Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

Uongo, huu ni Uongo bwana, kombe la shirikisho limeanzishwa 2004.. kombe alilocheza Simba ni CAF Cup ambayo ikaunganishwa na African cup, winners cup ndo ikapatikana CAF confederation cup mwaka 2004, siyo hajawahi kucheza semi ya confederation
Hapo kilicho badilishwa ni mfumo na jina tu ila mashindano ni yale yale.
 
Roborobo baada ya mwananchi kupiga hatua mnaanza kutafuta vijirekodi, mtatafuta hadi makocha na wafungaji miaka hiyo.

Yanga imewafanya mjue historia yenu vyema, safi sana.
 
Swali ni kwamba kwa kipindi hiko kombe la shirikisho lilikuwa ni lipi kati ya CAF cup na Africa cup winner's cup. Ndio kwenye swali la msingi
 
Mpaka hapa washaelewa, ngoja watafute kajihistoria kengine ka kuzugia.
 
Kwani kipindi hicho ili ushiriki mashindano ambayo simba alifika fainal ulitakiwa uwe na sifa gani? Tuanzie hapo kwanza.
Shughulisha halmashauri ya kichwa chako kwanza ndio urudi... Mlianza Winner's Cup finalists...mmeelekezwa mkagoma, nimekuta mashindano yote na mabingwa wao ..unasema ni mashindano yaleyale... Kajisomee Tena ndio uje ..
 
Ubarikiwe sana aise....
 
Simba ilitinga nusu 1974 klabu bingwa.

Kwan kombe likibadilishwa Jina historia na rekodi zinafutwa?

Al Ahly amechukua klabu bingwa Mara 10 hii Ni pamoja na makombe yote ya nyuma miaka ya sabini.

Tuache ushamba!
 
Swali ni kwamba kwa kipindi hiko kombe la shirikisho lilikuwa ni lipi kati ya CAF cup na Africa cup winner's cup. Ndio kwenye swali la msingi
Mbona vichwa vyenu ni vigumu, kombe la shirikiaho limeanzishwa 2004 baada ya kuunganisha hayo mashindano mawili.
Kwa mashindano ya kipindi hicho na tukilinganisha na sasa, kombe la shirikisho lilikua hilo African cup winners cup na sio hilo la Abiola.
 
 
Mkuu ungeanza kwanza kwa kufuatilia mazungumzo yangu tokea juu kabla ya kuingilia katikati.
 
Ghafla, makolo wameanza kupenda historia. Na wanaieleza kwa hasira kweli kweli.
 
Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
Mwezi mmoja nyuma au mwaka mmoja kusema hivo mlikua wapi?
Watoto wako wakiiga hizi akili wamepotea
 
Simba walicheza fainali kombe la Caf mwaka 1993 na wala sio kombe la washindi hivyo acha upotoshaji tafadhali.
 
Swali ni kwamba kwa kipindi hiko kombe la shirikisho lilikuwa ni lipi kati ya CAF cup na Africa cup winner's cup. Ndio kwenye swali la msingi
Hili swali halina maana,maana umeahaambiwa yamevunjwa makombe haya na kuasisiwa kombe la shirikisho wewe unakaza misuli ya kichwa
 
Sasa aliyefika nusu fainali ya CAFCL na CAFCC yupi yupo juu boss????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…