Swali labda lipelekwe mbele zaidi. Wanapowaita ni "second class citizens" wanawapimia nini? Dini yao, hali yao ya maisha, elimu yao, utajiri au kitu gani?
a. Haiwezi kuwa dini - kwa sababu hakuna nafasi yoyote nchini ambayo Muislamu amewahi kukataliwa kuishika. NONE.
B. Haiwezi kuwa elimu - kwa sababu wapo Waislamu wengi waliosoma na wanaoendelea kusoma nchini na hakuna shule yoyote ambayo inakataza - kama kanuni au mfumo - Waislamu kuingia isipokuwa zile ambazo zimetengwa kwa ajili ya mafunzo ya kiroho ya waumini wa dini hizo.
c. Haiwezi kuwa hali - kwa sababu hali ya maisha inawakuta Wakristu sawasawa na Waislamu, Wapagani sawasawa na wenye kuamini imani nyingine.
d. Haiwezi kuwa utajiri - kwa sababu hakuma Muislamu tajiri ambaye amenyang'anywa utajiri wake au kukatazwa asiwe tajiri kwa sababu ni Muislamu.
Kwa hiyo, huu 'usecond class' tunaoambiwa ambao unaimbwa kuwafanya Waislamu watembee kwa aibu kwenye nchi yao au kujiona kuwa 'hawalingani' unatokana na nini? Utaona kuwa karibu mara zote ni viongozi wa Kiislamu au Waislamu viongozi ambao hutoa kauli zenye kuwafanya Waislamu wajione duni.
"Waislamu someni kama Wakristu"
"Waislamu tukuzeni elimu"
"Waislamu kwanini nyini nanyi msiombe MoU kama Wakristu"
"Waislamu... "
Hakuna kiongozi Mkristu ambaye amewahi kutoa kauli za namna hii. Cha kushangaza viongozi wanaosema hivyo ni Waislamu! Sasa kwanini wanataka wenzao wajione duni?
Unajua nani katia hao wanaotoa kauli hizo? Viongozi wa BAKWATA chini ya maagizo ya serikali. This is what is called psychological war fare kama ambavyo wazungu US and UK na European hasa nchi za Ujerumani, Austria, France, Spain and Italy wanavyotoa kauli kama hizo kwa jamii ya watu weusi.
Prime Minister wa UK alizungumza hivi ilipotokea london riots "London riots are caused by complicated factors including children who are brought up in deprived areas. My government will start several pilot projects in association with the black-british community association in london, religious institution groups etc". The mindset of the government na wazungu ni kwamba mtu mweusi is a second class citizen na hata media zao ukiangalia ziko katika kuweka picha watu weusi ni matarishi, wafagizi na nk. That is to say is not the truth. Watoto wanaofanya vizuri elimu ya primary na secondary ni watoto wanaotoka katika familia maskini including blacks. Watoto walioko katika universities wengi hasa katika field of science are blacks. Waliofanya london riots wengi sio blacks ni wazungu maskini. Let me ask you a question why do you think they keep doing that?
Similar statements zinatolewa na serikali na la kushangaza basi sio kweli. Waislamu wengi wanasoma. Evidence of that pita katika vyuo vikuu vingi lecturers wengi are muslims na the number is rising. Nenda private sectors muslims wako wengi wanafanya kazi huko. Sekta ya kujiajiri pia waislamu wengi wapo wamejiajiri na kujipatia vipato vyao. Sasa kwanini serikali inaamini waislamu hawajasoma? Were do they get the data to say waislamu hawajasoma? Au ndio wanaangalia serikalini katika taasisi zao na kuona kwa vile waislamu ni wachache basi Tanzania nzima waislamu hawajasoma. Acheni udini wenu that is the truth in Tanzania Muslims are second class citizen kama walivyo watu weusi marekani na Europe.
Kwa kuongezea asubuhi katika kusoma magazeti ya duniani nimekutana na habari hii nafikiri inasupport nachokizungumzia kuhusu ulaya na US na their interpretation of ethnic minorities:
Ethnic minority pupils increase by 57% in a decade
The geographer's study looked at the changing population of England's secondary schools
The number of ethnic minority pupils in England's secondary schools rose by 57% in a decade, according to research from King's College London.
The study by Chris Hamnett looked at the changing demographics of schools between 1999 and 2009.
In inner London, 67% of secondary pupils are from ethnic minorities, says Professor Hamnett.
Gathering such data is important for understanding the future make-up of the population, he says.
The study, from the geography department of King's College London, reveals a "very substantial" shift in the population, which Professor Hamnett says represents an "irrevocable" change.
Changing places
The 57% increase in ethnic minority pupils contrasted with an overall secondary school population rise of 4.7% - and a slight decline in white pupils, a figure that also includes migrants from eastern Europe.
Across the country, the proportion of ethnic minority pupils has risen in a decade from 11.5% to 17% - and Professor Hamnett forecasts that it is set to rise again to 20%.
He found a pattern of an increasing proportion of ethnic minority pupils in big cities, particularly London.
"London as a whole now has an ethnic minority dominated secondary school system, akin to that of many large US cities, and the figure reaches 67% in inner London," says Professor Hamnett.
"This is also true of a small number of other towns and cities with large ethnic minorities, notably Slough (64%), Leicester (58%), Birmingham (52%) and Luton (51%). Manchester and Bradford are not far behind with 43%."
Professor Hamnett says that this is not about recently arrived children, these are children born in England.
And patterns of birth rates indicate that the proportion of ethnic minority pupils will increase in the next decades.
Such changes have become a lasting feature of the ethnic make-up of England's population, he says.
But he also says it shows a picture of ethnic minority families moving out to towns and suburbs across England.
"We're not looking at minorities being trapped or ghettoised in small areas. There's a process of suburbanisation," says Professor Hamnett. This was particularly the case for Asian families, he says.
Among the biggest increases were areas such as Merton, Croydon and Enfield.
New majority There are also wide differences in the ethnic breakdowns of schools in different parts of the country.
In places such as Knowsley, Cumbria and Durham, fewer than 2% of pupils are from ethnic minorities. In Brent, Tower Hamlets and Newham in London, the figure is above 80%.
Such changes will also eventually mean "revisiting" the language of minorities and majorities, he says.
This relationship between schools and ethnicity has many sides - with wide variations in achievement between different groups. White working class boys have been identified as particular underachievers.
The relatively high performance of schools in inner London has been attributed to the impact of ambitious immigrant families.
Professor Hamnett says it is important to gather such objective data showing the population in schools - which will become the future adult population.
"Let's have the evidence, even if it is politically difficult," he says.
"If we're interested in addressing inequalities in education and access to university, it's only possible if we have gathered the data.
"Once a society stops talking about this, it's the worst kind of self-censorship."
Source: BBC