Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

Kama huna nauli niambie nikutumie uende hadi Tarime ukajionee mambo niliyo yafanya!

Nakutumia nauli ya Ndege (Air Tanzania au Precision ) unatua Mwanza then unapanda Zakaria au Kisire hadi Tarime kisha unaelekea Rebu ukajionee nilichofanya!
Kwanin unakwenda kujenga kijijn mkuu kwani usijenge property zako hapo mwnazaa tarime vijini hakna hell hakuna wapangaji hkn mzunguko mkubwa wa pesa
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!.

Hili Taifa la Tanzania ndilo Taifa linaloongoza duniani kwakuwa na Vijana wapumbavu kuliko Mataifa yote yanayotambulika na Umoja wa Mataifa (UN).

Hebu fikiria kijana anatoka nyumbani au kibaruani kwake kuelekea Airport (JKNIA) kumpokea msanii wa muziki wa kizazi kipya kisa kachukua tuzo huko Marekani,na kibaya zaidi huyo kijana anakimbiza gari lililombeba huyo msanii kitokea Airport hadi Kawe!.

Zaidi ya Km 22 huyu kijana anakimbiza gari kutoka JULIUS KAMBARAGE NYERERE INTERNATIONAL AIRPOT (JKNIA) hadi Kawe huku akitokwa jasho na kunuka kama mbuzi wakati huo huo huyo msanii akiwa anapigwa na AC (Air Condition)!.

Nimetafakari sana namna vijana wa nchi hii (Wengi) walivyo wapumbavu hadi nimekosa majibu!.

Hebu fikiria muda ambao huyo kijana kapoteza katika shughuli za uzalishaji mali!.

Kwanini vijana wasitumie muda kama walioutumia leo wakaandamana kuihoji serikali kuhusu ripoti ya CAG? Nilitamani kuona vijana wanahoji wezi wa mali na
wafuja rasilimali zilizotajwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna anayehoji.
Swali la kizushi: Waliosaini mkataba wa DP World, IPTL, OBC, kuhamisha Wamasai kule Ngorongoro n.k ni wazee au vijana?
 
A
Sheria na kanuni za kipambavu zinazoruhusu upigaji kama masilahi ya wabunge, katiba mbovu, matumizi ya anasa ya viongozi n.k zimetungwa kipindi ambacho hao vijana walikua watoto au hawajazaliwa kabisa.

Nyie wazee/wababa mlikua wapi kuandamana zisipitishwe from the first place mpaka mnataka kumrushia kijana mzigo wa kuzipinga?

Mlikua wajinga kuona ubovu? Mliogopa kukinukisha? Hayo maandamano unayotaka vijana tufanye mngeyafanya nyie mliotutangulia leo hii usingekuwepo hapa unalalamika.

Wazee/wababa mmeshindwa kuzuia chanzo cha tatizo kwaiyo hamna uhalali wa kulaumu vijana kwa kushindwa kupambania hayo matatizo yaishe. Actually youths suffer consequences of your ignorance, selfish and cowardness.
And you're suffering from stupidity!
 
Shida yenu vijana wa zamani akili zenu zimekaa kiwivu,
Hamjui kuwa kuna ratiba,

Hapo usikute mtu kaweka ratiba yake fresh/katoka job lakin starehe yake ni mziki, so anaenda mpokea mwanamziki wake, ( matamasha na mapokezi ya wasanii hufanyika dunia nzima kuanzia USA) Ila niny wazee wa wivu mnaona vijana wana enjoyyyyyy mnaanza kuwafungulia uzi,
Katika siku 365 ni siku ngapi za kumpokea harmonize ?

Maisha sio kazi tu, yanahitaj refreshing pia, kama ambavyo huwa tunaacha kazi kwenda taifa kwenye mpira ndivyo na wengine wanaenda pokea wasanii wao, au kama niny wazee wa zamani mlivyokuwa mnaacha kazi ili muoe wake wengi, all in all hakuna aliekuja kukuomba buku, na nikuhakikishie vijana wa sasa wanafanya kazi kuliko vijana wa wakati wowote ule Tz hii
Unatoka kumkimbiza Harmonize unaanza kupiga mzimga pesa ya kula! Ha ha ha! Very stupid!
 
Mkuu unaijua Tarime kweli au unaisikia?
Kweli sijawai fika naambiwa sirari ndio habr ya mjini Seema nn Kuna ndugu yangu kaamiaga huko kutoka Arusha Yuko musoma Mara amepata pesa Sana tu

Ila nilifikiri labda umeenda kujenga nyumba kijijni kma umejenga mjini Safi hapo
 
Mkuu Tarime ni Ulaya ya Tanzania!

Welcome Europe of Tanzania!
 
Kizazi cha sahvi cha wakata mauno
Hawa m,muda wote wanafikiria kukata mauno tu

Ova
 
Unafuatilia mziki wa USA, ? Au S.Korea .? Hicho kilichofanyika hapo ni kawaida sanaaa, sema tu wivu wenu wazee unawatesa
WIvu? You're not serious! Unatoka kumpokea Harmonize unarudi kuvizia ugali wa huyo Mzee wako ambaye unamkejeli!!
 
Mambo ya vijana kuhoji yalishakweshaga zamani sana,. Kwa sasa Vijana wala hata hawana habari na hayo mambo ya sijui ripoti za nini hakuna hata watu wanafatilia. Wana mambo mengi ya kufatilia kama umbea na udaku mitandaoni
 
Hii ni hatari sana mkuu
 
Mwanamke wa Kikurya amekuacha mbali sana kiakili,kifiziki na hata kimentaliti!
Haina shida akiniacha
Nawaombea heri vijana wote wanaompambania taifa letu.

Mimi tayari nina vilema,
Siwezi kwenda kuongeza vilema vingine ili hali nilivyonavyo bado havijapona.
 
Ndio kwanza nimejua kupitia huu uzi kama kuna watu walikimbiza gari la harmonize ila nachukizwa sana na lawama zinazorushwa kwa vijana wakati ukiangalia wao wamekutana na matokeo ambayo hao wazee/wababa walishindwa kuzuia chanzo chake. Hii nchi hakuna kizazi cha kulaumu kizazi kingine, kila generation kuna sehemu imefeli.
Kwa hIYO ukikuta baba yako amejenga nyumba na hajaweka mlango unaacha hivyo hivyo na kuendelea kumlaumu? Use your brain properly!
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!.

Hili Taifa la Tanzania ndilo Taifa linaloongoza duniani kwakuwa na Vijana wapumbavu kuliko Mataifa yote yanayotambulika na Umoja wa Mataifa (UN).

Hebu fikiria kijana anatoka nyumbani au kibaruani kwake kuelekea Airport (JKNIA) kumpokea msanii wa muziki wa kizazi kipya kisa kachukua tuzo huko Marekani,na kibaya zaidi huyo kijana anakimbiza gari lililombeba huyo msanii kitokea Airport hadi Kawe!.

Zaidi ya Km 22 huyu kijana anakimbiza gari kutoka JULIUS KAMBARAGE NYERERE INTERNATIONAL AIRPOT (JKNIA) hadi Kawe huku akitokwa jasho na kunuka kama mbuzi wakati huo huo huyo msanii akiwa anapigwa na AC (Air Condition)!.

Nimetafakari sana namna vijana wa nchi hii (Wengi) walivyo wapumbavu hadi nimekosa majibu!.

Hebu fikiria muda ambao huyo kijana kapoteza katika shughuli za uzalishaji mali!.

Kwanini vijana wasitumie muda kama walioutumia leo wakaandamana kuihoji serikali kuhusu ripoti ya CAG? Nilitamani kuona vijana wanahoji wezi wa mali na
wafuja rasilimali zilizotajwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna anayehoji.
wewe umetumia akili kiwango gani, na unajuaje kama una akili?
 
Haina shida akiniacha
Nawaombea heri vijana wote wanaompambania taifa letu.

Mimi tayari nina vilema,
Siwezi kwenda kuongeza vilema vingine ili hali nilivyonavyo bado havijapona.

Pole sana baby!
 
Back
Top Bottom