Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

Ujinga plus Ujinga plus Ujinga.

Wakati nasoma nakumbuka Mkuu wa Shule alikuwa amepiga kitabu Urusi, sasa Siku shule inafungwa alikuwa anatuambia kabisa nendeni mkapumzike, walio weka huu mfumo sio wajinga ndio maana hata Mfanyakazi anahitaji likizo akapumzike.

Hizi akili za kijinga tunaziyoa wapi?
 
Alie kuambia akibaki shile ndio atapata A ni nani? Mtoto.kama hana akili hana tu na ka anazo anazo tu,
 
Zile ni Project hakuna cha kusaidia watoto wafaulu, ile ni projects, watoto wanahitaji kupumzika elewa hivyo alie waambia mtoto akisoma kila Dakika ndio atakuwa na akili ni nani?
 
Ahsante mkuu kwa kuleta hii mada. Isitoshe hao watu watoto wao wanasomea shule zenya kutoa au kua na mazingira bora ya kujisomea na kujifunzia.

Wanawadanganya wananchi walio hoi katika ili. Kwanza huyu Waziri na Kamishna ilibidi watumbuliwe
Hivi alie waambia mtoto kubaki shule ndio kufaulu ni nani? Hivi hizi akili tunazitoa wapi? Baada ya hapo muwaanzishie Preform 5, alie waambie ili mtoto afaulu shariti abakie shule kusoma ni nani? Yaani abakie kukaririsshwa past paper? Enzi za kukaririshwa zinaisha watoto wanatakiwa kujua Know how, wanatakiwa kudadidis sio kupata A,
 
Watoto waende nyumbani kupumzika na kuwasaidia kazi wazazi wao. Muda wa kupumzika uheshimiwe.
Uko sawa kabisa, kuna watu wanazania mtoto kubakia shule ndio kufaulu, by the way kwa sasa watoto wanatakiwa kuelewa sio kusoma, wanatakiwa kudadisi sio kukariri, zama za past paper zimeisha watoto wanatakiwa kuelewa
 
Kuwasaidia nini Wazazi?
Mashule yenye utaratibu wa kubaki na wanafunzi wa madarasa ya mitihani waendelee na huo utaratibu
Wakae wakiwakaririsha watoto past paper? Sikiliza nyakati za elimu za kufurahishana zimeisha nyakati za A sijuimDiv 1 hazina tena nafasi Watoto wanatakiwa kuelewa, sio kukaririshwa past paper,
 
Zile ni Project hakuna cha kusaidia watoto wafaulu, ile ni projects, watoto wanahitaji kupumzika elewa hivyo alie waambia mtoto akisoma kila Dakika ndio atakuwa na akili ni nani?
Project ya wapi bhana! Wakati mwingine mnawasingizia tu walimu. Watoto wa siku hizi wengi wao wana mlundikano wa mambo mengi na makubwa kuliko, vichwani mwao.
Huo muda unaotaka warudi nyumbani na kupumzika, wengi huishia kuzurula tu na kufanya mambo ya kipuuzi mitaani.

Hivyo mimi kama mimi; ninaunga mkono shule mbalimbali nchini kuwabakiza wanafunzi wa madarasa ya mitihani mfano Kidato cha 2 na 4, kubakia shuleni ili kujiandaa na mitihani yao ya Taifa kwa makubaliano na wazazi wa hao watoto.
 
Ndio maana ikaitwa likizo, mtoto arudi nyumbani kupumzisha akili, kusaidia wazazi, kujisomea akiwa nyumbani, wazazi wafahamu tabia za mtoto.

Elimu ya darasani sio kila kitu katika makuzi!!
Kabisa, mtoto kama hana akili hana tu kama anazo anazo tu
 
Mkuu kama mtoto hana akili hana tuu hata akihamiwa kuisji kwa Headmaster, na kama anazo anazo tu
 
Kwa hio anatakiwa ashinde na walimu? Hilo ni tatizo lako wewe
 
Sijakataa likizo wasiende bali vidato vya mitihani wabaki.
Wakati unasoma wewe ulienda likizo kwa vidato vya mitihani?? Kma ni ndio basi tunaanza kujenga taifa la vilaza
Kukariri past paper? Sikiliza nyakati za sasa sio hata zile tulizo soma sisi, uko hapo? Sisi tulikuwa tuna meza ila hizi nyakati sio za kumeza kutafuta A
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu na kipembuzi walimu wanataka wanafunzi waende ili wapate MAOKOTO..ingekua ni kwa sababu ya ufaulu wangekua hawatozi fedha wangesema ni bure.
 
Sikiliza Wahindi sio wajinha kuto hata hata ruhusu watoto kukaa Bording, anaye waambia watoto wabatakiwa kusoma muda wote ni nani? Hakuna mambo mengine ya kujifunza nje ya vitabu?

Mkuu sikiliza enzi tulizo soma sio za sasa kwa sasa watoto wanatakiwa kuelwa mambo, kuuliza na kudadisi sio kusolve past paper, hizi nyakati sio hata za miaka ya 90 mkuu.

Tumesoma sisi tukikaririshwa past paper
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu na kipembuzi walimu wanataka wanafunzi waende ili wapate MAOKOTO..ingekua ni kwa sababu ya ufaulu wangekua hawatozi fedha wangesema ni bure.
Hio ndio sababu kuu, hasa baada ya Bordinh za watoto wadogo kufutwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…