Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wako serious na biashara kama Wahindi, Waarabu na WachinaHawa jamaa wako watatu kwao, kuna kaka yao mkubwa nafkiri ameshafariki alikua na biashara kubwa sana kule shinyanga na kanda ya ziwa
Afu kuna mmoja anahusika na biashara za aggrovert ..HARSHO huyu anafanya vizuri sana mikoa ya kaskazini na kanda ya kati
Mwingine yuko kwenye biashara ya vinywaji bwana Hillary huyu ukanda wa pwani anakimbiza sana
Mzee kaona Canadian wanamchelewesha ,kaingia front mwenyewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kuna jirani yangu alienda ktk mkesha kwa Mwamposa ndio kaniletea haya maji nimeshangaa kwamba Nabii kua anatengeneza maji muda sio mrefu ataharibu soko la uahai na afya kwani atauza sana uko mikoani.
Dew dropKuna chupa fulani hivi zinakuwa nyeupe, kale kachupa walidesign vizuri ika naona hawajasambaa sana wenyewe.
Ana company yake inaitwa Arise & Shine wanatengeneza mafuta, cake, majiKuna jirani yangu alienda ktk mkesha kwa Mwamposa ndio kaniletea haya maji nimeshangaa kwamba Nabii kua anatengeneza maji muda sio mrefu ataharibu soko la uahai na afya kwani atauza sana uko mikoani.
Naona hiyo ni brand ya Dew drop, hapo anafanya customization tuKuna jirani yangu alienda ktk mkesha kwa Mwamposa ndio kaniletea haya maji nimeshangaa kwamba Nabii kua anatengeneza maji muda sio mrefu ataharibu soko la uahai na afya kwani atauza sana uko mikoani.
Sahihi kabisa mkuu,Wako serious na biashara kama Wahindi, Waarabu na Wachina
Ametisha sana Tajiri mwamposa √Ana company yake inaitwa Arise & Shine wanatengeneza mafuta, cake, maji
Wateja wakubwa waumini
Koboko au sio.....hahahaaaNi kama maji flani yaliyoitwa meru spring,yalikuwa na harufu ya tindiga,yalishindwa mapema mno,maji mengine yaliyogomewa arusha ni Azura,yanapendwa misibani tu,chupa lake liko kama koboko
Na jamaa kwenye kusupply kawekeza vya kutosha ndinga zote mpya madereva wanapigwa kiyoyoziSahihi kabisa mkuu,
Kwa watu wanaokaa maeneo ya mapinga na Bunju nafkir wanaona utitiri wa gari za Hill zikiwa zinatoka ba kuingia kiwandani
Nawapongeza sana kwa kupambana
Afya ndiyo maji ya kipuuzi sijawahi kuyaelewa kabisa, unajua maji huwa ni tasteless, sasa ukakasi wa Afya makemikali yamezidi sana ujazo hadi yanaboa.Afya alikuwa mkombozi wa wengi alipopata TU jina kapandisha bei buku.
Watu wanakimbilia
Pangani ujazo wa 1.6 kwa sh 500.
Uhai chumvi zilimuharibia.
Klm anauzia jina quality hana
Kilimanjaro, Afya, Uhai yote hayachekani kwa kukosa ubora, Pangani, Hill water wako vizuri sana, Dasani naye kwa mbaaaali.Wanauzia quality afya na hill wanakimbiza.
Pangani nae anakuja kuja azidishe TU kafara
Trinity naye alikuwa anakuja kuja maji yake ni matamu kiubora, sijui kama bado yupo sokoni.Arusha Afya ameshapindua meza kibabe kabisa,kilimanjaro ana packaging mbaya sana,arusha kuna viwanda vingi vya maji,ila afya amepiku wote
Maji ya Kilimanjaro ushindani umekuwa mkubwa mpaka kaamua kushusha bei zimekuwa kama maji mengine
Huko Yuko Muda sana yeye na kaka yake Harodi mwenye HARSHO GROUP OF COMPANIES.Na vyakula vya Kuku..
Ndanda pia ni habari nyingine [emoji119] ila sasa hajatanua soko lake kwenye mikoa mingi.Ni kama maji flani yaliyoitwa meru spring,yalikuwa na harufu ya tindiga,yalishindwa mapema mno,maji mengine yaliyogomewa arusha ni Azura,yanapendwa misibani tu,chupa lake liko kama koboko
Sawa boss,mwaka mpya mwema kwako na familia.Kwani Kilimanjaro siyo mchagga.
Vijana wa kichagga tangu mmeanza kunywa mikonyagi na Kuchanja mkokaa akili zenu zimekuwa Kama wehu.
Afya ndiyo maji ya kipuuzi sijawahi kuyaelewa kabisa, unajua maji huwa ni tasteless, sasa ukakasi wa Afya makemikali yamezidi sana ujazo hadi yanaboa.
Pangani hayo yapo wapi kwa hapo Dar? Nilibahatika kuyanywa mara 1 Magomeni nikayatafuta tena sikuyapata kabisa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app