Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

Pole sana baby!
Option pekee niliyonayo ya kupambana na Hawa wahuni ni maombi tu.
Naamini Mungu anao uwezo na mbinu, na akitaka kuwashusha viongozi wote dhalimu anaweza hata leo.

Wenye nguvu ingieni tu barabarani
Tunawaombea..
Mungu wa haki hatawaacha muangamizwe na waovu.
 
H
Yaani wazee waibe mapesa ya Kodi za Wtz afu uje ututukane vijana?,; Escrow, Richmomd, Kagoda vyote hivyo ni wazee wameusika!!. Afu wewe ni mzee au kijana?, Kama ni kijana mabadiliko hayaanzi na watu 19000 anza wewe acha kutushambulia kipumbavu...!.
Mbona hujasema waliokuwa wanadeki mabarbara 2015 kipindi Cha Lowasa?, Mbona hujasema wanaojazana kwa mwamposa?, Kama atatokea mtu akaja na wazo la kwamaba ili Tz iendelee tunahitaji "kufuta kizazi chote Cha CCM aidha kwakuwakataka mapanga au kuwapiga mabomu ndio nitamheshimu nakumuona shujaa!. Haya mengine ni upuuzi tu na kuwachukia watu, yaani mtu asimshangilie mtu anayempenda?, Futa kizazi dhalim Cha CCM uone Kama Tz itakuwa na shida na njaa za kipuuzi!. Naichukia CCM na watu wake....
E he he he! Kweli umekasirika!
 
Vijana wamewekeza akili zao kwenye mapenzi zaidi...

Nguvu zao na akili zao wamewekeza kwenye mapenzi...

Wanawaza mbinu za kivita za mapenzi...
Wakiingia barabarani wanafyekwa miguu
Na kijana akishatolewa miguu, kula yake yenyewe inategemea miguu yake.. wazee wameshikiliana nafasi, wapo radhi hata wauane.

Ila moto wa viongozi dhalimu wa Tanzania huko jehanam utakuwa mkali sana.
 
wewe umetumia akili kiwango gani, na unajuaje kama una akili?

Akili ya mwanadamu hupimwa kwa kiwango cha IQ (Intelligence Quotient)

Chanzo cha mtu kutambulika ni mwenye akili,ni:-

1.Uwezo wake Darasani
2.Uwezo wake wa kupambanua mambo kwa haraka.

1.Darasani

Tangu darasa la kwanza hadi form 4 sijawahi kuwa chini ya namba 3,mara zote nimekuwa mtu wa 1 - 2.

2.Uwezo wa kupambanua mambo kwa haraka.

Pitia Content zangu hapa JF ndo utajua mimi ni mtu wa aina gani!

By the way

Mwaka 2022 nimekuwa mshindi hapa JF kama mwanachama Bora wa Jukwaa la Entertainment,JF na wanachama wote huwa wanachagua mwanachama mwenye akili na uwezo,nilijipatia fedha na nyaraka ambazo hadi sasa ninazo!.

Nimewahi kuwa mwanafunzi bora (Smart & Intelligent) kutoka Shule ya Sekondari ya Tarime,cheti ninacho ukihitaji sema nipige picha nikutumie!

Nimewahi kuwa msajili laini bora wa Mwaka kutoka kampuni ya Tigo (Fleelancer of The Year) na nikatunukiwa na cheti pamoja na kiasi cha Tsh milioni 4.

Haya yote hayaji kwa kukurupuka,yanakuja ukiwa na akili timamu na uwezo mkubwa wa kiakili (IQ).


Haya lete hoja nyingine nikujibu!
 
Kwanini vijana wasitumie muda kama walioutumia leo wakaandamana kuihoji serikali kuhusu ripoti ya CAG? Nilitamani kuona vijana wanahoji wezi wa mali na
wafuja rasilimali zilizotajwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna anayehoji.
Hapana kaka, sio kwamba hatutaki kuhoji. Tunaogopa kupotezwa. Na hata kama tutahoji, hakuna kitakachofanyiwa kazi zaidi ya kupwayungisha midomo yetu bure
 
Form 4 nilipata division 2 ,combination ya PCB that's why najiamini sana mkuu!
Poti O'level SEMA ulichaguliwa PCB baada ya kufaulu science sio ulipata division 2 combination ya PCB ...hakuna kitu kama hicho ... O level kuna mchepuo/stream tu ya science na zinginezo hakuna combination/tahasusi poti..... Tahasusi zipo advance au ulifaulu advance ndio ukaenda O'level!??
 
We

Wengi tu! Hoji lingine! Use your brain to discuss important issues siyo unakuwa baseless arguments kama stupid nincopoomp!
Sasa ndio uwachane hao vijana waliokuomba hela ya kula sio unajumuisha vijana wote. Mbona wababa/wazee wengi wanatupiga mizinga vijana na tunawatoa kiroho safi tu. Unajiona smart but the trust is you are idiot ungekua karibu ningekucharaza bakora pamoja na huo umri wako
 
Option pekee niliyonayo ya kupambana na Hawa wahuni ni maombi tu.
Naamini Mungu anao uwezo na mbinu, na akitaka kuwashusha viongozi wote dhalimu anaweza hata leo.

Wenye nguvu ingieni tu barabarani
Tunawaombea..
Mungu wa haki hatawaacha muangamizwe na waovu.

Amen 🙏
 
Back
Top Bottom