It doesn't matter hao wakazi wa hapo wakasilimu kua waisilamu, hakuindoi legitimacy yao kuwa ni wakazi wa hapo. Mpalestina mkristo, muisilamu ama myahudi wote Wana DNA moja, kisayansi ipo proven mabaki ya waliokufa hapo maelfu ya miaka hata kabla Yesu hajazaliwa Wana DNA sawa na Wapalestina wa Leo.
Kabla ya Zionism kuzaliwa hilo eneo Dini zote 3 zili exist kwa pamoja, ila baada ya Zionism ndio Hio Apartheid inayoendelea.
Ni sawa Wamoroco sio waarabu kwa maana ya Ethnicity ila ni Waarabu kwa Definition ya sasa ya kiarabu hakuna haja kubishana kuhusu hili
Nipe Ushahidi Wapalestina Asili yao ni hayo maeneo, sababu Ushahidi ulipo wa sasa wa Kisayansi unaongea otherwise.
Wapalestina na Waarabu wengine wa Levant Wana Distinctive features wapo kama wazungu na mataifa Mengine ya Ulaya mashariki
View attachment 2605095
Hio eneo Jekundu Part ya Syria, Lebanon, Palestine, Jordan etc hapo ndio wapo Levant Arabs
View attachment 2605102
View attachment 2605104
View attachment 2605114
Hebu convince me with Evidence hao wametoka Egpty gani ama sehemu gani Arabuni tofauti na Levant.
Waisrael na Waarabu Wana Asili moja, na kama nilivyokwambia kihistoria toka wakati wa mtume mpaka zama za Ottoman kama miaka Mia iliopita wayahudi walikaa nchi zote za kiarabu kwa Amani.
Sio tu kukaa walipewa na position kubwa kubwa, Msaidizi wa Salahuddin na personal daktari wakati yanapigana Vita na mataifa ya Ulaya alikua ni Myahudi ambaye anakuwa regarded kama scholar Mkubwa wa kiyahudi modern times, na hata Salahudin aliposhinda vita aliwaaalika wayahudi warudi Palestine.
Kuna wayahudi mbalimbali wameshawahi hadi kuwa mawaziri wakuu kwenye Dola za kiisilamu
Mara zote ambazo wayahudi wamekua wakiteswa Ulaya walikua wakirudi nchi za kiarabu until ilipokuja Zionism.
Zionism ni Apartheid movement kutotambua watu wengine waisilamu na Wakristo ambao wapo Palestina maelfu ya miaka, na kusema hilo ni taifa la wayahudi tu,
Mpaka Leo wapo wayahudi ambao sio zionist na wanapinga Taifa la Israel na Sera zake.