gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Huwezi kuwa luten jenero jeshini kwa vyeti vya human resources au bcom toka udsm,jeshi siyo Pepsi au coca cola,unapaswa uwe na elimu ya jeshi,Wana kozi zao huko,kama huendi hizo kozi au ukifeli vyeo utavisikia tuJeshini unaweza kuwa na Elimu kubwa tu. A iliyonyooka na bado ukawa mtu wakawaida tu, Afu kuna wale wenye Elimu ya Hapa na Pale anakuwa hadi Luten General why kwasababu jeshini kuna vyeo huwa ni vya mwisho kabisa afu viliyobaki ni kama Bahati tu au ukaribu na watu wa mfumo nina wajua askari kibao karibia kila Jeshi wana PHD na ni elimu iliyonyooka ila kwasasa ni SSP tu
Ujinga mtu alimaliza six 1992,unajua alisoma nini jeshini kipindi chote hicho?.. unataka awe na masters ya microbiology ya udsm?Umeamua kutetea tu ujinga. Vyuo vya kijeshi vimejaa kote duniani vinavyotoa elimu ya kiwango hicho.
Vuta subira kidogo, mkuu 'Matrix'.Jenerali wa hovyo kabisa kuwahi kutokea baada ya Robert Mboma.
Hiyo microbiology yako inahusiana nini na nilichoakiandika?Ujinga mtu alimaliza six 1992,unajua alisoma nini jeshini kipindi chote hicho?.. unataka awe na masters ya microbiology ya udsm?
Alafu usalama wapo wanakula salary za bureeeeSo CDF alisoma chuo feki?
Aliekudanganya Nani mkuu!? Jeshini Wenye Elimu iliyonyooka na kubwa huwa mara nyingi ni watu wakawaida tu na utawakuta OfisiniKuna watu wana bahati! Mpaka anafikia nafasi ya CDF hana hata shahada ya uzamili kwenye masuala ya usalama, uongozi, nk!! Nilijua kwa nafasi yake atakuwa ni PhD kwenye masuala ya jeshi!
Yani jamaa amemaliza form six kabla sijazaliwa halafu amemaliza chuo kikuu mimi nikiwa tayari nishamaliza?Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, Mwaka 1979 hadi 1985. Akajiunga na Elimu ya Sekondari katika Shule ya Sekondari Mavu mwaka 1986 hadi 1989 na Shule ya Sekondari Ndanda mwaka 1990 hadi 1992.
Baada ya kumaliza Elimu yake ya Sekondari Alijiunga na Elimu ya chuo kikuu katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mwaka 2014 hadi 2017 na kutunukiwa shahada ya sanaa katika Utawala wa Umma na Usimamizi wa Rasilimali Watu.
Jenerali Jacob John Mkunda alijiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa "JKT" kwa mujibu wa sheria mwaka 1992 na ulijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania "JWTZ " Tarehe 1 Aprili mwaka 1993. Pia alihudhuria mafunzo ya Afisa Mwanafunzi na kutunukiwa kamisheni katika Chuo cha Monduli tarehe 25 Juni mwaka 1994.
Katika utumishi wake Jeshi Jenerali Jacob John Mkunda, Alipata nafasi ya kuhuduria mafunzo mbalimbali ndani na nje ya nchi ikiwemo:
Afisa Mwanafunzi Tanzania (1994), Kozi ya awali ya maafisa wa mzinga (1995), Gun Position Officers Course katika Shule ya Mzinga Tanzania (1998), Kozi ya utawala wa kikosi, Shule ya Mafunzo ya Huduma Pangani (2001), Field Artillery Company Commander nchini Marekani (2002), Regimental Survey Officers Course Tanzania (2003), Kozi ya Waangalizi wa Amani wa Umoja wa Mataifa Tanzania (2007), Kozi ya Makamanda na Unadhimu nchini Uganda (2008), Artillery Battalion Commander Course nchini Bangladesh (2010), Kozi ya Ulinzi wa Taifa nchini India (2016)
Jenerali Jacob John Mkunda Katika utumishi wake Jeshini umepandishwa vyeo mbalimbali kama ifuatavyo:
1. Luteni: Tarehe 5 - Oktoba 1995
2. Kapteni: Tarehe 21 - Januari 2001
3. Meja: Tarehe 3 - Novemba 2006
4. Luteni Kanali: Tarehe 19 - Machi 2010
5. Kanali: Tarehe 17 - Januari 2015
6. Brigedia Jenerali: Tarehe 30- Juni 2016
7. Meja Jenerali: Tarehe 2 - Julai 2020
8. Jenerali: Tarehe 29 - Juni 2022
Kutokana na kisomo chake Jenerali Jacob John Mkunda aliweza kushika Madaraka mbalimbali katika Jeshi letu la Ulinzi "JWTZ" ikiwemo:
1. Platoon Commander, Shule ya Mzinga (1993–2000)
2.Afisa Tawa 451 Regiment (2001–2006)
3. Battery Commander 451 Regiment (2006)
4. Mkufunzi, Shule ya Mzinga (2007–2009)
5. Kaimu Kamanda 977 Regiment (2009–2011)
6. Kamanda Kikosi 977 Regiment (2011–2018)
7. Kaimu Kamanda Brigedi 202 (2018–2020)
8. Kamanda Jeshi la Nchi Kavu (2020–2021)
9. Mkuu wa Tawi la Mafunzo na Utendaji Kivita, Makao Makuu ya Jeshi (2021–2022)
10. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania kuanzia tarehe 30 Juni 2022, Madaraka uliyonayo hadi sasa.
Jenerali Jacob John Mkunda Katika utumishi wake jeshini, Rais na Amiri Jeshi Mkuu alikutunuku nishani mbalimbali kama zifuatazo:
1. Nishani ya Miaka 40 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
2. Nishani ya Operesheni Demokrasia Comoro.
3. Nishani ya Miaka 50 ya Uhuru.
4. Nishani ya Miaka 50 ya Muungano.
5. Nishani ya Miaka 50 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
6. Nishani ya Miaka 60 ya Uhuru.
7. Nishani ya Utumishi Mrefu.
8. Nishani ya Utumishi Uliotukuka.
9. Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Nne.
Huyu ndio CDF wetu Jenerali Jacob John Mkunda..!!!
Looo!Ujinga mtu alimaliza six 1992,unajua alisoma nini jeshini kipindi chote hicho?.. unataka awe na masters ya microbiology ya udsm?
Mzee mwenzangu huwa unakunywa visungura?..Hiyo microbiology yako inahusiana nini na nilichoakiandika?
CV ndizo hua zinawafanya waonekane vilaza muulize Ndugu yetu Kihiyo ndiye aliyetuletea jina Kihiyo kutokana maswali aliyolimwa na Wakili Dr Masumbuko Lamwai kuhusu CV yakeMuhimu ni yeye kuja mahakamani kutolea ushahidi tu basi.
Hii CV wabaki nayo walio au wanao mteua.
1/3 ya gross salary yako uliyostaafiaAaahhh huu ni uhuni wa wazi wazi. Lakin i hope zile maliPo za mwezi watakua wamewaongezea kama namna ya kuilipa hiyo 67%
WASIFU WA NAMNA HII HUSOMWA ANAPOZIKWA BAADA YA KUFA..🖐️Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, Mwaka 1979 hadi 1985. Akajiunga na Elimu ya Sekondari katika Shule ya Sekondari Mavu mwaka 1986 hadi 1989 na Shule ya Sekondari Ndanda mwaka 1990 hadi 1992.
Baada ya kumaliza Elimu yake ya Sekondari Alijiunga na Elimu ya chuo kikuu katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mwaka 2014 hadi 2017 na kutunukiwa shahada ya sanaa katika Utawala wa Umma na Usimamizi wa Rasilimali Watu.
Jenerali Jacob John Mkunda alijiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa "JKT" kwa mujibu wa sheria mwaka 1992 na ulijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania "JWTZ " Tarehe 1 Aprili mwaka 1993. Pia alihudhuria mafunzo ya Afisa Mwanafunzi na kutunukiwa kamisheni katika Chuo cha Monduli tarehe 25 Juni mwaka 1994.
Katika utumishi wake Jeshi Jenerali Jacob John Mkunda, Alipata nafasi ya kuhuduria mafunzo mbalimbali ndani na nje ya nchi ikiwemo:
Afisa Mwanafunzi Tanzania (1994), Kozi ya awali ya maafisa wa mzinga (1995), Gun Position Officers Course katika Shule ya Mzinga Tanzania (1998), Kozi ya utawala wa kikosi, Shule ya Mafunzo ya Huduma Pangani (2001), Field Artillery Company Commander nchini Marekani (2002), Regimental Survey Officers Course Tanzania (2003), Kozi ya Waangalizi wa Amani wa Umoja wa Mataifa Tanzania (2007), Kozi ya Makamanda na Unadhimu nchini Uganda (2008), Artillery Battalion Commander Course nchini Bangladesh (2010), Kozi ya Ulinzi wa Taifa nchini India (2016)
Jenerali Jacob John Mkunda Katika utumishi wake Jeshini umepandishwa vyeo mbalimbali kama ifuatavyo:
1. Luteni: Tarehe 5 - Oktoba 1995
2. Kapteni: Tarehe 21 - Januari 2001
3. Meja: Tarehe 3 - Novemba 2006
4. Luteni Kanali: Tarehe 19 - Machi 2010
5. Kanali: Tarehe 17 - Januari 2015
6. Brigedia Jenerali: Tarehe 30- Juni 2016
7. Meja Jenerali: Tarehe 2 - Julai 2020
8. Jenerali: Tarehe 29 - Juni 2022
Kutokana na kisomo chake Jenerali Jacob John Mkunda aliweza kushika Madaraka mbalimbali katika Jeshi letu la Ulinzi "JWTZ" ikiwemo:
1. Platoon Commander, Shule ya Mzinga (1993–2000)
2.Afisa Tawa 451 Regiment (2001–2006)
3. Battery Commander 451 Regiment (2006)
4. Mkufunzi, Shule ya Mzinga (2007–2009)
5. Kaimu Kamanda 977 Regiment (2009–2011)
6. Kamanda Kikosi 977 Regiment (2011–2018)
7. Kaimu Kamanda Brigedi 202 (2018–2020)
8. Kamanda Jeshi la Nchi Kavu (2020–2021)
9. Mkuu wa Tawi la Mafunzo na Utendaji Kivita, Makao Makuu ya Jeshi (2021–2022)
10. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania kuanzia tarehe 30 Juni 2022, Madaraka uliyonayo hadi sasa.
Jenerali Jacob John Mkunda Katika utumishi wake jeshini, Rais na Amiri Jeshi Mkuu alikutunuku nishani mbalimbali kama zifuatazo:
1. Nishani ya Miaka 40 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
2. Nishani ya Operesheni Demokrasia Comoro.
3. Nishani ya Miaka 50 ya Uhuru.
4. Nishani ya Miaka 50 ya Muungano.
5. Nishani ya Miaka 50 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
6. Nishani ya Miaka 60 ya Uhuru.
7. Nishani ya Utumishi Mrefu.
8. Nishani ya Utumishi Uliotukuka.
9. Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Nne.
Huyu ndio CDF wetu Jenerali Jacob John Mkunda..!!!
Sasa hiyo 67% wanakua wanakulipaje? After every how long?1/3 ya gross salary yako uliyostaafia
Kmbe hili li-jamaa ni li-kilaza ndiyo maana. Elimu ya kuunga-unga.Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, Mwaka 1979 hadi 1985. Akajiunga na Elimu ya Sekondari katika Shule ya Sekondari Mavu mwaka 1986 hadi 1989 na Shule ya Sekondari Ndanda mwaka 1990 hadi 1992.
Baada ya kumaliza Elimu yake ya Sekondari Alijiunga na Elimu ya chuo kikuu katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mwaka 2014 hadi 2017 na kutunukiwa shahada ya sanaa katika Utawala wa Umma na Usimamizi wa Rasilimali Watu.
Jenerali Jacob John Mkunda alijiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa "JKT" kwa mujibu wa sheria mwaka 1992 na ulijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania "JWTZ " Tarehe 1 Aprili mwaka 1993. Pia alihudhuria mafunzo ya Afisa Mwanafunzi na kutunukiwa kamisheni katika Chuo cha Monduli tarehe 25 Juni mwaka 1994.
Katika utumishi wake Jeshi Jenerali Jacob John Mkunda, Alipata nafasi ya kuhuduria mafunzo mbalimbali ndani na nje ya nchi ikiwemo:
Afisa Mwanafunzi Tanzania (1994), Kozi ya awali ya maafisa wa mzinga (1995), Gun Position Officers Course katika Shule ya Mzinga Tanzania (1998), Kozi ya utawala wa kikosi, Shule ya Mafunzo ya Huduma Pangani (2001), Field Artillery Company Commander nchini Marekani (2002), Regimental Survey Officers Course Tanzania (2003), Kozi ya Waangalizi wa Amani wa Umoja wa Mataifa Tanzania (2007), Kozi ya Makamanda na Unadhimu nchini Uganda (2008), Artillery Battalion Commander Course nchini Bangladesh (2010), Kozi ya Ulinzi wa Taifa nchini India (2016)
Jenerali Jacob John Mkunda Katika utumishi wake Jeshini umepandishwa vyeo mbalimbali kama ifuatavyo:
1. Luteni: Tarehe 5 - Oktoba 1995
2. Kapteni: Tarehe 21 - Januari 2001
3. Meja: Tarehe 3 - Novemba 2006
4. Luteni Kanali: Tarehe 19 - Machi 2010
5. Kanali: Tarehe 17 - Januari 2015
6. Brigedia Jenerali: Tarehe 30- Juni 2016
7. Meja Jenerali: Tarehe 2 - Julai 2020
8. Jenerali: Tarehe 29 - Juni 2022
Kutokana na kisomo chake Jenerali Jacob John Mkunda aliweza kushika Madaraka mbalimbali katika Jeshi letu la Ulinzi "JWTZ" ikiwemo:
1. Platoon Commander, Shule ya Mzinga (1993–2000)
2.Afisa Tawa 451 Regiment (2001–2006)
3. Battery Commander 451 Regiment (2006)
4. Mkufunzi, Shule ya Mzinga (2007–2009)
5. Kaimu Kamanda 977 Regiment (2009–2011)
6. Kamanda Kikosi 977 Regiment (2011–2018)
7. Kaimu Kamanda Brigedi 202 (2018–2020)
8. Kamanda Jeshi la Nchi Kavu (2020–2021)
9. Mkuu wa Tawi la Mafunzo na Utendaji Kivita, Makao Makuu ya Jeshi (2021–2022)
10. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania kuanzia tarehe 30 Juni 2022, Madaraka uliyonayo hadi sasa.
Jenerali Jacob John Mkunda Katika utumishi wake jeshini, Rais na Amiri Jeshi Mkuu alikutunuku nishani mbalimbali kama zifuatazo:
1. Nishani ya Miaka 40 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
2. Nishani ya Operesheni Demokrasia Comoro.
3. Nishani ya Miaka 50 ya Uhuru.
4. Nishani ya Miaka 50 ya Muungano.
5. Nishani ya Miaka 50 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
6. Nishani ya Miaka 60 ya Uhuru.
7. Nishani ya Utumishi Mrefu.
8. Nishani ya Utumishi Uliotukuka.
9. Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Nne.
Huyu ndio CDF wetu Jenerali Jacob John Mkunda..!!!
Utumishi uliotukuka kivipi wakati mauaji ya halaiki ya MO29 yalitekelezwa akiwa CDF?8. Nishani ya Utumishi Uliotukuka.
Kuna Jama aliniambia kama Take home yako ina koma moja tu hiyo sio salary ni Posho uache kunywa bia wala kuhonga kabisa ikiwezekana hata Ndugu wafungie Vioo kabisaKwaio mkuu sisi wenye salary ya tarakimu SITA. Bila kujiwekeza hatutoboi hahaha haaaahaa
Kwa dar es salaam naona pesa inatumika sana mfano Mimi kwa wastani kwa siku natumia 40,000 iviii kwa kadilio dogo.
Kwaio hata kama una ingiza 2m unaweza jikuta hufanyi lolote la maana tena kwa sisi tunao piga BIA daily HAPA TUNASINGIZIA TUMEROGWA
Muhimu ni yeye kuja mahakamani kutolea ushahidi tu basi.
Hii CV wabaki nayo walio au wanao mteua.
Iko hivi hata uwe na Degree ya Elimu unaweza kuwa Luten vizuri tu hivyo vikozi vyao vya kijeshi ni vya kawaida tu sasa mtu kasoma Mzinga Bangladesh Miezi 6 ni elimu ya maana sasa hiyo!? Kiufupi ni vikozi maalumu tu kwa utendaji wa kazi zao na sio hivyo ndio vibakupa Cheo!! Angalau hii BMS ya sasa ndio inamaana ila sijui ike ila Kunduchi NDC sijui hizo za Mizinga mara ukamanda na unadhimu ni sababu ya utendaji wako tu na uzuri karibia maafisa wote wanasoma hivyo vikoziHuwezi kuwa luten jenero jeshini kwa vyeti vya human resources au bcom toka udsm,jeshi siyo Pepsi au coca cola,unapaswa uwe na elimu ya jeshi,Wana kozi zao huko,kama huendi hizo kozi au ukifeli vyeo utavisikia tu
😂😂😂😂😂Yani jamaa amemaliza form six kabla sijazaliwa halafu amemaliza chuo kikuu mimi nikiwa tayari nishamaliza?
QTKumaliza sekondari 1992 kujiunga chuo kikuu 2014