[emoji837]CAF walikuwa na mashindano matatu CAF CUP,CAFCL na CAF CUP WINNERS[emoji3578]
[emoji837]CAFCL - iliwahusisha mabingwa wa ligi katika nchi husika[emoji3578]
1974 SIMBA SC alifika nusu fainal ya CAFCL /LIGI YA MABINGWA kwa sasa,mwanzoni iliitwa KLABU BINGWA AFRIKA [emoji3578]
[emoji837]CAF CUP - ilihusisha timu zote zilizoshika nafasi ya pili katika ligi za nchi husika.
1993 SIMBA SC ilifika fainali ya CAF CUP[emoji3578]
[emoji837]CAF CUP Winner's - ilihusisha timu zote zilizokuwa washindi wa kombe la FA la nchi husika.[emoji3578]
[emoji837]Kombe la shirikisho lilianzishwa baada ya kuvunjwa kwa makombe haya mawili CAF CUP na CAF winners na kuundwa muundo mpya unaotumika sasa.[emoji3578]
[emoji117]TUKUBALI TU KUWA SIMBA IMECHEZA HATUA ZA JUU ZAIDI YA MASHINDANO HAYA YA CAF KULIKO YANGA,USHABIKI USITUFUMBE MACHO NA KUTUTOA AKILI,TUWE HALISI.
HATUPO KWENYE KUBISHANA BALI KUELEWESHANA ILI TUSIPOTOSHE HISTORIA KWA VIZAZI VIJAVYO.[emoji3578]
NB: KAMA UMEAMUA KUKAZA FUVU HIZO NI SHIDA ZAKO,MIMI NISHAKUPA ELIMU KISTAARABU ITAKAYOKUSAIDIA WEWE NA WANAOKUFUATA[emoji3578]