Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

Ujue watu tunashindwa kwenda na nyakati, enzi za watoto kutakiwa kukariri mitihani zimeisha, watoto wanatakiwa kuelewa,

Still bado tuko kwenye enzi za kufurahishana na Div 1 na mtoto kupata A ya kukariri past paper?

Hizi enzi nazani zisha isha kumbe bado tunazo?

Watoto kubakia shule kusolve Past paper ni ujanja wa enzi zile sio sasa hivi,

Mtaelewa siku 1
 
Sikiliza Wahindi sio wajinha kuto hata hata ruhusu watoto kukaa Bording, anaye waambia watoto wabatakiwa kusoma muda wote ni nani? Hakuna mambo mengine ya kujifunza nje ya vitabu?

Mkuu sikiliza enzi tulizo soma sio za sasa kwa sasa watoto wanatakiwa kuelwa mambo, kuuliza na kudadisi sio kusolve past paper, hizi nyakati sio hata za miaka ya 90 mkuu.

Tumesoma sisi tukikaririshwa past paper
Inabidi uishauri sasa Wizara kubadili sera yake ya Elimu. Maana hizo shule pamoja na walimu wa, wanatekeleza tu mtaala wa elimu tulionao sasa.

Na wanafunzi wakifeli, wanasiasa nao hawaoni kazi kuwaandama wale wote waliofelisha watoto. Hivyo hakuna namna nyingine.

Hata walimu nao wangetamani kipimzika. Ila mashinikizo kutoka kwa watendaji wao wa juu ya kufaulisha wanafunzi wote kwa 50% na kuendelea, ndiyo yanawafanya kuchukua hayo maamuzi magumu.
 
Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa.

Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima.

So akili kichwani, yaani mzazi unakaa na kusubiri future ya mwanao ambaye yupo shule ya kata iliandaliwe na waziri!

Mwanao akipata zero hata upolisi hawamchukui na huko mtaani ndio kizazi cha singeli hiki, pathetic.

Nimeandika maana nipo uswahilini De es Salaam, nimeona watoto wa kike na kiume wakikaa mtaani wanaishia kupoteza mwelekeo huku mtaani, hakuna mzazi makini wakumpa malezi bora mwanae.
Wakifaulu wote tutapata wapi security guard na barmade?
 
Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa.

Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima.

So akili kichwani, yaani mzazi unakaa na kusubiri future ya mwanao ambaye yupo shule ya kata iliandaliwe na waziri!

Mwanao akipata zero hata upolisi hawamchukui na huko mtaani ndio kizazi cha singeli hiki,
Nimeandika maana nipo uswahilini De es Salaam, nimeona watoto wa kike na kiume wakikaa mtaani wanaishia kupoteza mwelekeo huku mtaani, hakuna mzazi makini wakumpa malezi bora mwanae.
Jiby ni hapana

Likizo iheshimiwe

Utapiamlo wa elimu utaligharimu Taifa
 
Wakae wakiwakaririsha watoto past paper? Sikiliza nyakati za elimu za kufurahishana zimeisha nyakati za A sijuimDiv 1 hazina tena nafasi Watoto wanatakiwa kuelewa, sio kukaririshwa past paper,
Utakua mchoyo wa kufikiri,nani kasema kua masomo ya ziada ni kukaririshwa? Kijijini kwetu shule zetu mbili atuna walimu wa Kemia,Fizikia na Biolojia .Sasa walimu ambao wanaweza kusaidia wanatoka mjini na ili wawasaidie vijana wetu ni lazma wabaki shule ili wawaze kufundishwa muda huo...sasa sijui wewe wa Feza na St.Thhomas kama ilo unalielewa.
 
Sikiliza Wahindi sio wajinha kuto hata hata ruhusu watoto kukaa Bording, anaye waambia watoto wabatakiwa kusoma muda wote ni nani? Hakuna mambo mengine ya kujifunza nje ya vitabu?

Mkuu sikiliza enzi tulizo soma sio za sasa kwa sasa watoto wanatakiwa kuelwa mambo, kuuliza na kudadisi sio kusolve past paper, hizi nyakati sio hata za miaka ya 90 mkuu.

Tumesoma sisi tukikaririshwa past paper
Wewe ulikua kiliza ndiyo maana ulikua unakalilishwa past papers kwa wingi. Mwisho kwanza ujui elimu ya sasa hipo eti kukalilishwa.....kuna kitu ambacho mtoto anaulizwa kutoka nje ya mtaala au TIE?
 
Hivi alie waambia mtoto kubaki shule ndio kufaulu ni nani? Hivi hizi akili tunazitoa wapi? Baada ya hapo muwaanzishie Preform 5, alie waambie ili mtoto afaulu shariti abakie shule kusoma ni nani? Yaani abakie kukaririsshwa past paper? Enzi za kukaririshwa zinaisha watoto wanatakiwa kujua Know how, wanatakiwa kudadidis sio kupata A,
Wewe ni kilaza kweli kweli,kama ujui kua kuna types of learners pamoja na mapungufu kwenye walimu yaani awatoshi. Uwezi kukwepa kuwepo utaratibu wa kusoma masomo ya ziada ili kuweza kujenga competence kwa wanafunzi. Kwanza jua kua wanao kwenda kufanya mitihani ya 2023 ndiyo wa kwanza kufanya mitihani ya kidato cha nne yenye competence based curriculum kwahiyo wanahitaji wafanye maandalizi ili tuwe na Taifa bora la vijana wenye confidence ,content and competence.
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu na kipembuzi walimu wanataka wanafunzi waende ili wapate MAOKOTO..ingekua ni kwa sababu ya ufaulu wangekua hawatozi fedha wangesema ni bure.
Ulitaka walimu wafundishe bila kulipwa? Mbona sekta nyingine watu wakifanya kwa muda wa ziada upewa allowance nk? Ili Taifa kuendelea kua na watu wanao fikiri kama wewe basi sisi tutabaki Taifa goi goi
 
Project ya wapi bhana! Wakati mwingine mnawasingizia tu walimu. Watoto wa siku hizi wengi wao wana mlundikano wa mambo mengi na makubwa kuliko, vichwani mwao.
Huo muda unaotaka warudi nyumbani na kupumzika, wengi huishia kuzurula tu na kufanya mambo ya kipuuzi mitaani.

Hivyo mimi kama mimi; ninaunga mkono shule mbalimbali nchini kuwabakiza wanafunzi wa madarasa ya mitihani mfano Kidato cha 2 na 4, kubakia shuleni ili kujiandaa na mitihani yao ya Taifa kwa makubaliano na wazazi wa hao watoto.
Akili kama hizi zilibidi zipewe nafasi kuongoza Taifa kwenye nafasi yoyote ya juu
 
Huko ndiko waliko zaliwa mashogha na wasagaji

Kwani wako mbali na wazazi wao hakuna mtu wa kuwaonya Wala kuwa funza maadili yetu

Fanya uchunguzi mkuu utaniambia 🙏🙏🙏
 
Watoto waende nyumbani kupumzika na kuwasaidia kazi wazazi wao. Muda wa kupumzika uheshimiwe.
Wakati nasoma Ifunda miaka hiyo nikifunga shule narudi Nyumbani mwezi mzima bila hata kusoma. Nawasaidia Wazazi kazi za Shamba na kugema Ulanzi. Nilipata Devision One hata tution sikujua maana yake. Shule gani ya kusoma siku 365????
 
Watoto wapumzike
Mtoto Darasa la saba miaka 13 au 14 unamsomesha mwaka mzima bila kupumzika shule gani hiyo?? Shule zinatafuta jinsi ya kuongeza mapato zaidi. Kuna shida gani Mtoto kumpumzika na Wazazi hata siku 20?
 
kama Mimi nilisoma saint kayumba na nikafaulu vizuri na Kila likizo nilikua naludi nyumbani sihitaji mtoto wangu abaki shule likizo. Hawa watoto wanaoshinda boarding tutajenga nao bond lini sisi wazazi. tumeweka ufaulu mbele sana. Kuna maisha baada ya A za darasani.
Ni muhimu kujua kuwa muda uliopangwa kuwa shuleni na darasani unatosha kabisa kwa mtoto mwenye akili ya kawaida kuelewa na kufaulu.
Hili la kuwalazinisha watoto wote kubaki shule au kusoma muda wa ziada ni fikra potofu kama dereva anayaepakia tani 10 kwenye gari yenye uwezo wa tani 5 au chini yake.
Hata hivyo, wale watoto ambao wana shida ya walimu wa masomo fulani, wanaweza kutumia muda huo.
Mtu yeyote ambaye ansoma muda mrefu, hasa wale wanaokesha na hata kuweka miguu kwenye maji baridi, ufaulu wao hauna uzito wa kiakili.
 
Word
 
Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa.

Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima.

So akili kichwani, yaani mzazi unakaa na kusubiri future ya mwanao ambaye yupo shule ya kata iliandaliwe na waziri!

Mwanao akipata zero hata upolisi hawamchukui na huko mtaani ndio kizazi cha singeli hiki, pathetic.

Nimeandika maana nipo uswahilini De es Salaam, nimeona watoto wa kike na kiume wakikaa mtaani wanaishia kupoteza mwelekeo huku mtaani, hakuna mzazi makini wakumpa malezi bora mwanae.
Ushawishi wa ovyo kabisa.
Watoto wanapaswa kupumzika.
Ila sema wazazi wa sasa wameshindwa kabisa kuishi/kuwalea watoto wao. Wanawakwepa mnooo
 
Kuwasaidia nini Wazazi?
Mashule yenye utaratibu wa kubaki na wanafunzi wa madarasa ya mitihani waendelee na huo utaratibu
Wamepiga pini. Wanangu wa P7 jana walienda shule na kikao cha wazazi tulikubali kulipia Tsh 130,000 kwa mtoto ili watoto wakae shule kwa wiki tatu ila jana nimerudi usiku nakuta wamekuja na barua toka shuleni eti "Kamishina wa Elimu kakataza watoto wasiende shule eti wapumzike na wasaidie wazazi kazi".

Hii nchi bwana, kuna vitu vinachekesha sana. Binafsi kama wazazi tumekubali na tumechangia fedha ila wamewakataza watoto wasiende shule. Very funny
 
Unampangiaje mwanangu na shule yake mbinu za kutoboa? Ujinga umekuwa mwingi sana wizara, jitu linaamka tu linatoa tamko
 
Back
Top Bottom