Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
š¤£š¤£Kuzaliwa 1968 na kuanza darasa la kwanza 1979.
Kidume kilianza darasa la kwanza kikiwa kishaota mavuz.i naona...
Yaani resume za hawa viongozi haramu zina mambo sana.
Hakuna aliye na resume iliyonyooka.
Angalia tu hata wasifu wa huyo makamu mpya haramuā¦..miaka yake ya kielimu hesabu zake kama zinagoma hivi.
Jamaa darasa la kwanza alianza sijui na miaka minne au mitano hiviā¦.