Sumu nayo iko vizuri sana mleFid Q dot Com huyo ndio alikua Fid,
Cado Kitengo ni kwenye freestyle tu swala la uandishi ni zero kabisa
Na hiyo imekuwa kama nature kwa watu wenye uwezo mkubwa wa freestyle mara nyingi kuandika wanakuwa hawana viwango
Ni mara chache sana unaweza ukawakuta wana fit angle zote mbili kama ngwair na Langa
kwa hizi sifa wanazomwagiwa hawa mid rappers mpaka natamani kuingia boothNjoo ule Joystick
Diss nzur sana. Sema ndefu mno.
Nipo upande wa Dizasta vina profesa tungo
Ingia booth ushishe vitu uwanja upo wazi, bado nafasi zipo za kutosha utakalisha wote hao Ila na wewe ukituletea sio sio tunakuchana vile vilekwa hizi sifa wanazomwagiwa hawa mid rappers mpaka natamani kuingia booth
Rapcha ndo anapenda kujichanganya.Mwambie ajichanganye kwa Killer
Hahaha mi bongo hakuna wa kunichana labda mmkodi Eminem na J.coleIngia booth ushishe vitu uwanja upo wazi, bado nafasi zipo za kutosha utakalisha wote hao Ila na wewe ukituletea sio sio tunakuchana vile vile
Ingia booth tuone acha kujipamba achia ngoma tukuone acha kujipump lines zako zitakutetea ukali wako utafahamika hivi hivi bado haujatushawishi,Hahaha mi bongo hakuna wa kunichana labda mmkodi Eminem na J.cole
Dizasta na Fid huwezi kuwalinganishangoma gani ya dizasta inafkia sumu
Tatzo najiuliza nianze na gia ipi maana kila kitu naweza kuanzia storytelling,boombap zile za kila mstari ni punch , melody trap,adi Rnb, Afro rap,nk.Ingia booth tuone acha kujipamba achia ngoma tukuone acha kujipump lines zako zitakutetea ukali wako utafahamika hivi hivi bado haujatushawishi,
Rapcha ndo anapenda kujichanganya.
Wewe ingia booth kitakachokujia chora mistari achia ngoma sambaza tukusikie, acha kujishaurishauri,Tatzo najiuliza nianze na gia ipi maana kila kitu naweza kuanzia storytelling,boombap zile za kila mstari ni punch , melody trap,adi Rnb, Afro rap,nk.
Ati ntokeje?
Options zipo zaidi ya hizo mbili..ila Unajua kabisa hatuwez kulinganisha storytelling na hizi zingine. lets compare apples with apples.Dizasta na Fid huwezi kuwalinganisha
Fid Q sio story teller ila kwenye majigambo nadhani wote wana share hii category
Na Dizasta amejiwekea utatatibu wake wa mfumo wa series
Yani akitoa hatia ujue hapo anaifundisha jamii kwa kuhadithia tukio ambalo kwenye movie lingeweza kuelezwa kwa masaa lakini yeye anakusimulia kwa dakika 4 na unaelewa
Japo lin nyimbo nyinginza story ameziimba bila kuziweka kwenye mpangilio wa series mfano siku mbaya
Ukija kwenye Nobody is safe hapo ni rap majigango na punchlines kuanzia nobody i-v zote kaua
Hapa umeamua tu kujikata kichwa.Kwa nyimbo ya Sumu ukisema niifananishe na nyimbo ya Dizasta kwa haraka haraka nitasema nobody is safe
Ila kutoa rate kuwa ipi kali kuzidi nyingine hapo ndio kipengele
Tatzo mziki ni expensive...saivi producer wa maana anataka laki 5 kuendelea. Halafu wewe hujui utareturn vipi au liniWewe ingia booth kitakachokujia chora mistari achia ngoma sambaza tukusikie, acha kujishaurishauri,
Hawa wasanii wana akili...natamani watu wa kanda hii wangethamini mziki hawa jamaa wangekua na pesa ndefu....
Mistari mikali
Tatzo mziki ni expensive...saivi producer wa maana anataka laki 5 kuendelea. Halafu wewe hujui utareturn vipi au lini
Rap ipo katika makundi mengihalafu utetezi wao kila siku ni ''nasimamia nguzo''
Nigga you can do both
Kwani misingi ya rap ni ipi? kuna msingi unaosema no melodies?Rap ipo katika makundi mengi
Hata Raggae pia unafikiri kwasababu gani wewe ukisikiliza Reggae za Luck Dube na Bob Marley unaona Luck Dube anaimba vizuri lakinj ukija kwenye recognition credit anapewa Marley
Ni kwasababu kuna misingi inayofuatwa, huyo Luck Dube katioa anaonekana ni mtu aliyekuja ku violet culture ya reggae na kuifanya ionekane kama Gospel Reggae
The same kwa hao ambao mnawaita wenye melody kwenye rap