Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kati ya waliomkimbiza harmonize kuna ambae alikuomba hela ya kula?Unatoka kumkimbiza Harmonize unaanza kupiga mzimga pesa ya kula! Ha ha ha! Very stupid!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya waliomkimbiza harmonize kuna ambae alikuomba hela ya kula?Unatoka kumkimbiza Harmonize unaanza kupiga mzimga pesa ya kula! Ha ha ha! Very stupid!
VijanA wa sasa mnapenda sana slope!Ndio walewale wanaokazana vijana wajiajiri wakati wao wameshikilia ajira😀
Nyie wazee/wababa hamna akili kabisa ni vilaza. Wapi nimesema ivyo?Kwa hIYO ukikuta baba yako amejenga nyumba na hajaweka mlango unaacha hivyo hivyo na kuendelea kumlaumu? Use your brain properly!
Wengi tu! Hoji lingine! Use your brain to discuss important issues siyo unakuwa baseless arguments kama stupid nincopoomp!Kati ya waliomkimbiza harmonize kuna ambae alikuomba hela ya kula?
Option pekee niliyonayo ya kupambana na Hawa wahuni ni maombi tu.Pole sana baby!
He he he he! Kweli wewe Bado unatafuta ajira! Hata huelewi ulichoandika!Nyie wazee/wababa hamna akili kabisa ni vilaza. Wapi nimesema ivyo?
E he he he! Kweli umekasirika!Yaani wazee waibe mapesa ya Kodi za Wtz afu uje ututukane vijana?,; Escrow, Richmomd, Kagoda vyote hivyo ni wazee wameusika!!. Afu wewe ni mzee au kijana?, Kama ni kijana mabadiliko hayaanzi na watu 19000 anza wewe acha kutushambulia kipumbavu...!.
Mbona hujasema waliokuwa wanadeki mabarbara 2015 kipindi Cha Lowasa?, Mbona hujasema wanaojazana kwa mwamposa?, Kama atatokea mtu akaja na wazo la kwamaba ili Tz iendelee tunahitaji "kufuta kizazi chote Cha CCM aidha kwakuwakataka mapanga au kuwapiga mabomu ndio nitamheshimu nakumuona shujaa!. Haya mengine ni upuuzi tu na kuwachukia watu, yaani mtu asimshangilie mtu anayempenda?, Futa kizazi dhalim Cha CCM uone Kama Tz itakuwa na shida na njaa za kipuuzi!. Naichukia CCM na watu wake....
Shida inakuja baada ya kuichagua inawakataa Vijana na kuwananga....Serikali ni nani? Nani anayo ichagua?
Vijana acheni sababu za Kijinga wehu nyie!
Wakiingia barabarani wanafyekwa miguuVijana wamewekeza akili zao kwenye mapenzi zaidi...
Nguvu zao na akili zao wamewekeza kwenye mapenzi...
Wanawaza mbinu za kivita za mapenzi...
Form 4 ina combination?Mkuu ulipata Divesheni ngapi Form 4 kwa Combination gani,nadhani hili ni muhimu sana!
Na wao wanakubali kunangwa!Shida inakuja baada ya kuichagua inawakataa Vijana na kuwananga....
wewe umetumia akili kiwango gani, na unajuaje kama una akili?
Hapana kaka, sio kwamba hatutaki kuhoji. Tunaogopa kupotezwa. Na hata kama tutahoji, hakuna kitakachofanyiwa kazi zaidi ya kupwayungisha midomo yetu bureKwanini vijana wasitumie muda kama walioutumia leo wakaandamana kuihoji serikali kuhusu ripoti ya CAG? Nilitamani kuona vijana wanahoji wezi wa mali na
wafuja rasilimali zilizotajwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna anayehoji.
Poti O'level SEMA ulichaguliwa PCB baada ya kufaulu science sio ulipata division 2 combination ya PCB ...hakuna kitu kama hicho ... O level kuna mchepuo/stream tu ya science na zinginezo hakuna combination/tahasusi poti..... Tahasusi zipo advance au ulifaulu advance ndio ukaenda O'level!??Form 4 nilipata division 2 ,combination ya PCB that's why najiamini sana mkuu!
Sasa ndio uwachane hao vijana waliokuomba hela ya kula sio unajumuisha vijana wote. Mbona wababa/wazee wengi wanatupiga mizinga vijana na tunawatoa kiroho safi tu. Unajiona smart but the trust is you are idiot ungekua karibu ningekucharaza bakora pamoja na huo umri wakoWe
Wengi tu! Hoji lingine! Use your brain to discuss important issues siyo unakuwa baseless arguments kama stupid nincopoomp!
Option pekee niliyonayo ya kupambana na Hawa wahuni ni maombi tu.
Naamini Mungu anao uwezo na mbinu, na akitaka kuwashusha viongozi wote dhalimu anaweza hata leo.
Wenye nguvu ingieni tu barabarani
Tunawaombea..
Mungu wa haki hatawaacha muangamizwe na waovu.
Hiki sio kicheko cha mwanaume rijali, inaonekana una chembe chembe za ushoga kama sio shoga completely kabisaHe he he he! Kweli wewe Bado unatafuta ajira! Hata huelewi ulichoandika!