Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

Kuna Jama aliniambia kama Take home yako ina koma moja tu hiyo sio salary ni Posho uache kunywa bia wala kuhonga kabisa ikiwezekana hata Ndugu wafungie Vioo kabisa
Kwa kweriiiii posho Ina mtosha mtu pekee maana
DEPENDENCY RATIO IKIWA HIGHER THAN SAVINGS HUTOBOI
 
Nakwambia Wana mfumo wao wa elimu tena unakustress vibaya mno,hao wanaokuja kusoma uraiani huwa ni cases chache sana,tulikua nae mmoja,na huenda huambiwa waje kusoma vyuo uraiani
Ili kumpa mtu maarifa mengi nakua na uwezo mkubwa wa kiakili ni muhimu wakuu wa majeshi atleast awe na masters degree walau pamoja na izo courses za hapa na pale..
 
Hao Wana mfumo wao wa elimu,huko siyo kwa kwenda udsm,saut,mzumbe kupata vyeti vya masters PhD
Hapo 1992-2014 itakua kapiga sana shule ya jeshi,jeshini huhitaji mas

Huyo alifaulu form four ndiyo maana akaenda ndanda,ndanda ya serikali na kipindi hicho sekondari chache
Tukianza kutajiana izo special school wengi humu ndani wamepitia Mimi sikuwai kuyapenda Yale maisha ya uboyzin

Haimaanishi kusoma ndanda ndio kua na akili nyingi
 
Umekariri unapoenda hapo kwa Mangi basi kila mtu ndio yupo au anaenda ?

Na unaweza kunitajia kipimo cha amani ni kipi ?
Zilizo baki ni mihemko na propaganda ila Taifa lipo salama na majeshi yetu yapo salama sana.
 
Hao Wana mfumo wao wa elimu,huko siyo kwa kwenda udsm,saut,mzumbe kupata vyeti vya masters PhD
Hapo 1992-2014 itakua kapiga sana shule ya jeshi,jeshini huhitaji mas

Huyo alifaulu form four ndiyo maana akaenda ndanda,ndanda ya serikali na kipindi hicho sekondari chache
Lakini huyu mtu tukubali,hana intellectual ability to present a point mbele ya wasomi.
 
Vitu vingi sana umevikosea hapo Mzee wangu ni basi tu hajawahi kuwa afisa TAWA may be umekosea kwenye afisa utawala, kafanya Battery commander course hujasema na course fulani fulani pia all in all OK. Ila tambua kuwa kafanya military course nyingi kuliko civilian course.
 
Una
CV yake sidhani kama inatosheleza kuwa Mkuu wa Majeshi, yawezekana ndo mkuu wa majeshi mwenye CV mbovu toka uhuru
Una uhakika lakini kuna vitu tofautisha hapo kuna military course na civilian course ambazo zinaweza kukufanya kupanda vyeo inategemea zaidi na misingi na taratibu za jeshi husika mfano mdogo naweza kukuuliza swali naomba nitajie CDF wa nchi yetu aliyekuwa na elimu ya kiraia kiwango cha PhD?
 
Ndo maana huwa nasema huyo jamaa ni kilaza.

Yaani kuanzia mwaka 1992 mpaka 2014 hakuwa na shahada ya chuo kikuu?

Kumbe kasoma elimu ya watu wazima ya chuo kikuu…..

Ningependa kuona transcripts zake kutoka hicho chuo alichosomea.

Yawezekana hicho chuo ni diploma mill.
Sasa Ile tashwishwi Alivyo kuwa nayo ya kutoa ushahidi itaongezeka au itapungua
 
Mwamba na elimu za Kijeshi tuu...duuuh
Lakini naimani una ufahamu mzuri tu angle hiyo kwani wa nyuma yake tu nae si military course tupu kimsingi kwa upande huo wengi mno huwa wanajikita sana huko miaka ya sasa ndiyo naona wengi walau wanadeal sasa na civilian course.
 
Lakini huyu mtu tukubali hana intellectual ability to present a point mbele ya wasomi.
Yeah... Mtu kamaliza sekondari 1992 afu kuja kuanza digrii 2014 ni wazi kaenda chuo akiwa kashakuwa mkubwa na mabulungutu yake ya manoti mfukoni. Kwa mfumo wa elimu yetu hii... ukiwa na mahela yako, chuo unajiokotea digrii kirahisi tu..

Fuatilia wanasiasa wanavyojiokotea Ma-PhD wakati muda wote wako maofisini na kwenye mabaa....
 
Komredi…..kamaliza 94 au 92? Hebu angalia vizuri.

Gap yake ni miaka 22 toka alipomaliza sekondari hadi alipoenda kununua digrii.
 
Back
Top Bottom