Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Lengo lako likiwa ni nini? OIC ni sawa na Clinton Foundation au Aghakhan?Je unaweza kunitajia sifa za nchi na zile za taasisi kama ilivyo Aghakhan au Clinton foundation?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo lako likiwa ni nini? OIC ni sawa na Clinton Foundation au Aghakhan?Je unaweza kunitajia sifa za nchi na zile za taasisi kama ilivyo Aghakhan au Clinton foundation?
Kuna watu huwa wanafikiri kwamba wanammiliki Mungu. "wenzenu" wa upande wa kushoto ni kina nani tena hao, na nyie ni nani kawaambia kwamba mko mkono wa Kulia?
Lengo lako likiwa ni nini? OIC ni sawa na Clinton Foundation au Aghakhan?
Mimi nilidhani kwamba kushoto kwa mungu. kama ni kushoto kwa Mohamed mimi naomba niwe wa kwanza kuwa kushoto kwake, lakini kama ni kushoto kwa Mwenyezimungu hakuna binadam awezaye kuamua hatima yangu bali ni mwenyezimungu mwenyewe!!Hiyo homework yako ya leo.
Kumbuka Mohamed said yupo katikati kuna walio kuliani kwake na wale wa kushotoni kwake.
Sasa tafuta wa kuliani kwake ni nani na wa kushotoni kwake ni nani.
Usipende kurahisishiwa kila kitu.
Ahsantu kwa darsa hii.
Hakika kila mtenda mabaya basi Mola atamlipa sawa na matendo yake na mtenda mema halikadhalika. Adam nasib na Alhaj Kundya watakumbukwa daima.
Lakin Pia nakuombea kwa mola Sheikh Mohamed Said akujaalie kila lenye kheir na kukukinga na shari za wenzetu wa upande wa kushoto.
Ndugu yangu Barubaru,
Allah SW anaonyesha hapa hapa duniani.
Adam Nasib kafa usiku hadi kufika asubuhi Allah Akbar...
Sina kinywa cha kueleza hali iliyotokea haraka wamemkimbiza kumzika.
Nadhani umenielewa.
Wala Waislam na wale aliowatumikia walikuwa na habarinae.
Kafa mpweke.
Mie nimemuona mwisho wake.
Sikuamini kuwa huyu ndiye yule.
Kadhalilila mwisho wa kudhalilika.
Kavaa kanzu utadhani kaitoa katika pipa.
Alikuwa funzo kwetu nini unakuwa mwisho wa wanaompiga vita Allah.
Mohamed
Tatizo unasoma majadiliano haya kwa hisia na jaziba wala hutulizi akili yako ukayatafakari kwa akili. Acha kufikiri kwa moyo. Hata hivyo Sikulaumu ndugu yangu, namlaumu mzee Mohamed aliye pandikiza chuki kwako...."thus you have lost all the rational thinking." Kwani Barubaru unayemjibia hapa anapo sema "masheikh wa Bakwata na Masheikh wawaislam"... anamaana gani?Tuliza akili yako, achana na sumu ya huyo mzee wenu, haina manufaa kwenu wala kwa mtu yeyote isipokuwa yeye mzee Mohamedi.Mvurugaji ww. Huna cha maana unachoongea. Unachukuwa nusu ya sentensi unaitafsiri utakavyo! 'out of context' nani kakuambia ni Masheikh wa wakristo? Au......
Swali labda lipelekwe mbele zaidi. Wanapowaita ni "second class citizens" wanawapimia nini? Dini yao, hali yao ya maisha, elimu yao, utajiri au kitu gani?
a. Haiwezi kuwa dini - kwa sababu hakuna nafasi yoyote nchini ambayo Muislamu amewahi kukataliwa kuishika. NONE.
B. Haiwezi kuwa elimu - kwa sababu wapo Waislamu wengi waliosoma na wanaoendelea kusoma nchini na hakuna shule yoyote ambayo inakataza - kama kanuni au mfumo - Waislamu kuingia isipokuwa zile ambazo zimetengwa kwa ajili ya mafunzo ya kiroho ya waumini wa dini hizo.
c. Haiwezi kuwa hali - kwa sababu hali ya maisha inawakuta Wakristu sawasawa na Waislamu, Wapagani sawasawa na wenye kuamini imani nyingine.
d. Haiwezi kuwa utajiri - kwa sababu hakuma Muislamu tajiri ambaye amenyang'anywa utajiri wake au kukatazwa asiwe tajiri kwa sababu ni Muislamu.
Kwa hiyo, huu 'usecond class' tunaoambiwa ambao unaimbwa kuwafanya Waislamu watembee kwa aibu kwenye nchi yao au kujiona kuwa 'hawalingani' unatokana na nini? Utaona kuwa karibu mara zote ni viongozi wa Kiislamu au Waislamu viongozi ambao hutoa kauli zenye kuwafanya Waislamu wajione duni.
"Waislamu someni kama Wakristu"
"Waislamu tukuzeni elimu"
"Waislamu kwanini nyini nanyi msiombe MoU kama Wakristu"
"Waislamu... "
Hakuna kiongozi Mkristu ambaye amewahi kutoa kauli za namna hii. Cha kushangaza viongozi wanaosema hivyo ni Waislamu! Sasa kwanini wanataka wenzao wajione duni?
Kama kuna mifano mingi si ungetoa hata mmoja? Lakini pia ufahamu mambo ya Al Qaida yameanza wakati Nyerere ni marehemu tayari. Kuna jambo la maana la kujiuliza, misikiti iliyopo haitoshelezi, tatizo la waislam linalolalamikiwa na Mohamed Said ni ukosefu wa sehemu za kuabudia za Waislam?
Mimi ninavyoelewa ni kwamba watu wengi wanaopinga kujiunga na OIC hoja yao kubwa ni kwamba OIC kuna kipengele ambaocho kinataka mwanachama wake awe ni nchi yenye kuhimiza ujenzi wa dini ya Kiislam au ni nchi ya Kiislam kupitia serikali.
Wakati fulani Mohamed na wenzake walikuwa wanadai mbona Vatican wana ubalozi hapa nchini kwa nini OIC wanazuiliwa. Mimi si mkatoliki lakini katika vitu ninavyoelewa ni kwamba Vatican ni nchi lakini inayoendeshwa kidini kama ilivyo kwa Iran, Saudi Arabia, Uingereza au Uturuki. Haitakuwa ajabu kwa Saudi Arabia kuleta Balozi wake akiwa na sifa ya Ulamaa. Vatican ni nchi na OIC ni shirika la Kiislam linalohimiza ujenzi wa Uislam kupitia serikali, na sisi tunataka serikali yetu isijuhusishe na ujenzi wa dini yoyote ile.
Katika watu wanaounga mkono uanzishwaji wa mahakama ya Kadhi mimi ni mmojawapo. Lakini pia katika watu wanaopinga mahakama ya Kadhi kuingizwa kwenye katiba yetu mimi ni mmojawapo. Wakristo wanasheria yao ya kanisa ya mambo ya ndoa inayosema kwamba "alichokiunganisha mungu, mwanadamu hatengeui" lakini kwa sababu sheria hiyo ya kanisa haitambuliwi na katiba yetu, hao hao waliofunga ndoa kanisani wakienda kwenye mahakama za kawaida za serikali ndoa yao inatenguliwa. Kanisani watatengwa na hawataruhusiwa kuoana tena nje ya ndoa yao ya awali, lakini kwa sheria ya nchi ndoa yao haipo tena na wanaruhusiwa kuoana na mtu mwingine.
Jamii yetu imechanganyikana sana, tunataka mahakama ya kadhi iwe na nguvu kwenye misikiti lakini siyo kwenye kila nyanja ya maisha ya watanzania. Hebu fikiria kuna mwanamke ameishi na mume wake kwa miaka 20 na kuchuma mali mbali mbali, lakini mume huyo anataka waachane na anapeleka Kesi yake kwenye Mahakama ya Kadhi inayotambuliwa na Katiba, mwanamke si muislam. Haki ya huyo mwanamke itallindwa vipi na mahakama ya Kadhi wakati katiba inatamka masuala yote ya ndoa za waislam yatashughulikiwa na Mahakama ya Kadhi wakati mwanamke mwenyewe si muislam?
Unajua nani katia hao wanaotoa kauli hizo? Viongozi wa BAKWATA chini ya maagizo ya serikali. This is what is called psychological war fare kama ambavyo wazungu US and UK na European hasa nchi za Ujerumani, Austria, France, Spain and Italy wanavyotoa kauli kama hizo kwa jamii ya watu weusi.
Prime Minister wa UK alizungumza hivi ilipotokea london riots "London riots are caused by complicated factors including children who are brought up in deprived areas. My government will start several pilot projects in association with the black-british community association in london, religious institution groups etc". The mindset of the government na wazungu ni kwamba mtu mweusi is a second class citizen na hata media zao ukiangalia ziko katika kuweka picha watu weusi ni matarishi, wafagizi na nk. That is to say is not the truth. Watoto wanaofanya vizuri elimu ya primary na secondary ni watoto wanaotoka katika familia maskini including blacks. Watoto walioko katika universities wengi hasa katika field of science are blacks. Waliofanya london riots wengi sio blacks ni wazungu maskini. Let me ask you a question why do you think they keep doing that?
Similar statements zinatolewa na serikali na la kushangaza basi sio kweli. Waislamu wengi wanasoma. Evidence of that pita katika vyuo vikuu vingi lecturers wengi are muslims na the number is rising. Nenda private sectors muslims wako wengi wanafanya kazi huko. Sekta ya kujiajiri pia waislamu wengi wapo wamejiajiri na kujipatia vipato vyao. Sasa kwanini serikali inaamini waislamu hawajasoma? Were do they get the data to say waislamu hawajasoma? Au ndio wanaangalia serikalini katika taasisi zao na kuona kwa vile waislamu ni wachache basi Tanzania nzima waislamu hawajasoma. Acheni udini wenu that is the truth in Tanzania Muslims are second class citizen kama walivyo watu weusi marekani na Europe.
Tatizo unasoma majadiliano haya kwa hisia na jaziba wala hutulizi akili yako ukayatafakari kwa akili. Acha kufikiri kwa moyo. Hata hivyo Sikulaumu ndugu yangu, namlaumu mzee Mohamed aliye pandikiza chuki kwako...."thus you have lost all the rational thinking." Kwani Barubaru unayemjibia hapa anapo sema "masheikh wa Bakwata na Masheikh wawaislam"... anamaana gani?Tuliza akili yako, achana na sumu ya huyo mzee wenu, haina manufaa kwenu wala kwa mtu yeyote isipokuwa yeye mzee Mohamedi.
Ahali yangu Mdondoaji,
Hapa naona umemaliza kila kitu. Kwani kawaida kabisa kwa anaedhulumu kujiona ana haki zaidi ya yule anayedhulumiwa. Tena kwa maneno ya kejeli ya kifedhuli. Lakin siku zote mdharau mwiba basi mguu unaota tende.
Allah akubarik sana
Gwalihenzi,
Labda kwa sababu nipo nje ya Tz labda nimepitwa na wakti. Lakini ukipitia kwenye mtandao au hata magazeti ya huko. mfano siku ya swala ha Eid el fitr wamemuonyesha Makamo wa Rais Muungano Dr Bilal akiwa pamoja na (imeandikwa hivi) Mufti wa Bakwata Sheikh Simba, Sheikh wa Bakwata mkoa wa Dar sheikh Adi, Sheikh wa Bakwata mkoa wa kigoma ndivyo wanavyoitwa.
Nisaidie kulichunguza hilo na utaliona wazi kisha nikosoe kama nitakuwa nimekosea.
Ahali yangu Mdondoaji,
Hapa naona umemaliza kila kitu. Kwani kawaida kabisa kwa anaedhulumu kujiona ana haki zaidi ya yule anayedhulumiwa. Tena kwa maneno ya kejeli ya kifedhuli. Lakin siku zote mdharau mwiba basi mguu unaota tende.
Allah akubarik sana
Hakika malipo yana anzia hapa hapa duniyani.
Nakumbuka maneno haya ya Maalim wangu wa Madrasa Unguja (maalim bakathiri) kuwa malipo yote ya mja yanaanzia hapa Duniani na kumalizikia mbinguni.
Naona kwa Adam yalithihiri.
Ahsantu Sheikh Mohamed kwa darsa. Kumbuka pia tuna kiu sana kwa kusubiri darsa zaidi kutoka kwako.
Aise....kumbe Feza ni shule za kiislam...! kuna majirani zetu hapa 'staunch catholics' wamepeleka watoto wao kwenye hizo shule...nadhani zitakuwa way above zile za BAKWATA kwa kiwango cha utoaji elimu yenye tija.Kuna shule mmoja inaitwa Feza Boys mwaka huu wa fedha imetoa division 1 and 2 karibu wote form six bila ya kuwepo division 0 wala division 4 lakini there is no media coverage kuwahamasisha waislamu mnaosema hawajasoma. Badala yake media coverage is Feza ya mama Salma Kikwete. Feza school hawalipi kodi, Feza ya waturuki.
Aise....kumbe Feza ni shule za kiislam...! kuna majirani zetu hapa 'staunch catholics' wamepeleka watoto wao kwenye hizo shule...nadhani zitakuwa way above zile za BAKWATA kwa kiwango cha utoaji elimu yenye tija.
Mkuu , hivi hawa wa Feza hawakupelekwa kweli bungeni kwa sababu yao performance ya nzuri?
huh? ukingoni...? what makes you think that? na bora ungeweka evidence inayoonyesha malalamiko ya maaskofu na jinsi hayo malalamiko yanavyoashiria kuelekea kwao ukingoni!Waislamu wa sasa wengi ni waelewaje na wanafahamu kitu gani kinaendelea ndio maana unaona sasa hivi malalamiko ya maaskofu kila siku yanazidi kwani wanaona wanaelekea ukingoni.
Ndugu yangu Barubaru kila aliyesimama na Nyerere kumpiga vita Sheikh Hassan bin Amir alipokea jaza yake hapa hapa duniani. Mie hao nimewaona wanadhalilika kwa macho yangu wala sikuhadithiwa na mtu.
Rajab Diwani kafa.
Taarifa zilipofika msikitini karibu na kwake Ilala huwezi amini walichofanya Waislam ni kufunga msikiti na kila mtu kushika hamasini zake.
Basi mwambie mtu eh bwana twende mazikoni (hapo yuko katika dhumna) anakwambia samahani bwana nina shughuli hii faradh kifaya nenda wewe.
Hali ilikuwa hivyo ikabidi Aboud Jumbe awaite TANU Youth League kuja kubeba jeneza lake.
Pale msibani yameonekana mashati ya kijani ya TANU Youth League wala husikii Qur'an ya Allah wala dua.
Lingine limetokea juzi juzi hapa Msikiti wa Sheikh Idris Bin Saad.
Mjukuu wa marehemu Sayyid Badawy Qulatein anaolewa akdi tumekaa msikitini tunapiga kahawa na halua. Ghafla kasimama Sheikh mmoja anaomba watu wasiondoke tusome dua kumwombee kiongozi mmoja wa serikali Muislam kwa kuwa yuko hospitali mahututi.
Sasa huyu bwana enzi zake kawatesa sana Waislam akishirikiana na Nyerere.
Basi ghafla kumezuka mtafaruk ndani ya msikiti kila mtu anatafuta wapi kaweka viatu vyake aondoke. Waislam hawataki kumwombea dua huyu muheshimiwa.
Dakika tano msikiti mweupe. Wamesimama nje ya msikiti wanaendelea na mazungumzo yao. Hilo la dua wamemwachia sheikh peke yake.
Hii ndiyo hali ilivyo.
Mohamed
Mimi binafsi kwenye huu mnakasha nimejifunza vitu hivyo hapo juu...! Unafiki...Unafiki ...Unafiki!
Aise....kumbe Feza ni shule za kiislam...! kuna majirani zetu hapa 'staunch catholics' wamepeleka watoto wao kwenye hizo shule...nadhani zitakuwa way above zile za BAKWATA kwa kiwango cha utoaji elimu yenye tija.
Mkuu , hivi hawa wa Feza hawakupelekwa kweli bungeni kwa sababu yao performance ya nzuri?