BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ujue watu tunashindwa kwenda na nyakati, enzi za watoto kutakiwa kukariri mitihani zimeisha, watoto wanatakiwa kuelewa,
Still bado tuko kwenye enzi za kufurahishana na Div 1 na mtoto kupata A ya kukariri past paper?
Hizi enzi nazani zisha isha kumbe bado tunazo?
Watoto kubakia shule kusolve Past paper ni ujanja wa enzi zile sio sasa hivi,
Mtaelewa siku 1