Shida yenu vijana wa zamani akili zenu zimekaa kiwivu,
Hamjui kuwa kuna ratiba,
Hapo usikute mtu kaweka ratiba yake fresh/katoka job lakin starehe yake ni mziki, so anaenda mpokea mwanamziki wake, ( matamasha na mapokezi ya wasanii hufanyika dunia nzima kuanzia USA) Ila niny wazee wa wivu mnaona vijana wana enjoyyyyyy mnaanza kuwafungulia uzi,
Katika siku 365 ni siku ngapi za kumpokea harmonize ?
Maisha sio kazi tu, yanahitaj refreshing pia, kama ambavyo huwa tunaacha kazi kwenda taifa kwenye mpira ndivyo na wengine wanaenda pokea wasanii wao, au kama niny wazee wa zamani mlivyokuwa mnaacha kazi ili muoe wake wengi, all in all hakuna aliekuja kukuomba buku, na nikuhakikishie vijana wa sasa wanafanya kazi kuliko vijana wa wakati wowote ule Tz hii