DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kuwasaidia nini Wazazi?Watoto waende nyumbani kupumzika na kuwasaidia kazi wazazi wao. Muda wa kupumzika uheshimiwe.
Mashamba yenyewe Serekali mmesha tunyanganya na kuwapa wawekezaji, Sasa vijana watakuja Nyumbani kutusaidia kazi gani tena!? Au mnataka watusaidie kuendesha Bodaboda zetu!!? Mi naona bora wabaki tu huko huko shule!!Watoto waende nyumbani kupumzika na kuwasaidia kazi wazazi wao. Muda wa kupumzika uheshimiwe.
Wewe ni mzazi kweli??Watoto waende nyumbani kupumzika na kuwasaidia kazi wazazi wao. Muda wa kupumzika uheshimiwe.
Kwani mtoto akipumzika kwa mwezi mmoja ni kosa cheni izo au kunamalipo ndo maana uzalendo mwingi[emoji1787][emoji1787]Kwa kifupi serikali iko sahihi!
Mapumziko pia ni muhimuWazazi Mwanao Kama yupo form four , Aendelee kusoma na kujisomea haya matamko ya wana-siasa ni matamko ya kisiasa.
We Mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze Kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote Basi cheti Cha Form four lazima .
So akili kichwani yaani Mzazi unakaa na kusubiri future ya Mwanao ambaye yupo shule ya kata waziri amuandalie future kid.
Mwanao akipata zero hata upolisi hawamchukui na huko mtaani kizazi Cha singeli hiki , pathetic
Nimeandika maana nipo uswahilini dsm nimeona watoto wa kike na kiume wakikaa mtaani wanaishia kupoteza mwelekeo huku mtaani hakuna Mzazi makini wakumpa malezi Bora mwanae.
Mkuu sisi enzi zetu ikifika lilizo tulikuwa tunaruhusiwa kwenda nyumbani lakini tulifaulu masomo vizuri. Walimu hakikisheni mnakwenda na syllubus vizuri na kwa wakati! Lakini kwa habari ya Afya watoto waruhusiwe kupumuzika.Mpaka sasa wapo majumbani hao watoto kwa wazazi wanaotoka asubuhi kurudi usiku, mtoto anashinda na beki 3, sijui mtawasimamia muda gani hao watoto. Wakati tunasoma vidato vya mitihani tulibaki shule lakini sasa mnawasikikiza wanasiasa na kuwapangia elimu ya watoto wenu. MUDA UTAONGEA
Huwez kuandika kitu Cha maana Kwa Avatar kama yakoWatoto waende nyumbani kupumzika na kuwasaidia kazi wazazi wao. Muda wa kupumzika uheshimiwe.
Mapumziko ni muhimu acheni complications nyingi kama toto lako ni jinga ni jinga tuMpaka sasa wapo majumbani hao watoto kwa wazazi wanaotoka asubuhi kurudi usiku, mtoto anashinda na beki 3, sijui mtawasimamia muda gani hao watoto. Wakati tunasoma vidato vya mitihani tulibaki shule lakini sasa mnawasikikiza wanasiasa na kuwapangia elimu ya watoto wenu. MUDA UTAONGEA