Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

Vyovyote vile lazima kobaz mwenzetu awe CDF, tumejipanga
Hawa ndio wanaosubiri kwenye line

1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
Noma sana hapo hilo game limekaba kweli kweli hapo. Ila Maj. Gen F Nondo si kwamba anamalizia malizia kweli? Kitu kama hicho
 
Ipo hivi hiyo ni kawaida sana na si tu Tanzania naweza nikakupa mifano mingi sana ya ma General wa nchi tofauti ambao walipitia huko majeshi yana taratibu zake sana hata huko Uingereza, Marekani, na kwingine ambako tunaamini wapo mbali kielimu mbona General's wao wengi unakuta sanaa ni Masters kwa elimu ya kiraia na ambazo kazisoma baada ya muda mwingi wa utumishi jeshini?

Soma kuwa hata profesa alafu Command and staff college usipite uone hata huo ukanali kama utaupata.
Hujajibu swali langu. Kama elimu ya jeshi ndio ya msingi sana , CDF alifata Nini huko Mount Meru University aka chuo feki?
 
Komredi…..kamaliza 94 au 92? Hebu angalia vizuri.

Gap yake ni miaka 22 toka alipomaliza sekondari hadi alipoenda kununua digrii.
Shukrani komred. Nimesha edit.....

Inachangamsha sana akili. Yaani kichwa kiko vizuri ukiwa na umri mdogo.... afu unakaa miaka 22 baadae ukiwa mzee ndio urudi tena darasani....???

Binafsi ningefurahi kuona ufaulu wake ulikuwaje....

Sasa naelewa kwanini hii mijamaa inamkimbia mwamba Tundu Lissu
 
Hizo kozi ni miaka mingapi!? Na huwa wanafeli kweli au nidhamu tu inawaondoa kwneye mafunzo unawdza ukarelate kozi ya Mzinga bangladesh ni sawa na Elimu gani ya kiraia mkuu!?
Naomba hili tuliweke sawa mkuu elimu ya kiraia sina ubishi kabisa kwamba ni lazima na muhimu sana nilichokuwa nasema military officers lazima awe na area ya specialization yake kwa kozi za chini kabisa sasa hao wazee wetu ukitazama nyakati zao wengi Officer Cadet walienda kwa sifa ya elimu ya kidato cha sita, mpaka ilipokuja kutokea elimu nchi zetu imekuwa sana ndiyo unaona sifa ya awali ni walau shahada ya kwanza.

Ukiachana na taaluma za kiraia kuna taaluma za kijeshi ambazo nazo zina mchango mkubwa sana tena sana kuweza kumfanya huyu afisa kutoka cheo kimoja hadi kingine ambazo mara nyingi humfanya kufikia cheo cha ukanali (achana na kuanzia u brigedia jenerali) ndiyo hapo mchango wa elimu ya kijeshi.

Mifano ipo mingi si tu kwa Tanzania nimesema nchi kubwa sana mfano marekani Generals wao wengi elimu zao utakuta Masters tena wamezisoma wakiwa kazini. Hii inaonyesha mchango mkubwa wa military course kumfanya afisa aweze kufikia hatua hata ya kuteuliwa sasa kuongoza battalion, brigedi, division hata kamandi. Hivyo mzee wa kazi alimua kuongeza Bachelor yake kama added advantage ya safari yake kuweza kufikia huko alipo leo ni sawa na leo hasasi za kiraia tunataka C.E.O awe na bachelor degree ila akiwa na Masters degree tunasema ni Added advantage...
 
Vyovyote vile lazima kobaz mwenzetu awe CDF, tumejipanga
Hawa ndio wanaosubiri kwenye line

1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
Hahahahahaaaaa dogo kobaz bana. Hicho cheo ndo rasmi cha wagalatia kama waziri mkuu. Kassim Majaliwa hakuwa kobaz alikuwa anazuga tu.
 
🤣🤣

Yaani resume za hawa viongozi haramu zina mambo sana.

Hakuna aliye na resume iliyonyooka.

Angalia tu hata wasifu wa huyo makamu mpya haramu…..miaka yake ya kielimu hesabu zake kama zinagoma hivi.

Jamaa darasa la kwanza alianza sijui na miaka minne au mitano hivi….
Nchi ngumu sana hii....

Tuliwashangaa babu zetu kutawaliwa na wazungu wachache...

Sisi ndio tumezidi kuwa mazwazwa maana tunatawaliwa na weusi wenzetu wachache, tena majitu ambayo shule zao zina utata.

Imagine profesa mzima anayefundisha chuo kikuu kibwa zaidi nchini anamshukuru Rais kwa kumtoa jajalani baada ya kumzawadiwa uwaziri....
 
Hujajibu swali langu. Kama elimu ya jeshi ndio ya msingi sana , CDF alifata Nini huko Mount Meru University aka chuo feki?
Ipo wazi huwezi kuwa na elimu ya kijeshi pekee kwa hapa tulipofika leo tofauti na miaka kadhaa tuliyotoka, kwahiyo ni moja ya added advantage ili kuweza kufikia level hiyo ipo wazi mkuu, leo tunataka Director General tunasema awe na Masters degree ila PhD tunasema ni added advantage kwake si kigezo sasa kwamba lazima awe nacho. Leo hii mnamuandama kwasababu kwa yaliyotokea tu ila ingekuwa kinyume angeonekana superior kweli kweli.
 
Hu
Duh! Swali tamu sana la dodoso hili! Ingekuwa ni Heche, wakili mkuu angeringa nalo kinoma! Yaani ingemchukua wiki nzima wanadodosa chuo na elimu yake wallah!

Mbona hii Sifa yake Kuu ya kwamba ni Komandoo na hata Makomandoo wa Tanzania wanamkubali sana haujaiweka?
Akina Komandoo Salmin Amour na komando Yosso?
 
Huyu anaenda kama shahidi wa Lissu ina maana anatakiwa kumtetea Lissu .Lissu atamfanyia Examination in chief na akina Katuga ndo watamfanyia cross examination yaani maswali ya dodoso.Akikengeuka hapo atapata hadhi ya hostile witness.
 
Hii ni CV ya kupika kwa mama Mwaju. Gen mzima unaendeshwa na Abdu aliyekimbia shule. Subiri afike kizimbani atasema yote kuwa hata yeye hakujua silaha zilitoka wapi.
 
Vyovyote vile lazima kobaz mwenzetu awe CDF, tumejipanga
Hawa ndio wanaosubiri kwenye line

1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
5. Rajabu Mabele Nduku kama umri utakuwa hujamtupa mkono atakuwa uzoefu wa kutosha kumueezesha kuwa CDF mzuri
 
Back
Top Bottom