Na hizi ndio athari kuwa na viongozi washirikina na wenye kuamini uchawi na kuishi uchawi huwa inageuka kuwa laana kwa taifa, ndio kama haya tuna yaishi sasaWao si ndiyo watunga sheria π
Watumishi wengine wa umma, wao ni kuteseka tu
Inasikitisha..Kuna watu wana bahati! Mpaka anafikia nafasi ya CDF hana hata shahada ya uzamili kwenye masuala ya usalama, uongozi, nk!! Nilijua kwa nafasi yake atakuwa ni PhD kwenye masuala ya jeshi!
Kumeanza Kuchangamka sasa..Chuo alichosoma Bachelor Degree kilifutwa na TCu kuwa ni chuo feki
Kilikuwa kimekodi flow 2 tu pale jengo la Ttcl Arusha Clock towerSo CDF alisoma chuo feki?
Hawa watumishi wengine wasio wanasiasa, wajifunze kujiwekeza kabla ya kustaafuNa hizi ndio athari kuwa na viongozi washirikina na wenye kuamini uchawi na kuishi uchawi huwa inageuka kuwa laana kwa taifa, ndio kama haya tuna yaishi sasa
Okay.2. Nishani ya Operesheni Demokrasia Comoro.
Some people are very luck, Kuna dogo mmoja wenzake wanamuitaga KITIVO a.k.a ProfessorKumaliza sekondari 1992 kujiunga chuo kikuu 2014
KWANI AMEKUFA MPAKA UNAWEKA MKEKA WAKE??Jenerali Jaya Muungano Daraja la Nne.
Huyu ndio CDF wetu Jenerali Jacob John Mkunda..!!!
Mauaji ya Oct 29 yanaenda kufukua makaburi yaliyosahaulika..So CDF alisoma chuo feki?
wajifunze kujiwekeza, au wajifunze kuiba ?Hawa watumishi wengine wasio wanasiasa, wajifunze kujiwekeza kabla ya kustaafu
Maisha ya kikokotoo cha 33% sio kabisa
Hasa ukiwa bado una watoto chini ya miaka 18 (wategemezi)
Umekunya kunya tuu,hakuna la maana uliloandika.Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elim
7. Nishani ya Utumishi Mrefu.
8. Nishani ya Utumishi Uliotukuka.
9. Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Nne.
Huyu ndio CDF wetu Jenerali Jacob John Mkunda..!!!
Eti wanatakatisha Elimu...Kilikuwa kimekodi flow 2 tu pale jengo la Ttcl Arusha Clock tower
Niliwahi kwenda kumsabahi baba yangu mdogo nikabaki nimeduwaa
Chuo kilikuwa na wazee ndo wateja wakuu nadhani walikuwa wanatakatiaha elimuπ
Kwamba unayo CV tofauti na aliyoleta mtoa mada.. Iweke hapa tuioneUmekunya kunya tuu,hakuna la maana uliloandika.
Mzee wangu ikitokea uka staafu ukachukua pesa Yako then ukaendelea kula pension yakoo let say miaka 10 ( wastaafu wengi majority Huwa hawatoboi miaka zaidi ya kumi)Hawa watumishi wengine wasio wanasiasa, wajifunze kujiwekeza kabla ya kustaafu
Maisha ya kikokotoo cha 33% sio kabisa
Hasa ukiwa bado una watoto chini ya miaka 18 (wategemezi)
Hapa mimi pamenichosha na sikuendelea kusoma tenaYani 1992 anakuja kusoma Chuo mwka 2014....??? duuuh au ndio elimu ,bali mbali..
Alimaliza sekondari 1992 halafu chuo 2014 hadi 2017.Unaona nini hapoKwamba unayo CV tofauti na aliyoleta mtoa mada.. Iweke hapa tuione
Ndio CV Yake sasa hiyo..Alimaliza sekondari 1992 halafu chuo 2014 hadi 2017.Unaona nini hapo
Mimi nakwambia na Kuna siku utakumbuka maneno yangu inawezekana huyu bwana mdogo Nkunda ni Mnyarwanda.CDF ana elimu ya hapa na pale
Ukishapokea gawio la mkupuo (Ile 33%) Ile inayobaki inatolewa kidogo kidogo hadi utakapoaga DuniaMzee wangu ikitokea uka staafu ukachukua pesa Yako then ukaendelea kula pension yakoo let say miaka 10 ( wastaafu wengi majority Huwa hawatoboi miaka zaidi ya kumi)
Sasa ikitokea AKAFARIKI Dunia JE Kuna pesa yoyote ambayo WANAPEWA mkewe na watoto kama pesa ya kuagana na mfuko wa hifadhi ya jamii?
Naomba kuwasilisha
Tungependa kufahamu matokea ya F4 na F6 alipata daraja gani.Hivyo mpaka anakuwa Afisa alikuwa na elimu ya form Six sio