HipHop Fans: Ni underground rapper yupi ambaye anafanya vizuri kuliko baadhi ya mainstreams rappers?

HipHop Fans: Ni underground rapper yupi ambaye anafanya vizuri kuliko baadhi ya mainstreams rappers?

Najua wengi ni mashabiki wa wasanii fulani fulani wa mziki pendwa wa hip hop ila leo nataka tuangazie kidogo hawa ma underground hip hop.

Katika tansina ya muziki huu wa hip hop tunaona jinsi gani evolution ilivyobadili ladha ya mziki huu kiasi cha wasanii kuimba nyimbo ambazo hazina lyrical wala critical.

List yangu ni hii hapa na wewe unaweza kuweka yako.

1. Dizasta vina
2. Nala mzalendo
3. Kadgo
4. Boshoo ninja
5. Kinya mistari
6. Shaolin senetor
7. Mbeya boy chuma
8. Hamis mistari
9. Ado gado
10. Nyenza MC

Wapo wengi ila kwasasa nianze na hao halafu chini nitanukuu mistari yao katika baadhi ya nyimbo zao
Homorapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tumetofautiana kimaana, mi nilimaanisha wasanii wasiosikika au chipukizi ambao hawana majina makubwa ambayo yanawafanya wasijulikane na wengi kulingana na mziki wanaoufanya
dizasta sio chipukizi sema wewe umsikii. sababa hiphop unayo ifahamu wewe ni neywamitego,
eti kadgo kad ya mchezo chipukizi tena asikiki endelea kusikiliza younglunya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wafatiliaji wa hip hop kindaki ndaki basi kadgo lazima wamjue.

Napozungumzia underground namaanisha wasanii wasiojulikana na wengi. Leo hii ukiwauliza watu kadgo ni nani sio wote watakao mjua mara nyingi wasanii hawa wanajulikana sana na watu wanaofatilia hip hop in deeper
kwenye hip hop underground atumanishi ivyo uku chimbo underground ni heshima ivi unajua "nas" ni underground

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unaonekana unamkubali raff kwasababu ni wa kwenu

Ana verse yake moja hivi anasema

Mi ndo janga la haiti, namzoa hadi FA akicheza yalaiti...
Chalii ni kwere yule kisoro,,ana flow yake iyo inaitwa 'Usinishike' ana'rap kama anakukataa ivi design hana haraka ivi,,
 
kwenye hip hop underground atumanishi ivyo uku chimbo underground ni heshima ivi unajua "nas" ni underground

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hapa sikusudii underground kwa minaajili ya "non-commercial rappers" hapa nalenga wale marapa wote wanao chana vizuri ambao ni lyrical ila watu wengi hawawajui.

Mfano hapo nimemu-include nala mzalendo ambaye ni rapper bora ila sio rahisi watu wengi kumjua kutokana hayuko mainstreams kama hawa kina nikki mbishi, nash, stereo, songa na wengineo ambao ni very popular
 
dizasta sio chipukizi sema wewe umsikii. sababa hiphop unayo ifahamu wewe ni neywamitego,
eti kadgo kad ya mchezo chipukizi tena asikiki endelea kusikiliza younglunya

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kasema dizasta chipukizi?

Ninamiaka zaidi ya 10 namjua probably hata wewe hujaanza kufatilia hip hop

Kuhusu Young lunya nimejibu huko juu, ungepitia baadhi ya post usingeweza kuandika tena kuhusu yeye hapa
 
Nani kasema dizasta chipukizi?

Ninamiaka zaidi ya 10 namjua probably hata wewe hujaanza kufatilia hip hop

Kuhusu Young lunya nimejibu huko juu, ungepitia baadhi ya post usingeweza kuandika tena kuhusu yeye hapa
Basi tumetofautiana kimaana, mi nilimaanisha wasanii wasiosikika au chipukizi ambao hawana majina makubwa ambayo yanawafanya wasijulikane na wengi kulingana na mziki wanaoufanya

list ya wasanii ulio wataja kwa maana ya underground ni wasiosikika au chipukizi

sas dizasta na kadgo ni Kati wasiosikika na chipukizi Kama si hivyo kwanini wapo kwenye iyo list

"Wasio sikika, chipukizi, ambao hawana majina makubwa, ambao hawako maimstream"

Kadgo na dizasta huwezi fananisha na kina mbishi, songa, fid q, uno au nash ambao wanasikika kila uchao
 
"Wasio sikika, chipukizi, ambao hawana majina makubwa, ambao hawako maimstream"

Kadgo na dizasta huwezi fananisha na kina mbishi, songa, fid q, uno au nash ambao wanasikika kila uchao
uwasikii wewe sababu uwafwatili, na ndio maana ujui underground inatumikaje kwenye hip hop . hip hop uelewi fwatilia, sebene umeanza kuisikia hip hop kupitia Roma mkatoliki nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uwasikii wewe sababu uwafwatili, na ndio maana ujui underground inatumikaje kwenye hip hop . hip hop uelewi fwatilia, sebene umeanza kuisikia hip hop kupitia Roma mkatoliki nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekua siwasikii na siwafatilii ningewezaje kuwataja?

Kujifanya unamaujuzi bila ujuzi ni ujuzi mpuuzi kama umeshindwa kuelewa underground niliyoikusudia hapa bakia kua msomaji tu
 
Back
Top Bottom