleka wanajiita wapalestina hapo Israel.
Wengi wanajiita wapalestina asili yao ni Jordan, Syria na Misri.
Turudi kwenye swali langu:- Kwa mujibu wenu waisrael asili yao ni wapi hasa ikiwa hapo wamevamia kwa mujibu wa madai yenu?
Sijui unakwama wapi mkuu wangu, msikiti wa al aqswa umetajwa kwenye Qur'an vipi ujengwe baada ya waislamu kuteka jerusalem mwaka 705?.
 
Soma vizuri mkuu, Uisilamu ni mfumo kamili wa maisha na sio spiritual religion, na sijajua uhusiano baina ya kuchukua Resource na Uisilamu,

Uisilamu umejengwa juu ya nguzo 5
1. Kuamini Mungu na Mtume wake
2. Kuswali
3. Kufunga Ramadhani
4. Kutoa Zaka
5. Kuhiji Mecca.

Toa no 1 sababu ni Tawheed itakua ngumu kuelewa ila zilizobakia zote zinaleta usawa Wa status, Rangi, mali, ukabila etc.

Unapofunga Ramadhan na kukaa na njaa moja ya Lengo ni kufahamu masikini Wana feel vipi, kama huwezi Kufunga utalisha masikini na hata ukifunga mwisho wa mwezi Kuna Zakatul fitri kutoa kwa wengine wasio nacho

Zaka tunaijua kwa waisilamu wote matajiri wanatoa Kuwapa wale wanaofaa kupewa.

Kuswali na Kuhiji zote Zinakutanisha watu mbalimbali ili kuondoa tofauti na kupendana baina ya watu na watu.

Hivyo kusema uisilamu upo kukusanya resource si kweli upo kudistribute resource toka walio nacho kuja ambao hawana.

Angalia nchi zenye waisilamu wengi Na utajiri, nyingi pia hazina masikini sababu huduma zote basic kama Elimu, Afya, Maji ni Bure hata kihistoria Dola nyingi za kiisilamu watu wengi Walitoka na Umasikini.

Hata Nchi ambazo Leo hii zina fanya vizuri kwenye welfare kama Nordic countries zinatumia mfumo kama wa kiisilamu Baitul Mal Aka state treasury amapo Hela ya Nchi Hukusanywa kwa walio nacho na kuwa distributed Kwa masikini na wasio jiweza.

Hivyo mkuu kama muisilamu nipo proud na Dini yangu kama Chanzo cha kuwatetea wanyonge wengi Duniani against mifumo ya kidunia inayowakandamiza.
Kikawaida ndivyo walivyo tuaminisha sisi na wengi wetu tunaamini hivyo lkn kusudi la uanzishwaji wa hizi dini ni mataifa yao kukua kiuchumi. Ukitulia vizuri utaziona harakati zao kipindi wanakuja Africa.

Kundi moja lilikuwa linajihusisha na utekaji wa binadamu na kuwauza na kundi la pili lilikuwa likiwanunua hao binadamu walikuwa mateka na kuwapeleka kufanya shughuli zao za kiuchumi.

Kundi lililokuwa likiwauza hawa binadamu lilikuwa likijipatia kipato,lkn pia kundi lililokuwa likiwanunua pia lilikuwa linajiongezea kipato kwa kuongeza uzalishaji wa bidhaa na mazao.

Kwa sababu hizo hapo ninarudia kukuambia tena kuwa dini hizi zilizotoka Magharibi na Mashariki ya kati ni mfumo wa kiunyonyaji kiuchumi ndiyo maana na sisi tumeambukizwa mpaka hatujari utu wa mtu bali fedha.
 
Mkuu maswali yako nimazuri lakin nipende kusema Mkuu mie sio muislamu, pia hilo suala la kupewa bikra 72 nalisikia sana huku nikijua kuwa ni kituko ambacho kimepikwa tu na watu kwa lengo maalumu.

Kuhusu hiyo safari ya Wana waisraeli
na suez canal, kipi kilianza ukweli mie sina ninachofahamu hapo, maana mie maandiko ya kwenye biblia huwa siyasomi Kama riwaya sababu najua ni supernatural hivyo knowledge ya ubinadamu haina nafasi kabisa.

Sababu najua hivi vitabu vitakatifu Kama biblia pia vimechakachuliwa, na kuwekwa fake version pia Kuna baadhi ya vitabu vitakatifu vya MUNGU viliondolewa Kama kitabu cha nabii enock ambapo kwa waislamu nadhani wanamwita idrisi Kama cjakosea.

Hata haya mambo ya kihistoria ndio yanapikwa vibaya mno, hivyo mtu akiyafuata kwa hisia ndio imekula kwake, nipende kusema ni kweli misri, Israel na palestina zinapakana.

Hivyo unayosema kuhusu nabii Moses kutokua na haja ya kutawanya bahari wakati njia ilikuepo huenda utakua sawa kwa sababu zako maalumu.
Mimi ninahitaji kufahamu maana maji ya mediterrania yalikuwa hayakutani na maji ya Sham mpaka ulipochimbwa huu mfeji (Suez canal),kwa sababu hiyo kutoka Misri kwenda Palestine, Israel na Jordan ilikuwa unaenda hata kwa punda.

Kihistoria Vasco da gama,Bathromeo Diaz na mshikaji wa Eli walikosa njia ya mkato kutokea Portugal to Far East ndipo wakaizunguka Africa.
Baadae ndo wakaja na wazo la Suez canal na ukiangalia kwa macho bila vipimo ni km siyo mbaali sana na Canaan.

Lkn hii bible inatuambia kuwa Musa ilimbidi kufanya miujiza ya kutawanya maji ya Sham ili wapate njia ya kuvuka kwenda Israel.
Sasa swali langu kwa waamini ni;

Je kati ya Suez canal na safari ya wana wa Israel ni kutoka Misri kwenda Israel ni kipi kilianza?
 
Swali lingine ni hili:Kama Wayahudi hapo Israel siyo nyumbani kwao kwa asili, kwao ni wapi sasa? Pro-Palestinians mnaweza kutuambia hawa Wayahudi eneo lao wanalopaswa kwenda kuishi ni wapi?
 
Kikawaida ndivyo walivyo tuaminisha sisi na wengi wetu tunaamini hivyo lkn kusudi la uanzishwaji wa hizi dini ni mataifa yao kukua kiuchumi. Ukitulia vizuri utaziona harakati zao kipindi wanakuja Africa.

Kundi moja lilikuwa linajihusisha na utekaji wa binadamu na kuwauza na kundi la pili lilikuwa likiwanunua hao binadamu walikuwa mateka na kuwapeleka kufanya shughuli zao za kiuchumi.

Kundi lililokuwa likiwauza hawa binadamu lilikuwa likijipatia kipato,lkn pia kundi lililokuwa likiwanunua pia lilikuwa linajiongezea kipato kwa kuongeza uzalishaji wa bidhaa na mazao.

Kwa sababu hizo hapo ninarudia kukuambia tena kuwa dini hizi zilizotoka Magharibi na Mashariki ya kati ni mfumo wa kiunyonyaji kiuchumi ndiyo maana na sisi tumeambukizwa mpaka hatujari utu wa mtu bali fedha.
Niliwahi toa challenge humu ni Taifa Gani Africa liliwahi kuwa kubwa na kutambulika Dunia nzima bila kuwa Associated na Dini?

Unapozungumzia MA Giants wa Africa kama Mali Empire, Aksum Empire, Egpty etc wote Dini ndio iliwatoa.

Pia usichanganye Baina ya waisilamu na Waarabu ni vitu viwili tofauti.

1. Wakati Uisilamu unaanza Fund nyingi zilitumika kununua watumwa na kuwaachia Bure, waisilamu wengi wa mwanzo walikua ni watumwa.

2. Resistance za watumwa nyingi Zilikua organizes na waisilamu, Masheikh ambao walikua utumwani waliweza kufanya makabila mengi ya Ki Africa ambayo yanaongea lugha tofauti waweze kuwasiliana so tafsiri inapitia local language kwenda kiarabu to another local language.

3. Uisilamu una mchango Mkubwa mno maeneo mengi ambao minority wanaonewa, hata Hapo South Africa Waisilamu ni weupe na hawakuwa Wakibaguliwa kipindi cha Apartheid ila walipigania Ana kwa Ana na weusi mpaka wakapata uhuru wao.

4. Waisilamu hawapeleki hela Nchi nyengine za kiisilamu wala kuwafaidisha chochote bali vice versa is true Hela nyingi zinatoka huko kuja huku.
 
Asante mkuu.

Points zako zote mbona nilizieleza labda km hukunielewa. Ujio wa hawa wa Asia na wa Magharibi lengo lao ni moja na si lingine bali kuchukua Mali ghafi na rasilimali watu kwa ajiri ya shughuli za biashara.

Shughuli hizi zilienda sambamba na uanzishwaji wa dini za kigeni kwani walikuta wenyeji wakiabudu lkn hii haikuwa 7bu kuu ya kuwafanya waanzishe dini zao bali dhima ilikuwa ni kuwawezesha kuwakusanya pamoja kwa wingi kwa kigezo cha kuabudu pamoja lkn wakilenga kupata mapandikizi yao yaliyotumika kuwasaliti wenyeji na kuwapa taarifa za kijasusi zinazo pangwa na wenyeji (divide and rule). Hapa ndipo utaona ukaja utaratibu wa kutuita majina yao hasa tuliokubali kuwa vibaraka wao (majina ya kiarabu na Kizungu) ili tu tujione kuwa tuko karibu nao kuliko asili zetu na tusaliti asili yetu.

Sasa taasisi za Uisilam zilizokuwa zinapinga utumwa na hata za kikiristo hayo yalikuwa ni maigizo kwani wote walikuwa ni wa moja ktk kuhakikisha kuwa wanapata wanacho kitaka.

Mtu anakupiga mijeredi na kukutoboa miguu,unateswa vikali baadae anamtuma mwenzake eti aje akufundishe dini ili uache visasi halafu unamuona mwema kuliko aliyekutesa?

Sasa ktk hali ya kujisafisha ndio leo utawaona wakileta vi misaada ya kujenga makanisa na miskiti lkn ukweli uko wazi kwamba woote hao ni maadui wakubwa wa binadamu.

Na sasa kila kundi linatafuta lionekane ni rafiki mwema kwetu,juhudi nyingi zinafanyika kuchufua kundi moja lionekane lilikuwa adui yetu kuliko lingine kitu ambacho siyo kweli.

Baada ya Waarabu kuwaona Waasimu wao nao wakija kwetu ndo wakaanza kutufundisha mbinu za kuwapinga ili tuendelee kuwa upande wao.
Hii ni mbinu ya kawaida mbona pale mnapokuwa mnashindania nafasi!

Hakuna mwema kati yao wala dini zao.
Tusali kwakuwa tunakusanyika pamoja na kufarijiana hayo mengine ni kunogesha hadithi tu.
 
It doesn't matter hao wakazi wa hapo wakasilimu kua waisilamu, hakuindoi legitimacy yao kuwa ni wakazi wa hapo. Mpalestina mkristo, muisilamu ama myahudi wote Wana DNA moja, kisayansi ipo proven mabaki ya waliokufa hapo maelfu ya miaka hata kabla Yesu hajazaliwa Wana DNA sawa na Wapalestina wa Leo.

Kabla ya Zionism kuzaliwa hilo eneo Dini zote 3 zili exist kwa pamoja, ila baada ya Zionism ndio Hio Apartheid inayoendelea.

Ni sawa Wamoroco sio waarabu kwa maana ya Ethnicity ila ni Waarabu kwa Definition ya sasa ya kiarabu hakuna haja kubishana kuhusu hili

Nipe Ushahidi Wapalestina Asili yao ni hayo maeneo, sababu Ushahidi ulipo wa sasa wa Kisayansi unaongea otherwise.

Wapalestina na Waarabu wengine wa Levant Wana Distinctive features wapo kama wazungu na mataifa Mengine ya Ulaya mashariki
View attachment 2605095
Hio eneo Jekundu Part ya Syria, Lebanon, Palestine, Jordan etc hapo ndio wapo Levant Arabs
View attachment 2605102
View attachment 2605104
View attachment 2605114
Hebu convince me with Evidence hao wametoka Egpty gani ama sehemu gani Arabuni tofauti na Levant.

Waisrael na Waarabu Wana Asili moja, na kama nilivyokwambia kihistoria toka wakati wa mtume mpaka zama za Ottoman kama miaka Mia iliopita wayahudi walikaa nchi zote za kiarabu kwa Amani.

Sio tu kukaa walipewa na position kubwa kubwa, Msaidizi wa Salahuddin na personal daktari wakati yanapigana Vita na mataifa ya Ulaya alikua ni Myahudi ambaye anakuwa regarded kama scholar Mkubwa wa kiyahudi modern times, na hata Salahudin aliposhinda vita aliwaaalika wayahudi warudi Palestine.

Kuna wayahudi mbalimbali wameshawahi hadi kuwa mawaziri wakuu kwenye Dola za kiisilamu

Mara zote ambazo wayahudi wamekua wakiteswa Ulaya walikua wakirudi nchi za kiarabu until ilipokuja Zionism.

Zionism ni Apartheid movement kutotambua watu wengine waisilamu na Wakristo ambao wapo Palestina maelfu ya miaka, na kusema hilo ni taifa la wayahudi tu,

Mpaka Leo wapo wayahudi ambao sio zionist na wanapinga Taifa la Israel na Sera zake.
Jew and Arab carry similar genetics than other races si hoja hapa.
Hoja hapa ni nani mwenyeji wa hapo kati ya jews na palestine.

Hata Blacks tunafanana but uki dig deeply ancestors wetu ni tofauti.

Utofauti huo kidogo walio nao ndiyo unafanya huyu awe myaudi na huyu mwarabu.
Muhammad alioa myaudi, hakuwai sema alioa mwarabu muisrael.
So, alijua kumtofautisha myaudi na race zingine japo wanajinetik za kukaribia kuwiana.
Na unaposema wapalestina ni wayaudi walioslimu unakuwa na maana sawa na inayoniijia mimi kichwani baada kusoma koment yako hii?.
Kwamba baada ya othman empire kuivamia Israel baadhi yao wakaslimu na kujiita wapalestina?.

Unaandika vitu vingi ambavyo hata Sijauliza.
Ni hivi, hakuna taifa lenye uhalali wa kuchalenji taifa la Israel coz lime exist kabla ya utitili wa mataifa kuibuka.
Na hypothesis ya kuwa wapalestina ni Jews walioslimu ni dai lako binafsi, hata wapalestina sijai sikia wakihizi hivyo
 
Tatizo lako hufikiri ninachoandika. Hebu nikupe mfano wa kiswahili.

Kuna Fuvu la zamani pale Olduvai George, limepimwa lile Fuvu likanonekana Lina DNA za Kichaga, Hio inamaanisha Wachaga wapo Tanzania zaidi ya Miaka milioni iliopita. Akija mtu ku claim Tanzania sio ya Wachaga Hali ya kuwa Uthibitisho wa kisayansi, Culture, Appearence na Vyenginevyo unathibitisha utaelewa.

Na mpaka sasa mimi nimeleta evidence za kutosha wewe umeleta nini? Huna zaidi ya emotion.
 
Asante mkuu.

Points zako zote mbona nilizieleza labda km hukunielewa. Ujio wa hawa wa Asia na wa Magharibi lengo lao ni moja na si lingine bali kuchukua Mali ghafi na rasilimali watu kwa ajiri ya shughuli za biashara.
Si kweli tatizo hamsomi Historia Uisilamu ulikuja Africa kuomba misaada, Baada ya waisilamu mwanzoni kuuliwa sana wakaja Africa kwa Mfalme Najash kuomba misaada wakapewa hifadhi

Proof ya Ki historia ni Masjid Qiblatain huko Somalia, msikiti huu unaelekea Jerusalem Qibla cha kwanza cha Uisilamu kabla ya kuhamia Mecca.

Zeila_Mosque.jpg

Shughuli hizi zilienda sambamba na uanzishwaji wa dini za kigeni kwani walikuta wenyeji wakiabudu lkn hii haikuwa 7bu kuu ya kuwafanya waanzishe dini zao bali dhima ilikuwa ni kuwawezesha kuwakusanya pamoja kwa wingi kwa kigezo cha kuabudu pamoja lkn wakilenga kupata mapandikizi yao yaliyotumika kuwasaliti wenyeji na kuwapa taarifa za kijasusi zinazo pangwa na wenyeji (divide and rule). Hapa ndipo utaona ukaja utaratibu wa kutuita majina yao hasa tuliokubali kuwa vibaraka wao (majina ya kiarabu na Kizungu) ili tu tujione kuwa tuko karibu nao kuliko asili zetu na tusaliti asili yetu.
Waoman Wana amini Uisilamu tofauti na ambao upo practiced Africa, Omani ni Ibadhi, Ukanda wetu huu ni Sunni. Kipindi Oman wanakuja Uisilamu una miaka takriban 500 Africa, kuja kwao hakujaeneza Uisilamu wowote la sivyo tungekuwa Majority ni Ibadhi huku.
Sasa taasisi za Uisilam zilizokuwa zinapinga utumwa na hata za kikiristo hayo yalikuwa ni maigizo kwani wote walikuwa ni wa moja ktk kuhakikisha kuwa wanapata wanacho kitaka.
Unasema maigizo wakati watu wamepigana hadi kufa? Na sababu Ukristo unaendeshwa na Taasisi haimaanishi Uisilamu upo hivyo, Taasisi zipo chache sana kwenye uisilamu na kiongozi husikilizwi kama hutumii Quran na Sunnah, hao ni walimu wa Madrasa waliosoma ndio walikuwa wakikusanya watu na kuwaambia wapigane Na Slave masters.
Mtu anakupiga mijeredi na kukutoboa miguu,unateswa vikali baadae anamtuma mwenzake eti aje akufundishe dini ili uache visasi halafu unamuona mwema kuliko aliyekutesa?
Unaijua Dini ya kiisilamu wewe? Again haya sio mafundisho ya Uisilamu, kwenye Uisilamu kisasi kipo mzee, there is A reason mafundisho ya Malcom X yalikua tofauti na Martin Luther King. Kwenye Uisilamu mtu akiua Unaruhusiwa kumuua, akivamia kwako Unaruhusiwa kumvamia etc Uisilamu una sheria zake Na sio porojo.

Kila ninavyosoma naona unachukua Mafundisho ya kikristo na ku assume waisilamu wanafuata hayo hayo.
Sasa ktk hali ya kujisafisha ndio leo utawaona wakileta vi misaada ya kujenga makanisa na miskiti lkn ukweli uko wazi kwamba woote hao ni maadui wakubwa wa binadamu.

Na sasa kila kundi linatafuta lionekane ni rafiki mwema kwetu,juhudi nyingi zinafanyika kuchufua kundi moja lionekane lilikuwa adui yetu kuliko lingine kitu ambacho siyo kweli.

Baada ya Waarabu kuwaona Waasimu wao nao wakija kwetu ndo wakaanza kutufundisha mbinu za kuwapinga ili tuendelee kuwa upande wao.
Hii ni mbinu ya kawaida mbona pale mnapokuwa mnashindania nafasi!

Hakuna mwema kati yao wala dini zao.
Tusali kwakuwa tunakusanyika pamoja na kufarijiana hayo mengine ni kunogesha hadithi tu.
Hayo ni maoni yako mkuu lakini watu wamesilimu wakiwa katika harakati za kupigania uhuru wao, na wakatumia huo Uisilamu kuwaleta pamoja ili kupigana pamoja.

Watu wametumia uisilamu kutengeneza mataifa makubwa mfano Hio Mali Empire, Timbuktu ilikuwa ni Centre of Education Africa, Hesabu, physics, Architecture etc Kuna mijengo mpaka Leo imesimama, Kiongozi wao Mansa Musa alikua akiheshimika kote na Utajiri wake hakuna Binadamu wa karibuni aliekua anamfikia hadi leo, Almost 400B usd.

Uisilamu sio dini ya kuuongea aongea tu ni mfumo wa maisha toka kuamka hadi kulala na tunaufuata huo mfumo serious Kadri tunavyoweza
 
Back
Top Bottom