Watu wa usalama wapo kila mahali na wanajua wajibu wao ndio maana unaona tupo salama tunadunda tunatembea kifua mbele,, jaribu kuleta zako za kuleta uone moto utakaokuwakia, This is Tanzania my friend " !!!
Watu wanauawa/ wanapotea kama nzi halafu unasema mna watu wa usalama!! Usalama wenu unajua kuwakamata wapinzani tu lakini hao wengine hamuwawezi!! Madawa ya kulevya yamerudi mtaani na watu wa usalama wapo tu wamevaa miwani myeusi!!!