Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #41
Hizo gharama anazozitumia na muda wake kwa taifa stars, hugharamiwa na nani?Tatizo huna exposure,huna ufahamu dunia unavyoendeshwa
Hapo ni ikulu sehemu ya Rais kupokea wageni
Huyo mzungu pori hakujipeleka,ameitwa
Dr Mwinyi ameona huyo jamaa kwa uchale wake atasaidia kuitangaza zanzibar kwa watalii wa huko kwao UK na duniani
SawasawaMuda mwingine middle class wa kitanzania mna push Ile line ya uwezo wa kawaida wa kufikiri, tupo more concern na mambo ya ajabu huku yanayotuathiri zaidi tunayakwepa au kuogopa vivuli vyetu.
Nchi hii Ina more pressing issues kuliko huyu mzalendo tuliyetofautiana rangi tu, maadui wetu bado ni ujinga, umasikini na maradhi SIO woga kuhusu usalama wa politicians wetu, budgets zao za kiusalama watanzania wengi hatuzijui and we can't ask them.
unaujua ubunifu wewe?Utundu na ubunifu wake ndio unaomtofautisha na mimi na wewe.
😀 😀TANZANIA na vyombo vya usalama sio wajinga kiasi hicho mnachodhani
Sisi tupo salama?Hili ni janga jipya la nchi yetu kuwa na ujuaji wa hovyo daraja la kwanza. Unafikili vyombo vya usalama havisomi motive za watu ambao wanatishia usalama wa nchi yetu ndio maana tuko salama mpaka sasa.
Watanzania kiasili ni waoga, na sio kwamba kuna watu wanahenya kwa ajili ya amani tuliyonayo. Uchaguzi unafutwa, watu wanapigwa risasi, watu wanaiba pesa za umma n.k kuna mtanzania ashawahi kusimama juu ya upuuzi huu????Hii amani unayoiona unadhani ni nani wanaitengeneza!?
usikute una miaka ishirini hata mlio wa baruti hujawahi sikia
Labda nikueleze kwa upana kidogo, Kuna mission ili ufanikiwe mnakubariana wewe na wenzako kuwa ikitokea nimefanikiwa kufika na nikacheka jueni Hali ni mbayaa, au nikifika nikakohoa eleweni hivi na vile,fanyeni hiki na kile, au nikampa mkono wa kulia, kushoto, nikavaa barakoa mlegezo, nikavaa viatu hivi and the same.Hivi kicheko na mashamsham aliyonayo mbona haya Wiyani na alivyo. Yaani kuna vitu usoni havina ushirikiano
Umeadhiriwa na siasa pakubwa Sana.Watanzania kiasili ni waoga, na sio kwamba kuna watu wanahenya kwa ajili ya amani tuliyonayo. Uchaguzi unafutwa, watu wanapigwa risasi, watu wanaiba pesa za umma n.k kuna mtanzania ashawahi kusimama juu ya upuuzi huu????
Tofautisha watu kutumia nguvu kulinda amani na watu kuwa waoga. Amani watu wanahangaikia huko Israel, Urusi n.k sio huku kwetu tulojaa uoga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi shule kajifunze kuandika kwanza.Umeadhiriwa na siasa pakubwa Sana.
Sawa,ila na ngoja na sisi tujaribu kujipenyeza kwa malkiaTANZANIA na vyombo vya usalama sio wajinga kiasi hicho mnachodhani
Uko sahihiNchi za kijamaa mna shida,kila kitu ni negative
Ndio huo ushangiliaji wake. Umeshawaona watanzania wakifanya vitu kama hivyo?. Tunajua kulalamika tu.unaujua ubunifu wewe?
ngoja wavune wanachopandaHuyu jamaa huenda ni shushushu VIP , lakini sisi tunamchukulia poa huku tukijidanganya kuwa msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO umepitwa na wakati
View attachment 2129177
Sawa.
Huu ni utulivu sio amani.na kimsingi hii hali inatokana na nature ya watanzania wenyewe walivyo.Sasa sijajua unamaanisha kwamba hizo nchi ambazo zina machafuko nikwasababu hawana hao watu unaowataja au nikwasababu wananchi wao ni tofauti na sisi.au uko mbele nasisi tukibadilika hao watu watakua hawapo.Fikiria mara mbili.Hii amani unayoiona unadhani ni nani wanaitengeneza!?
usikute una miaka ishirini hata mlio wa baruti hujawahi sikia
Vyombo vipi unavyovizungumzia hawa tiss au hahah labda vyombo vya chakula.TANZANIA na vyombo vya usalama sio wajinga kiasi hicho mnachodhani
Mbona hujamtajia ni nani wanaitengeneza?Hii amani unayoiona unadhani ni nani wanaitengeneza!?
usikute una miaka ishirini hata mlio wa baruti hujawahi sikia